WAKULIMA MTWARA WA MLILIA JPM, WATAKA IUNDWE TUME YA UCHUNGUZI

Baadhi ya wanachama wa vyama vya Msingi vya ushirika wa Kilimo na Masoko katika wilaya Newala na Tandahimba Mkoani Mtwara wamemuomba Rais Dkt John Pombe Magufuli kuunda tume maalum ya kufanya uchunguzi juu ya Chama Kikuu cha Ushirika cha TANECU, ambacho hivi karibuni Naibu Waziri wa Kilimo Dakta Merry Mwanjelwa ametangaza kukigawa huku wanachama wake wakionekana kutoridhishwa na maamuzi hayo.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI ANGELLINA MABULA " IUNDWE KAMATI YA UCHUNGUZI JUU YA UPIMAJI WA VIWANJA KATIKA HALMASHURI MPYA YA PERAMIHO"

Naibu Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, DOKTA. ANGELLINA MABULA , ameagiza kuundwa kwa kamati ya uchunguzi wa viwanja vinavyopimwa katika halmashauri mpya ya peramiho, iliyopo wilaya ya songea mkoani mkoani Ruvuma, baada ya kuonekana kuwepo na ujanjaujanja katika upimaji huo ikiwemo kufanya uchunguzi wa utunzaji wa kumbukumbu ya ardhi katika halmashauri hiyo.

 

2 years ago

Michuzi

RC WA RUVUMA OLE SENDEKA AAGIZA TUME IUNDWE KUCHUNGUZA CHANZO CHA MOTO SEKONDARI YA ITAMBA

Na Edwin MoshiMkuu wa wilaya ya Makete Mh Veronica Kessy ameagizwa kuunda tume ya kuchunguza tukio la kuungua kwa bweni la wasichana liitwalo Serengeti la Itamba sekondari mkoani Ruvuma, pamoja na bweni lingine la wasichana lililoungua Jumamosi iliyopita.
Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa mkoa wa Njombe Mhe. Christopher Ole Sendeka alipotembelea shule hiyo kujionea athari za moto huo ulioteketeza bweni moja lote
Amesema serikali haiwezi kukubali na ni lazima chanzo cha moto huo kijulikane na...

 

2 years ago

Malunde

ACACIA WASISITIZA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI IMEJAA UPOTOSHAJI WA HALI YA JUU,WATAKA UCHUNGUZI HURU

Kampuni ya Acacia imesema ripoti kuhusu mchanga wa dhahabu aliyopewa Rais John Magufuli Jumatano ya wiki hii imejaa upotoshaji wa hali ya juu na imependekeza kufanyika kwa uchunguzi mpya ambao ni huru ili kuweza kupata ukweli.
Katika taarifa yake ya jana, Kampuni ya  Acacia, yenye makao makuu jijini London, Uingereza, imesema kwamba, imejaribu mara kadhaa kuomba nakala ya ripoti hiyo nzima pamoja na utaratibu wa kuchukua sampuli kwenye uchunguzi huo, lakini mpaka sasa haijapewa.
“Kwa...

 

2 years ago

Michuzi

Jaji Lubuva aitaka Tume ya Haki za Binadamu kujifunza kwa Tume ya Uchunguzi kuimarisha Utawala Bora

Hussein Makame, NEC .
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Damian Lubuva ameitaka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) kujifunza uzoefu wa tendaji wa Tume ya Kudumu ya Uchunguzi (TKU) ili kuimarisha utawala bora nchini.

Jaji Mst. Lubuva ametoa wito huo wakati akeleza uzoefu wake juu ya utendaji kazi wa Tume ya Kudumu ya Uchunguzi (TKU) wakati wa Maadhimisho ya Miaka 50 ya Tume hiyo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.

Alisema pamoja na...

 

3 years ago

Channelten

Wakulima wa zao la korosho wilaya ya Mtwara wamelalamikia ugumu wa upatikanaji wa Pembejeo kwa wakulima wa korosho

 

korosho

Wakulima wa zao la korosho wilaya ya Mtwara wamelalamikia ugumu wa upatikanaji wa pembejeo kwa wakulima wa korosho unaosababisha zao hilo kuendelea kudumaa,hali inayorudisha nyuma jitihada za wakulima kuendelea kulima zao hilo.

Wakitoa malalamiko yao mbele ya Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho nchini Anna Abdallah wakati akiangalia kuangalia upandaji wa miche bora ya kisasa ya mikorosho katika kata ya Tangazo,wakulima wa zao hilo wamesema inashangazwa kuona serikali inatoa ruzuku ya pembejeo...

 

3 years ago

Habarileo

Mawakala forodha wataka uchunguzi

CHAMA cha Mawakala wa Forodha nchini (TAFFA) kimeiomba serikali kuunda tume huru itakayochunguza sakata la mizigo inayodaiwa kutolewa bandarini bila kulipiwa kodi na kuweza kutenda haki.

 

3 years ago

Habarileo

Wataka uchunguzi ugonjwa ulioua 7 Dom

WAKAZI wa Kijiji cha Mwaikisabe Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma wameiomba serikali kuchukua hatua za haraka kufanya uchunguzi juu ya ugonjwa ulioibuka na kuua watu saba, wakiwemo watatu wa familia moja huku zaidi ya wagonjwa 20 wakiwa wamelazwa hospitali.

 

2 years ago

Channelten

Mauaji ya Petro Mhagama Ndugu wataka uchunguzi ufanyike

Ndugu wa marehemu Petro Mhagama anayedaiwa kufariki dunia kutokana na kupigwa na askari mmoja wa Jeshi la Polisi kutoka kituo cha Mbezi kwa Msuguri jijini Dar es salaam aliyefahamika kwa jina la Shilemizi wamelitaka Jeshi la Polisi kushughulikia suala la Uchunguzi wa kifo hicho kwa kufuata haki ili mtuhumiwa aweze kukamatwa na kufikishwa mbele ya vyombo vya Sheria.

Channel Ten imeshuhudia familia ya mareheme Petro Jacob ikiwa katika jengo la kuhifadhia maiti lililopo Hospitali ya Taifa ya...

 

5 years ago

Mwananchi

Nyamongo wataka kufanya ya Mtwara

Wananchi wa Nyamongo, Wilaya ya Tarime, wamesema kitendo cha Mgodi wa North Mara kutaka kuanza kuchimba madini chini kwa chini kutasababisha wananchi kunyimwa fidia zao kwa sababu mgodi hautakuwa tayari kuwalipa fidia.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani