Wakili kesi ya ‘Ndama mtoto wa Ng’ombe’ ahoji muda wa upelelezi

UPANDE wa utetezi katika kesi ya utakatishaji fedha ya Sh bilioni 1.8 inayomkabili Mfanyabiashara Ndama Hussein (44) maarufu kama ‘Ndama mtoto wa Ng’ombe’, umeiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, waambiwe upelelezi wa kesi hiyo unachukua muda gani kukamilika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

12 months ago

Habarileo

Upelelezi wakwamisha kesi ya ‘Ndama mtoto wa Ng’ombe’

UPELELEZI katika kesi ya utakatishaji fedha Sh bilioni 1.8 inayomkabili mfanyabiashara Ndama Hussein (44) maarufu kama ‘Ndama mtoto wa Ng’ombe’, haujakamilika.

 

11 months ago

Mwananchi

Mahakama yataka upelelezi wa kesi ya ‘Ndama mtoto wa ng’ombe’ ukamilishwe haraka

Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, Victoria Nongwa ameuagiza upande wa mshtaka katika kesi ya  kughushi, kutakatisha fedha na  kujipatia dola za Marekani 540,390 kwa njia ya udanganyifu inayomkabili  Mfanyabiashara maarufu wa jijini Dar es Salaam, Ndama Shabani Hussein maarufu kama Pedeshee Ndama mtoto wa Ng'ombe(44) kukamilisha upelelezi haraka.

 

11 months ago

Habarileo

Kesi ya ‘Ndama mtoto wa Ng’ombe’ yaahirishwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirisha kesi ya utakatishaji fedha ya Sh bilioni 1.8 inayomkabili mfanyabiashara Ndama Hussein (44) maarufu kama ‘Ndama mtoto wa Ng’ombe’, hadi Januari 24 mwaka huu kutokana na upelelezi kutokamilika.

 

1 year ago

Mwananchi

‘Ndama mtoto wa ng’ombe’ kortini

Tuhuma za kughushi, kutakatisha fedha na kujipatia dola za Marekani 540,390 kwa njia ya udanganyifu zimemfanya mfanyabiashara maarufu jijini Dar es Salaam, Ndama Shabani Hussein, maarufu kama Pedeshee Ndama mtoto wa Ng’ombe (44) kupandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

12 months ago

Habarileo

Jalada lamkwamisha Ndama ‘Mtoto wa Ng’ombe’

KESI ya utakatishaji fedha ya Sh bilioni 1.8 inayomkabili mfanyabiashara Ndama Hussein (44) maarufu kama ‘Ndama mtoto wa Ng’ombe’, imeahirishwa hadi Januari 6, mwakani baada ya upande wa mashitaka kudai kuwa hawana jalada la polisi.

 

6 months ago

Mwananchi

Kesi ya Ndama, Mtoto wa Ng’ombe yahairishwa

Kesi inayomkabili mfanyabiashara, Shabani Hussein maarufu Pedeshee Ndama Mtoto wa Ng'ombe imeahirishwa hadi Julai 20, 2017 baada ya upande wa mashtaka kudai upelelezi bado haujakamilika. 

 

11 months ago

Mtanzania

MAHAKAMA YATAKA UPELELEZI KESI YA PEDESHEE NDAMA UKAMILIKE

Gavel-300dpi-Small

Na Kulwa Mzee -Dar es Salaam

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imeutaka upande wa Jamhuri kukamilisha haraka upelelezi katika kesi ya  kughushi, kutakatisha fedha na  kujipatia Dola za Marekani 540,390 kwa udanganyifu inayomkabili mfanyabiashara Ndama Shabani Hussein, maarufu kama Pedeshee Ndama Mtoto wa Ng’ombe (44).

Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, Victoria Nongwa, alisema hayo jana baada ya Wakili wa Serikali, Leonard Challo kudai mahakamani wakati kesi ilikuwa...

 

3 years ago

Mtanzania

Upelelezi kesi ya wahitimu JKT umekamilika Wakili

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
UPELELEZI wa kesi inayowakabili wahitimu sita wa mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) umekamilika .
Hayo yalielezwa jana na Wakili wa Serikali, Gines Tesha mbele ya Hakimu Mkazi, Frank Moshi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Washtakiwa katika kesi hiyo ni Mwenyekiti wa Umoja wa wahitimu hao, George Mgoba, Makamu Mwenyekiti, Parali Kiwango, Katibu Linus Steven na wahitimu wengine, Emmanuel Mwasyembe, Ridhiwani Ngowi na Jacob Mang’wita.
Tesha alidai kwamba...

 

5 months ago

Mwananchi

Wakili wa kina Kitilya ataka kujua upelelezi umefikia wapi

Wakili Majura Magafu ameutaka upande wa mashtaka katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Kampuni ya Uwekezaji wa Mitaji na Dhamana (Egma), Harry Msamire Kitilya na waliokuwa maofisa wa Benki ya Stanbic, Shose Mori Sinare na Sioi Graham Solomon kueleza upelelezi umefikia wapi.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani