Wakimbizi wenye ualbino kutengewa eneo maalum katika kambi ya Nduta

Kambi ya wakimbizi ya Nduta iliyopo wilayani Kibondo Mkoa wa Kigoma imewatengea eneo maalumu la kuishi watu wenye ulemavu wa ngozi ili kulinda usalama wa maisha yao.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Kambi hiyo, Peter Buluku alipokuwa akiongea na mwandishi wa habari hii juu ya maisha halisi ya wakimbizi hao wanaoishi katika kambi hiyo wakitokea nchini Burundi.

Buluku amesema kuwa katika kambi hiyo kuna baadhi ya wakimbizi wanaojihusisha na vitendo vinavyohatarisha usalama wa wakimbizi wenzao...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

Kambi ya wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo mkoani Kigoma yawatengea watu wenye ulemavu wa ngozi eneo la kuishi

Mkuu wa Kambi ya wakimbizi ya Nduta iliyopo wilayani Kibondo, Mkoa wa Kigoma Bw. Peter Buluku akizungumza na wanahabari kwenye Ofisi ndogo ya Wizara ya Mambo ya ndani kuhusu kutenga eneo kwa ajili ya wakimbizi wenye ualbino.
Habari na  picha na Jacquiline Mrisho- MAELEZO Kigoma 
Kambi ya wakimbizi ya Nduta iliyopo wilayani Kibondo Mkoa wa Kigoma imewatengea eneo maalumu la kuishi watu wenye ulemavu wa ngozi ili kulinda usalama wa maisha yao.Hayo yamesemwa na Mkuu wa Kambi hiyo, Peter Buluku...

 

1 year ago

Michuzi

UNHCR YAWAWEZESHA WAKIMBIZI WENYE MAHITAJI MAALUM KUKABILIANA NA CHANAGAMOTO ZA MAISHA NDANI YA KAMBI YA NDUTA WILAYA KIBONDO MKOANI KIGOMA

Ujumbe wa Wanahabari na wafanyakazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la  Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR)  Wakiwa na Maofisa wa Shirika la Help Age International wakizungumza na Kikongwe cha Miaka 80 ambaye anapata huduma za kijamii kutoka UNHCR Kupitia  Shirika la Help age ndani ya Kambi ya Wakimbizi ya Nduta Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma. Wazee na Walemavu katika Kambi hizo za wakaimbizi wamekuwa na Changamoto kubwa ya kuweza kujipatia mahaitaji ya kila siku na kufanya shughuli zingine...

 

2 years ago

RFI

MSF Tanzania yasema magonjwa ya akili yameongezeka katika kambi ya wakimbizi ya Nduta

Shirika la Kimataifa la Madktari wasiokuwa na mipaka, Médecins Sans Frontières (MSF), linasema kuna ongezeko mkubwa wa kiwango cha magonjwa ya akili katika kambi ya wakimbizi ya Nduta katika jimbo la Kigoma nchini Tanzania.

 

4 months ago

RFI

MSF: Maambukizi ya Malaria yapungua katika kambi ya wakimbizi ya Nduta nchini Tanzania

Shirika la Kimataifa la Madaktari wasiokuwa na mipaka MSF, linasema, kiwango cha maambukizi ya ugonjwa wa Malaria, kimepungua kwa kiasi kikubwa kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita katika kambi ya wakimbizi ya Nduta, Magharibi mwa Tanzania.

 

1 year ago

Michuzi

ZIARA YA NAIBU WAZIRI MHANDISI MASAUNI NA WAZIRI BARANDAGIYE WA BURUNDI KATIKA KAMBI ZA WAKIMBIZI NDUTA NA MTENDELI MKOANI KIGOMA

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza katika mkutano wa hadhara na wakimbizi wa Burundi wanaoishi katika kambi za Nduta na Mtendeli, mkoani Kigoma, ikiwa ni ziara ya kikazi kukagua zoezi la urejeshwaji wa wakimbizi hao katika nchi yao. Katika ziara hiyo Naibu Waziri aliongozana na Waziri wa Mambo ya Ndani na Mafunzo ya Uzalendo kutoka serikali ya Burundi, Pascal Barandagiye (hayupo pichani).Waziri wa Mambo ya Ndani na Mafunzo ya Uzalendo kutoka...

 

3 years ago

Michuzi

Watoto wenye Ualbino Mbinga wapewa mafuta maalum ya kulinda ngozi

Katibu tawala wa wilaya ya Mbinga Gilbert Simya na mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya mji wa Mbinga Robert Mageni waliosimama nyuma wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanachama wa chama cha albino wilaya ya Mbinga, baada ya kukabidhi msaada wa mafuta yenye thamani ya shilingi laki 8 yaliyotolewa na chama cha walemavu wilayani humo kwa ufadhili wa hospitali ya KCMC ya mjini Moshi mkoani Kilimanjaro. Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya mji wa Mbinga mkoani Ruvuma Robert...

 

4 years ago

Dewji Blog

Idadi ya Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa katika kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu yaongezeka

PIXX 3

Wakimbizi kutoka nchini Burundi  walioko katika kambi ya Nyarugusu wakiwa wamebeba shehena ya unga wa mahindi jana, muda mfupi baada ya kugawiwa chakula hicho Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia chakula (WFP), lililoweka kituo chake katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu wilayani Kasulu, mkoani Kigoma.(PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI, WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI).

PIXX 1

Mkimbizi kutoka nchini Burundi, Jacqueline Elulu (mwenye mtoto), akisubiri kupata huduma ya...

 

2 years ago

Michuzi

Airtel Money yaisaidia WFP kutuma Pesa kwa Wakimbizi katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu

Airtel Tanzania imeanzisha njia  mpya  na rahisi ya Near – Field Communication (NFC) ambayo ni mfumo wa malipo utakaoisaida Shirika la chakula Duniani  (WFP)  kuhamisha fedha kwa wakimbizi wapatao 10,000 kama sehemu ya mgao wao wa chakula kwa miezi mitatu ikiwa ni  mpango wa majaribio wa kuboresha huduma katika kambi ya wakimbizi ya  Nyarugusu.
Chini ya majaribio hayo, kwa sasa wakimbizi hao watapokea fedha kwa njia ya simu ya mkononi yenye dhamani ya  fedha za kimarekani $ 4.50 (shilingi...

 

4 years ago

Michuzi

ZOEZI LA KUWAPOKEA WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI LAENDELEA VIZURI KATIKA KAMBI YA WAKIMBIZI NYARUGUSU MKOANI KIGOMA

 Mkuu wa kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu B iliyopo wilayani Kasulu Mkoani Kigoma, Fredrick Nisajile akiongea na wakimbizi walio katika mpango wa kuhamishiwa kwenye kambi za Nduta, Mtendeli na Karago.Wakimbizi hao waliopokelewa kutoka nchini Burundi hivi karibuni kwa sasa wanahifadhiwa kwa muda katika kambi ya Nyarugusu. Wakimbizi kutoka Burundi walioko katika Kambi ya Nyarugusu wakiandaa mboga ya kisamvu kama walivyokutwa na mpiga picha wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi aliyeko katika...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani