Wakulima Morogoro watoa kilio chao kwa Serikali

WAKULIMA wadogo mkoani Morogoro wameiomba Serikali kuangalia uwezekano wa kuyashauri makampuni ya mbolea kupunguza kipimo cha mifuko ya mbolea ambacho watamudu kununua ili kuwawezesha kulima kilimo chenye ubora. Anaripoti Christina Haule … (endelea). Wakulima hao wameomba Serikali kuzungumza na makampuni hayo ya mbolea ikiwezekana wafunge mifuko ya kila 10 ya mbolea badala ya ile ya ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Habarileo

Wakulima Bariadi watoa kilio chao

WAKULIMA wa kijiji ha Nhobora wilayani Bariadi mkoani Simiyu wameiomba serikali kumwendeleza kielimu mkulima mwezeshaji wao, kwani amekuwa akiwasaidia kuwaelimisha juu ya kilimo bora, ukilinganisha na bwana shamba, ambaye amekuwa akionekana kijijini hapo mara mbili kwa mwaka.

 

5 years ago

Michuzi

madaktari walalamikia kutokamilika kwa miradi ya ujenzi vituo vya afya kwa wakati,wakulima wa tumbaku waangusha kilio chao mbele ya Kinana wilayani sikonge

   Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo ya ujenzi wa jengo la upasuaji na Dk.Sylvanus Kabutura Mganga Mfawidhi wa kituo cha afya cha Kata ya Kitunda wilayani Sikonge,Daktari Kabutura  alimueleza Katibu Mkuu wa CCM changamoto kubwa uhaba wa maji katika kituo hicho,na pia kutokamilika kwa jengo kubwa la huduma za upasuaji na huduma nyingine zaidi ya mwaka,jambo ambalo Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana hakufurahishwa nalo,kwani kumekuwepo na malalamiko makubwa kutoka kwa...

 

2 years ago

Channelten

Wananchi watoa kilio chao cha maji Waenda mkutanoni wakibeba madumu ya maji

screen-shot-2017-01-08-at-5-56-22-pm

Katika hali isiyokuwa ya kawaida wauzaji wa maji na wananchi wa kata za Kasamwa na Kanyara Wilayani Geita wemelazimika kwenda na madumu ya kuchotea maji kwenye mkutano wa hadhara hili kuwakilisha kilio chao mbele ya mbunge wa viti maalumu Upendo Peneza.

Hali hiyo imejitokeza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika uwanja wa ng’ombem lengo likiwa kusikiliza kero za wananchi na kuzipeleka bungeni ili zifanyiwe kazi na wahusika.

Wauzaji hao na wananchi waliokuwa na madumu yao yakiwa pembeni ya...

 

2 years ago

Michuzi

WAONGOZA UTALII / WABEBA MIZIGO YA WATALII WATOA KILIO KWA SERIKALI

Waongoza utalili wanaosaidia watalii kupanda milima wameiomba serikali kutazama upya malipo wanayopewa katika utekelezaji wa kazi zao kwasababu hayalingani na ugumu wa kazi wanazofanya kuhudumia watalii.Kwa sasa waongoza watalii hao wanalipwa wastani wa kiwango cha dola 10 za kimarekani kwa siku ,kiasi ambacho hakilingani na kazi wanazozifanya.
Hayo yamesemwa na katibu wa waongoza watalii Immanuel Mollel katika sa kongamano la mambo ya utalii na uhifadhi kwa waandishi wa habari na wadau wa...

 

4 years ago

Tanzania Daima

Magema kupeleka kilio chao kwa Pinda

BAADA ya uongozi wa Wilaya na Mkoa wa Geita kukaidi kusikiliza malalamiko ya wananchi wa Kitongoji cha Magema kilichopo kijiji cha Nyamalembo, wananchi hao wameazimia kupeleka malalamiko yao kwa Waziri...

 

2 years ago

Mtanzania

Walemavu Dar wafikisha kilio chao kwa meya

Isaya Mwita

Isaya Mwita

Na YASSIN ISSAH, DAR ES SALAAM

UMOJA wa Walemavu Waendesha Bajaji jijini la Dar es Salaam, wamemwomba Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita,  kuhakikisha wanapatiwa vituo vya kufanyia biashara zao ili kuondokana na adha wanazopata za kulipishwa faini.

Akizungumza jana katika mkutano ulifanyika katika ukumbi wa Karimjee, Mwenyekiti wa umoja huo,  Nyaikoba Msabi alisema kwa kipindi kirefu polisi wamekuwa wakiwanyanyasa bila kujali hali waliyokuwa nayo.

“Tunanyanyasika, polisi...

 

5 years ago

Mwananchi

Serikali isikilize kilio cha wakulima wa pamba

Juni 18 mwaka huu, Bodi ya Pamba (TCB) ilitangaza kuanza kwa msimu mpya wa uvunaji wa zao hilo, sambamba na kutangaza bei mpya kwa msimu wa mwaka 2014/15 kwa wakulima kutoka Kanda ya Ziwa.

 

4 years ago

Michuzi

MFUKO WA UTT WATOA ELIMU KWA WATUMISHI WA SERIKALI NA WAKULIMA JUU YA MIFUKO YA UWEKEZAJI MKOANI LINDI

Ofisa Masoko wa UTT, Rahim Mwanga akitoa mafunzo kwa watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi kuhusu, mifuko ya uwekezaji inayoendeshwa na UTT.   Watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa na Ofisa Masoko wa UTT, Rahim Mwanga. Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi, wakimsikiliza Ofisa Masoko wa UTT, Rahim Mwanga wakati akitoa mafunzo kwa watumishi hao juu ya mifuko ya uwekezaji inayoendeshwa na UTT.  Mkurugenzi wa Masoko na Uhusino...

 

2 years ago

Mwananchi

Viwavi jeshi wanavyoacha kilio kwa wakulima

Wakati wakulima wengi wakianza kuona mwanga wa matumaini baada ya kuanza kunyesha mvua za masika, changamoto kubwa inayowaweka roho juu imeibuka katika baadhi ya maeneo nchini.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani