Wakenya wanaoishi nchini Tanzania wajitokeza kupiga kura

Wakenya wanaoishi nchini Tanzania, wamejitokeza kwa wingi kupiga kura ili kumchagua rais wao.

RFI

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

RFI

Wakenya wafurika vituoni kupiga kura

Wakenya wamejitokeza kwa wingi asubuhi mapema kupiga kura katika vituo zaidi ya 40,000 katika Kaunti 47 nchini humo.

 

2 years ago

BBCSwahili

Maelfu wajitokeza kupiga kura Ghana

Maelfu ya wapiga kura nchini Ghana wamepiga foleni, ndefu kwenye vituo vya kupigia kura kumchagua Rais na wabunge wapya katika Uchaguzi Mkuu wa leo.

 

11 months ago

VOASwahili

Wakenya watofautiana juu ya mwezi muwafaka wa kupiga kura

Wananchi wa Kenya wameeleza maoni tofauti juu ya pendekezo la kubadilisha sheria ya siku ya kupiga kura kutoka mwezi Agosti hadi Disemba, wengi wao wakipendelea zoezi hilo lifanyike mwezi Disemba.

 

11 months ago

VOASwahili

Mamilioni wajitokeza Burundi kupiga kura ya maoni

Mamilioni ya wananchi wa Burundi wamepiga kura ya maoni Alhamisi katika mchakato wa kupitisha sheria ya marekebisho ya katiba itakayo mruhusu rais aliyeko madarakani Pierre Nkurunzinza kuendelea kuongoza taifa hilo hadi mwaka 2034.

 

2 years ago

VOASwahili

Wakenya hawajitokezi kwa wingi kujiandikisha ili kupiga kura

Wakati fukuto la uchaguzi likiendelea kupamba moto idadi ndogo ya watu wamejitokeza kujjiandikisha kupiga kura nchini Kenya.

 

2 years ago

BBCSwahili

Raia wajitokeza kwa wingi kupiga kura Ghana

Raia nchini Ghana leo wanapiga kura kuchagua rais mpya na wabunge katika uchaguzi ambao wachambuzi wanasema huenda ukawa na ushindani mkubwa.

 

2 years ago

RFI

Wakenya waanza kuhakiki taarifa zao katika daftari la kupiga kura

Wapiga kura nchini Kenya, wanaanza hivi leo kuhakiki majina yao na taarifa nyingine muhimu katika daftari la kupigia kura kuelekea Uachguzi Mkuu mwezi Agosti.

 

4 months ago

VOASwahili

Uchaguzi wa Rais DRC 2018: Wananchi wajitokeza kupiga kura

Wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameanza Jumapili kupiga kura kwenye uchaguzi wa Rais ambao umechelewa kufanyika kwa zaidi ya miaka miwili.

 

3 years ago

Dewji Blog

Wakazi wa Dar Wasimamisha Shughuli Kupiga Kura, Wajitokeza kwa Wingi

Wananchi na wakazi wa maeneo ya Tabata Liwiti wakiwa katika foleni ya kupiga kura leo jijini Dar es Salaam. Wananchi na wakazi wa maeneo ya Tabata Liwiti wakiwa katika foleni ya kupiga kura leo jijini Dar es Salaam. Wananchi na wakazi wa Tabata Shule wakiangalia majina yao kabla ya kupiga kura yao. Mkazi wa eneo la Matumbi akipiga kura yake leo. Mkazi wa Kawe akipiga kura yake leo.

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam

WAKAZI wa maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam leo wamesimamisha...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani