Wakazi wa Kisumu: Odinga kaibuka mshindi wa uchaguzi wa urais Kenya

Wakazi wa eneo la Kisumu wamesubiri kwa hamu na gamu ili Tume ya Uchaguzi (IEBC) iweze kumtangaza mshindi, huku wengi wao wakiwa na imani kuwa Raila Odinga ambaye amebobea eneo hilo ataibuka mshindi.

RFI

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi Kenya: Upinzani wadai Odinga ndiye mshindi wa urais

Viongozi wa muungano wa National Super Alliance wamesema walikutana na wakuu wa Tume ya Uchaguzi Kenya na kuwasilisha rasmi malalamiko yao kupitia barua.

 

1 year ago

RFI

Raila Odinga asema hatashiriki Uchaguzi mpya wa urais nchini Kenya

Kiongozi wa muungano wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, ametangaza kuwa hatashiriki katika Uchaguzi mpya wa urais uliopangwa kufanyika tarehe 26 mwezi huu.

 

1 year ago

RFI

Raila Odinga ajiondoa kwenye uchaguzi wa urais wa Oktoba 26 nchini Kenya

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga ametangaza Jumanne hii (Oktoba 10) kwamba anajiondoa kwenye uchaguzi wa urais uliopangwa kufanyika Oktoba 26.

 

1 year ago

BBC

Kenya's Ruth Odinga to be charged over Kisumu protest

Ruth Odinga is accused of damaging property during a protest against Thursday's election re-run.

 

1 year ago

Malunde

UHURU KENYATTA ATANGAZWA MSHINDI UCHAGUZI WA URAIS KENYA

Hatimaye Tume ya Taifa ya Uchaguzi (IEBC) imemtangaza Uhuru Kenyatta kuwa mshindi wa kinyang’anyiro cha urais baada ya kujikingia kura 7,483, 895 sawa na asilimia 98 katika uchaguzi wa marudio uliosusiwa na mpinzani wake mkuu, Raila Odinga.
Kwa matokeo hayo, Rais Kenyatta na makamu wake William Ruto walikabidhiwa vyeti vya ushindi na sasa Uhuru anasubiri kuapishwa kuiongoza nchi kwa miaka mitano ikiwa matokeo hayo hayatapingwa na kufutwa.
Mwenyekiti wa IEBC, Wafula Chebukati alitangaza matokeo...

 

1 year ago

RFI

Odinga atoa wito kwa wafuasi wake kususia uchaguzi wa urais Kenya

Kiongozi wa muungano wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, Jumatano hii amewataka wafuasi wake kususia uchaguzi wa urais uliopangwa kufanyika Alhamisi hii Oktoba 26 licha ya vurugu na utata wa kisiasa ambao ulishuhudiwa katika kampeni za uchaguzi.

 

2 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi Kenya 2017: Uhuru Kenyatta atangazwa mshindi wa urais

Tume ya taifa ya uchaguzi Kenya imemtangaza Rais Uhuru Kenyatta wa chama cha Jubilee kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Jumanne.

 

2 years ago

RFI

Muungano wa NASA wataka Raila Odinga kutangazwa mshindi wa urais

Muungano wa upinzani nchini Kenya NASA, unaitaka Tume ya Uchaguzi nchini humo kumtangaza mgombea wake Raila Odinga kuwa mshindi wa Uchaguzi wa urais.

 

2 years ago

RFI

Uhuru Kenyatta atangazwa mshindi wa kura ya urais, Raila Odinga apinga

Tume ya Uchaguzi nchini Kenya imemtangaza rais Uhuru Kenyatta kama mshindi wa Uchaguzi Mkuu wa urais uliofanyika siku ya Jumanne wiki hii.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani