Wakfu wa Bill Gates watenga dola za milioni 350 kwa miradi Tanzania

Bill Gates katika ziara yake ya siku tatu nchini Tanzania amekutana na Rais Magufuli na kumweleza taaasisi hiyo imetenga dola Kimarekani milioni 350 za kutumiwa katika miradi Tanzania.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Channelten

Taasisi ya Bill and Mellinda Gates imetenga Dola za Marekani Milioni 350 kutekeleza miradi hii Tanzania

bg5

Taasisi ya Bill and Mellinda Gates imetenga Dola za Marekani Milioni 350 sawa na takribani Shilingi za tanzania Bilioni 777.084 kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali katika sekta ya kilimo, afya na mifumo ya kielektroniki ya upatikanaji wa taarifa.

Mwenyekiti Mwenza wa Taasisi hiyo Bill Gates amesema hayo Ikulu Jijini Dar es Salaam muda mfupi baada ya kufanya mazungumzo na Rais Dkt. John Pombe Magufuli ambapo amesema, fedha hizo zitaelekezwa katika utekelezaji wa miradi zaidi ya afya...

 

3 years ago

Dewji Blog

India yaipatia Tanzania Dola Milioni 500 kwa ajili ya Miradi ya Maendeleo

India imeipatia Tanzania dola za Kimarekani milioni 500 kwa ajili ya miradi ya maendeleo ili kukuza ushirikiano wa kiuchumi baina nchi hizi mbili.

Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika dhifa ya kitaifa aliyomwandalia mgeni wake, Waziri Mkuu wa India, Mheshimiwa Narendra Modi.

“Tunaishukuru India ambayo imeonyesha utayari wa kushirikiana nasi kiuchumi katika kilimo, TEHAMA, maji, Elimu, Afya na Ulinzi,”...

 

3 years ago

Michuzi

Marekani yaipatia Tanzania dola milioni 800 kwa ajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Mhe. Mark Childress aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Bill Gates atembelea miradi ya Afya Tanga

Mfanyabiashara maarufu na tajiri namba moja Duniani, Bill Gates yupo nchini Tanzania kutembelea miradi mbalimbali ya afya ikiwemo mradi wa matumizi ya dawa za matende na mabusha.

Mapema leo Gates alikuwa mkoani Tanga na kutembelea baadhi ya vituo vya afya mkoani humo na kuonana na baadhi ya viongozi wanaosimamia miradi hiyo.

The post Bill Gates atembelea miradi ya Afya Tanga appeared first on Zanzibar24.

 

2 years ago

Michuzi

SERIKALI YA INDIA KUTOKA DOLA MILIONI MILIONI 500 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAJI NCHINI.

Na Daudi Manongi-MAELEZO, DODOMA.
Serikali kupitia Wizara ya Maji na Umwagiliaji imesema kuwa Serikali ya India imeahidi kutoa dola milioni 500 kwa ajili utekelezaji wa miradi ya maji katika miji 16 ya Tanzania Bara na Zanzibar katika awamu ya tatu katika mwaka wa fedha 2017/18.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Eng.Isack Kamwelwe akijibu Swali la Mbunge wa Tumbatu Mhe.Juma Othman Hija leo Bungeni Mjini Dodoma.
“Katika bajeti ya mwaka 2016/17 Wizara yangu ilitoa taarifa...

 

2 years ago

Michuzi

MAREKANI KUPITIA SHIRIKA LAKE LA MISAADA LA USAID YAIPATIA TANZANIA DOLA MILIONI 225 KWA AJILI YA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO

Siku moja baada ya Marekani kutangaza kutoa fedha za nyongeza katika mwaka ujao kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo hapa nchini, nchi hiyo imetiliana saini na Wizara ya Fedha na Mipango makubaliano ya kutoa Dola Milioni 225. 
Fedha hizo zitaelekezwa katika sekta mbalimbali zikiwemo Elimu, Afya, Kilimo na Utawala bora.

Hafla ya kutiliana saini makubaliano hayo imefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Jijini Dar es Salaam kati ya Katibu Mkuu wa Wizara ...

 

2 years ago

Michuzi

BENKI YA DUNIA KUIKOPESHA TANZANI DOLA MILIONI 350 KUPANUA BANDARI YA DAR

BEN MWAIPAJA -WFM BENKI ya Dunia imekubali kuikopesha Tanzania fedha kwaajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo ukiwemo mkopo wa Dola Milioni 350 kwa ajili ya Mradi wa Upanuzi wa Bandari ya Dar es salam. Waziri wa Fedha na Mipango, Dokta Philip Mpango, amewaambia waandishi wa Habari mara baada ya kumalizika kwa Mazungumzo kati yake na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anaye shughulikia Kanda ya Afrika, Mhe. Makhtar Diop, Makao Makuu ya Wizara ya Fedha na Mipango Jijini Dar es salaam. Amesema...

 

2 years ago

Bongo Movies

IKULU: Rais Magufuli Akutana na Bill Gates. Atenga Bilioni 777 Kutekeleza Miradi Mbalimbali Sekta ya Kilimo na Afya

Rais John Pombe Magufuli amefunguka na kumshukuru Mwenyekiti Mwenza wa taasisi ya Bill and Mellinda Gates Bw. Bill Gates kwa misaada mbalimbali ambayo inatolewa kupitia taasisi yake kwenye miradi mbalimbali nchini.

Rais Magufuli akiwa na bilionea Bill Gates Ikulu Jijini Dar es Salaam.

 

2 years ago

Michuzi

TPA YAPOKEA MSAADA WA DOLA ZA MAREKANI MILIONI 60 KWA AJILI YA MIRADI YA BANDARI

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) leo imeingia makubaliano na Kampuni ya TradeMark East Africa (TMEA) ambayo itatoa msaada wenye thamani ya Dola Marekani Milioni 60 sawa na Shilingi za Kitanzania Bilioni 132 kwa ajili ya maboresho ya miradi mbalimbali ya Bandari ya Dar es Salaam. Msaada huo unatarajiwa kusaidia uboreshaji wa barabara za ndani ya bandari, eneo la uhifadhi wa makontena, mizigo, kuongeza uwezo wa bandari kuchukua meli kubwa zaidi, kuendesha upembuzi yakinifu wa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani