Wakili aomba Kubenea afutiwe kesi ya uchochezi

UPANDE wa utetezi katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (46), umeiomba Mahakama ya Hakimu Kisutu kumfutia mashitaka na kumuachia huru, kwa sababu hati hiyo ya mashitaka ina mapungufu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Mwananchi

Kubenea aachiwa huru kesi ya uchochezi

Mahakama ya Hakimu Mkazi imeyaondoa mashtaka ya uchochezi yaliyokuwa yakimkabili Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (46).

 

4 years ago

Habarileo

Ponda aomba kesi ya uchochezi isimamishwe

KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shehe Issa Ponda ameomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kusimamisha kesi ya uchochezi inayomkabili mkoani Morogoro.

 

4 years ago

Habarileo

Lwakatare wa Chadema aomba afutiwe mashitaka

KURUGENZI wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Lwakatare ameiomba Mahakama kuamuru upande wa Jamhuri, kuharakisha upelelezi wa kesi hiyo au kufuta mashitaka dhidi yake.

 

2 years ago

Dewji Blog

Kubenea ahojiwa Polisi kwa kuandika makala ya uchochezi

Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea Jumatatu ya Agosti, 15 amefika katika ofisi za Jeshi la Polisi kanda ya kati kufanyiwa mahoajiano kwa madai ya kuandika makala ya uchochezi katika gazeti la Mwanahalisi,

Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu jambo hlo, Mwanasheria wa Chadem ambaye aliambatana na Kubenea kituoni hapo, Tundu Lissu alisema Kubenea alipewa taarifa kuwa anatakiwa kufika kituo hicho kwa ajili ya kufanyiwa mahojiano.

Alisema baada ya kufika kituoni hapo, Kubenea alihojiwaa kwa...

 

2 years ago

MillardAyo

Video ya Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea alivyokamatwa na Polisi kwa tuhuma za uchochezi

Leo March 10 2016 Mbunge wa Jimbo la Ubungo (Chadema), Saed Kubenea amehitajika polisi kwa tuhuma za kuhusika na vurugu  wakati uchaguzi huo ulipoahirishwa February 27 2016. Saed Kubenea ameelezea kuhusiana na wito huo wa polisi kwa ajili ya kujibu tuhuma hizo na amesimulia ilivyokuwa… ’Nimefuatwa na askari kama sita wakiniambia kwamba niko chini ya ulinzi ninahitajika makao makuu […]

The post Video ya Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea alivyokamatwa na Polisi kwa tuhuma za uchochezi appeared...

 

2 years ago

Mtanzania

Kazimoto aomba atafute wakili

kazimotoNa Kadama Malunde, Shinyanga

KESI ya shambulio la kudhuru mwili inayomkabili kiungo wa Simba, Mwinyi Kazimoto, imeanza kusikilizwa jana katika Mahakama ya Hakimu Mfawidhi Mkoa wa Shinyanga.

Kazimoto ameshitakiwa kwa kosa la kumshambulia mwandishi wa habari  wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd, Mwanahiba Richard na kesi yake ilianza kusikilizwa jana.

Akisomewa shitaka hilo,  Mwanasheria  wa Serikali, Upendo  Shemkole, alisema mshtakiwa  alitenda  kosa hilo Februari  10, 2016,  katika...

 

2 years ago

MillardAyo

AUDIO: Kubenea ahojiwa na polisi leo, wakili wake Lissu kayazungumza haya

kubenea 33

Leo August 15 2016 Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea ameitwa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam kwa ajili kuhojiwa kuhusiana na makala aliyoiandika ambayo inadaiwa ni ya kichochezi. millardayo.com na Ayo TV imempata wakili wa Saed Kubenea, Tundu Lissu ambapo amethibitisha kuhojiwa kwa Saed Kubenea na amesema yuko nje kwa dhamana ………. >>>’aliitwa kwenda […]

The post AUDIO: Kubenea ahojiwa na polisi leo, wakili wake Lissu kayazungumza haya appeared first on...

 

2 years ago

Mwananchi

Wakili aomba radhi kwa kushindwa kumkamata Lissu

Wakili wa Serikali, Patrick Mwita amemuomba radhi Hakimu Mkazi Mkuu wa Kisutu kwa kushindwa kutekeleza amri ya kumkamata mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya uchochezi pamoja na wahariri wa gazeti la Mawio.

 

4 years ago

Mwananchi

Makunga, Kibanda washinda kesi ya uchochezi

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru Meneja Uendelezaji Biashara wa Kampuni ya Mwananchi Communications (MCL), Theophil Makunga, Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006), Absalom Kibanda na Samson Mwigamba katika kesi ya makala ya uchochezi iliyokuwa ikiwakabili.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani