WAKULIMA NJOMBE WAFURAHIA MBEGU BORA YA MUHOGO WAWASHUKURU WATAFITI SERIKALI


Na: Calvin Edward Gwabara-Njombe.
Wakulima Mkoani Njombe wamewashukuru watafiti na Serikali kwa kuwezesha kupatikana kwa mbegu bora za muhogo ambazo zinauwezo wa kustawi kwenye maeneo ya baridi hasa nyanda za juu kusini baada ya utafiti wa mwaka mmoja ulifanywa na watafiti kutoka kituo cha utafiti wa kilimo cha Mikocheni MARI na chuo kikuu cha Dar es salaam.
Wakiongea kwa furaha wakati wa zoezi la kuvuna mihogo hiyo ambayo ilipandwa mwaka mmoja uliopita wakulima hao wamesema sasa wamepata zao...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

WAKULIMA WILAYA YA CHATO WAFURAHIA KUPATA MBEGU BORA KUTOKA COSTECH

Na Dotto Mwaibale, Chato
WAKULIMA Wilaya Chato mkoani Geita wamefurahia mbegu bora ya mihogo, mahindi na viazi lishe waliopewa na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) ili kuanzisha mashamba darasa ya mbegu hizo na kuzisambaza kwa wakulima wengine katika maeneo mengine.
Wakizungumza wilayani hapa leo kwa nyakati tofauti wakati wa uzinduzi wa mashamba darasa ya mbegu hizo katika vijiji vya Kibehe, Ipandikilo, Kitongoji cha Kaseni, Kijiji cha Itale na Bukiliguru kilichopo Kata...

 

2 years ago

Michuzi

DC Babati awataka wakulima kuunga mkono jitihada za watafiti wa mbegu

Mkuu wa Wilaya ya Babati, Raymond Mushi akizungumza na wakulima na watafiti wa Mradi wa utafiti mbegu bora chotara za mahindi zinazostahimili ukame na magonjwa (WEMA), katika maadhimisho ya Siku ya Wakulima Katika Mtaa wa Maisala Kata ya Babati Mjini, wilayani Babati. Mratibu wa Mradi wa WEMA, na Mtafiti kutoka Kituo cha Utafiti Ilonga, Dk. Justin Ringo (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Babati, Raymond Mushi (kulia) juu ya shamba la majaribio ya mbegu...

 

3 years ago

Channelten

Wakulima Wahimizwa Kutumia Mbegu Bora

mbegu
Kutokana na uhitaji wa soko la mpunga nchini wakulima wametakiwa kupanda mbegu zilizofanyiwa utafiti na taasisi za utafiti wa mbegu ili kuondoa uwezekano wa kupanda mbegu zinazoweza kuwaingizia hasara.

Akiongea katika maonyesho ya wakulima wa mbegu bora 32 za mpunga chotara ikiwemo ATO 39 inayodaiwa kuzalisha tan 10 kwa hekta, Mkoani morogoro Afisa mawasiliano wa kampuni ya AFRITEC Wandera Ojanji amesema mbegu hiyo imeonesha mapinduzi hususani katika nchi zilizo kusini mwa sahara ambapo...

 

2 years ago

Mwananchi

Mbegu bora za chai, kahawa kuwatajirisha wakulima

 Wakulima wanatarajia kunufaika na kazi za mikono yao baada ya kupatikana kwa mbegu zinazovumilia ukame na magonjwa, jambo litakaloongeza mavuno.

 

2 years ago

Michuzi

Wakulima washauriwa kutumia mbegu bora kuongeza uzalishaji.


Na Mwandishi Wetu,Songwe.
WAKULIMA wa zao la maharage Mkoani Songwe wameshauri utumia vyema fursa ya mafunzo kutoka Taasisi ya Udhibiti wa Ubora wa mbegu Tanzania (TOSCI) kupitia mradi wa uhakika wa mbegu kwa chakula na kipato ili kuweza kuongeza tija ya uzalishaji na kipato katika kaya.

Hayo yamesemwa hivi karibuni Wilayani Momba na Mkuu wa Idara ya Kilimo toka shirika la Action for Development Program (ADP) Mathius Lisso ambaye pia ni bwana shamba wa mradi wa  uhakika wa mbegu kwa chakula na...

 

2 years ago

Michuzi

OLE NASHA AHIMIZA MATUMIZI YA MBEGU BORA KWA WAKULIMA

Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Ole Nasha (kushoto) akitambulishwa wafanyakazi wa kampuni ya Monsanto Tanzania baada ya ofisi yao kufunguliwa hapa nchini eneo la Njiro mkoani Arusha, kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Monsanto Afrika, Dk Shukla Gyanendra. Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Ole Nasha (kushoto) akikagua ghala la mbegu bora zenye uwezo wa kumpa mkulima mazao bora. Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Ole Nasha akizungumza jambo baada...

 

4 years ago

Michuzi

WAKULIMA ZAIDI YA 12,000 KUNUFAIKA NA MBEGU BORA ZA MAHINDI NA ALIZETI MKOANI

Baadhi ya wakuliwa wa mkoani Shinyanga, wakiwa na maofisa wa Agrics wakati wa mafunzo na uingiaji mkataba wa makubaliano yliofanyika Kijiji cha Ishololo, Wilaya ya Shinyanga Vijijini. Warsha hiyo iliongozwa na Lazaro Japhet (aliyesimama wa tatu kushoto mstari wa mbele. Zaidi ya wakulima 12,000 wanataraji kufaidika na mbegu za mahindi na alizeti kutoka Kampuni ya Agrics. Mahindi yaliyooteshwa kisayansi na kampuni ya Agrics kwa lengo la kuthibitisha ubora wa mbegu zinazotolewa kwa wakulima wa...

 

2 years ago

Channelten

Mbegu bora zao la mahindi, Wakulima Mufindi watakiwa kuunda vikundi

SAM_0652

WAKULIMA wa zao la Mahindi katika Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa wametakiwa kujiunga kwenye vikundi vidogo vidogo , ili waweze kupata mbegu kwa gharama nafuu, lakini pia kuwa na shamba darasa.

Taarifa ya Rose Chapewa kutoka Mufindi Mkoani Iringa inafafanua zaidiÖ.

Meneja wa kampuni inayozalisha mbegu za mahindi aina ya Pana Mikoa ya Nyanda za juu kusini Tolio Mafie , ametoa ushauri huu kwa wakulima wa zao la mahindi katika vijiji vya Malangali na kitelewasi Wilayani Mufindi, akiwataka...

 

1 year ago

Michuzi

MBEGU BORA YA MAHINDI YA WEMA 2109 KUWAONGEZEA TIJA WAKULIMA CHALINZE


Na Dotto Mwaibale, Chalinze

WAKULIMA wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mkoani wa Pwani wamefurahia kupokea mbegu bora ya mahindi aina ya Wema 2109 kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kupitia Jukwaa na Bioteknolojia kwa Maendeleo ya Kilimo (OFAB) kwa ajili ya kupandwa kwenye mashamba darasa katika halmashauri hiyo.

Akizungumza wakati wa makabidhiano ya mbegu hiyo kwenye uzinduzi wa mashamba darasa katika vijiji vya Diozile na Kibindu vilivyopo Kata ya Msoga mkoani...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani