Wakili Kibatala ajitoa kesi ya Wema Sepetu, Msando achukua nafasi

Kesi inayomkabili Muigizaji wa filamu Bongo, Wema Sepetu, imeahirishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Jumatano kuendelea mpaka tarehe 8, Februali mwaka huu.

Wema Sepetu  na aliyekuwa wakili wake ndugu Kibatala akitoka nje ya Mahakama ya Hakimu MKaziKisutu Dar siku za hivi karibuni

Katika kesi hiyo iliyokuwa inaendelea katika Mahakama hiyo. Mahakama imepokea barua mbili kutoka Wakili wa Malkia huyo, Peter Kibatala barua ya kujitoa kuwa Wakili wa Wema na nyingine kutoka kwa Wakili...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Wakili Peter Kibatala ajitoa kesi ya Wema Sepetu

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Januari 10, 2018 imeahirishwa kesi inayomkabili Malkia wa filamu Bongo, Wema Sepetu,  mpaka tarehe 8, Februali mwaka huu.

Mahakama imepokea barua mbili kutoka kwa Wakili wa Wema, Peter Kibatala barua ya kujitoa kuwa Wakili wa Wema na nyingine kutoka kwa Wakili Alberto Msando ya kuwa Wakili mpya wa Wema sepetu.

Wema anakabiliwa na kesi ya kukutwa na misoko ya bangi nyumbani kwake.

The post Wakili Peter Kibatala ajitoa kesi ya Wema Sepetu appeared first on...

 

1 year ago

Malunde

WAKILI KIBATALA AJITOA KESI YA WEMA SEPETU DAWA ZA KULEVYA

Wakili Peter Kibatala ameiandikia barua Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akiomba kujitoa kumuwakilisha msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu katika kesi ya dawa za kulevya inayomkabili.

Hatua hiyo imekuja leo Jumatano, baada ya shauri lililopita Desemba 12, mwaka jana, mahakama hiyo kuelezwa kuwa wakili wa Wema hajafika na kushindwa kuendelea kusikiliza kesi hiyo.

Mbali na wakili Kibatala kuomba kujitoa katika kesi hiyo, mahakama hiyo imepokea barua kutoka kwa Wakili Albert Msando kuomba...

 

1 year ago

Michuzi

Kesi ya Wema, Kibatala nje Msando ndani

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii.
Wakili wa msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu, Peter Kibatala ameiandikia barua Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kuomba kujitoa kumuwakilisha katika kesi ya dawa za kulevya inayomkabili.
Wakati huohuo, mahakama imepokea barua kutoka kwa Wakili Albert Msando kuomba kumuwakilisha msanii huyo, Wema, katika kesi hiyo na kuomba apewe muda wa kupitia jalada hilo kabla ya kuendelea na kesi.
Hatua hiyo imekuja baada ya Desemba 12, mwaka jana katika shauli lililopita...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Kibatala, Tundu Lissu waukataa ushahidi kesi ya Wema Sepetu

Ushahidi wa kesi inayomkabili  malkia wa filamu Wema Sepetu na wenzake wawili kuhusiana na matumizi ya dawa za kulevya aina ya bangi, bado ni kizaazaa baada ya kuzua mvutano mzito katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salam hapo jana.

Wakili wa upande wa washtakiwa Peter Kibatala na Tundu Lisu, wameupinga ushahidi wa vielelezo ambavyo vimefikishwa mahakamani hapo na ofisa kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu kwa madai kuwa kuna baadhi ya vitu vimeonekana katika ushahidi huo ambapo...

 

2 years ago

Bongo5

Trevor Noah ajitoa kusherehesha tuzo za MTV MAMA, Bonang Matheba achukua nafasi yake

Mtangazaji na mchumba wa rapper wa Afrika Kusini, AKA, Bonang Matheba ametangazwa kuwa mshereheshaji wa tuzo za mwaka huu za MTV MAMA akichukua nafasi ya mchekeshaji Trevor Noah aliyetangaza kutoshiriki.

14676805_1687107708272240_8529433097098231808_n

Trevor ametangaza kujitoa kwenye nafasi hiyo ya kusherehesha kwenye tuzo hizo kama ilivyotangazwa mwanzo sababu ikiwa ni kuumwa hivyo dokta wake akimtaka apumzike hiyo ikiwa ni kwa mujibu wa taarifa aliyoiweka kwenye mtandao wake wa Twitter.

noah

Baada ya kutangazwa kuchukua nafasi ya Noah,...

 

2 years ago

Bongo5

Kuna watu wanaongea, wamekasirika mimi kumsaidia Wema Sepetu – Albert Msando

Mwanasheria wa Wema Sepetu, Albert Msando amefunguka kwa kudai kuwa kuna watu hawakupenda yeye kumsaidia kisheria muigizaji huyo wa filamu ambaye hivi karibuni alishikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kukutwa na msokoto wa bangi nyumbani kwake pamoja na makosa mengine.

Muigizaji huyo alifika kituoni hapo February 3 na kushikiliwa na jeshi hilo kwa siku 6 baada ya jina lake kutajwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kuwa ni mmoja kati ya watu wanaotuhumiwa kutumia Madawa ya...

 

5 years ago

GPL

WEMA SEPETU AJITOA FAHAMU OFISI ZA GLOBAL

Kwa tukio zima la jinsi Wema Sepetu alivyojitoa fahamu kwenye ofisi za Global Publishers, usikose kusoma Gazeti la Amani kesho Alhamisi na kuangalia video ya picha nzima kupitia Global Tv Online

 

2 years ago

MillardAyo

MSG ya dada wa Diamond kwa mama Wema Sepetu kuhusu kesi ya Wema

Ni baada ya mwigizaji Wema Sepetu kushikiliwa na Polisi mpaka sasa kuhusiana na tuhuma za dawa za kulevya ambapo baadhi ya Watuhumiwa wenzake walifikishwa Mahakamani jana na kuachiwa kwa dhamana lakini yeye hakupelekwa. Dada wa mwimbaji Diamond Platnumz aitwae Esma Platnumz ametumia account yake ya instagram kumuandikia ujumbe  wa kumfariji mama mzazi wa Wema Sepetu. “Najua hakuna mzazi anayeuwa bali […]

The post MSG ya dada wa Diamond kwa mama Wema Sepetu kuhusu kesi ya Wema appeared first...

 

3 years ago

Bongo5

Wema Sepetu achukua pointi 3 kwa kumuombea kura za BET Awards Diamond

Inaonekana somo la uzalendo limewaingia vyema mastaa wetu licha ya tofauti zao. Baada ya hivi karibuni Alikiba kuwaomba watanzania wampigie kura Diamond anayewania tuzo za BET, Wema Sepetu naye amefanya hivyo.

image

Wema ametumia Instagram kuwaambia mashabiki wake wampigie kura ex wake huyo aliyetajwa kuwania kipengele cha Best International Act: Africa.

“Uzalendo ndo unaotakiwa… Tanzania Kwanza Vingine Baadae… Ama nene…? Vote Vote Vote….,” ameandika Wema kwenye picha ya BET Awards aliyoiweka...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani