WAKULIMA wa tumbaku mkoani Iringa wamemuomba Rais Magufuli kuingilia kati kutatua mgogoro kati yao na makampuni

kilimo-cha-tumbaku

WAKULIMA wa tumbaku mkoani Iringa wamemuomba Rais John Magufuli kuingilia kati kutatua mgogoro kati yao na makampuni ambayo wanadai awali yalifanya makubaliano ya kununua tumbaku kutoka kwa wakulima kwa msimu wa kilimo wa 2016/17 lakini baadaye yakavunja makubaliano hayo.

Wakulima hao kutoka vyama vya msingi vya ushirika kutoka wilaya ya Iringa wametoa kilio hicho kupitia walaka ambao wamemkabidhi mkuu wa wilaya ya Iringa Bw Richard Kasesela ambapo wamesema ktk msimu huu wa kilimo wa...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Channelten

Makampuni Yanayonunua Tumbaku, Wakulima Chunya waomba Waziri Kuingilia Kati

tumbaku
WAKULIMA wa zao la Tumbaku katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya wamelalamikia Makampuni yanayonunua Tumbaku wilayani humo, kukataa kufanya mkutano wa pamoja ambao unalenga kueleza changamoto zao, hivyo kuutaka uongozi wa Chama Kikuu cha Ushirika cha Wakulima wa Tumbaku ‘CHUTCU’ kumwambia Waziri mwenye dhamana ili aweze kuwasaidia kukutana na wanunuzi hao.

Wakizungumza kwenye mkutano mkuu wa kawaida wa 16 wamelalamikia wanunuzi hao ambao ni kampuni ya TLTC na PATL kuitwa mara...

 

2 years ago

Michuzi

WANANCHI WILAYANI RUFIJI WAMUOMBA RAIS MAGUFULI KUINGILIA KATI MGOGORO WA ARDHI BAINA YA WAKULIMA NA WAFUGAJI

NA VICTOR MASANGU, RUFIJI
WANANCHI wa kijiji cha Mloka kata ya Mwaseni  wilayani Rufiji Mkoa wa Pwani wamemwomba Rais wa awamu ya tano Dr.John Magufuli kuingilia kati haraka iwezekanavyo migogoro  ya kugombania  ardhi baina ya wafugaji na wakulima ya  ili kuweza kuepeukana  vurugu na mapigano ambayo yamekuwa yakijitokeza mara kwa mara na kusababisha baadhi ya watu kupoteza maisha yao na uvunjifu wa amani.
Kilio hicho wamekitoa kwa mbunge wa jimbo la Rufiji wakati wa mkutano wa adhara  katika...

 

2 years ago

Channelten

Wananchi Longido wamemuomba Mkuu wa Mkoa wa Arusha kuingilia kati mgogoro wa muda mrefu wa malisho

screen-shot-2016-10-29-at-4-51-55-pm

Wananchi wa Kata ya Tingatinga iliyopo Wilayani Longido Mkoani Arusha, wamemuomba Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo kuingilia kati mgogoro wa muda mrefu wa malisho kati yao na mwekezaji wa shamba la Ndarakwai.

Wakizungumza  katika mkutano wa hadhara baadhi ya wananchi hao akiwemo Diwani wa Kata hiyo, Peter Lekaneti na Mwenyekiti wa kijiji hicho Saruni Kitumi wamesema mgogoro huo wa malisho ni wa muda mrefu kwani shamba hilo lililozungushiwa uzio wa umeme mpakani mwa wilaya ya Siha na...

 

2 years ago

Channelten

Wahadhiri na wakufunzi 93 chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere wamemuomba Rais Magufuli kuingilia kati sakata la mshahara wao

Screen Shot 2017-01-19 at 3.06.11 PM

Wahadhiri wasaidizi na wakufunzi takaribani 93 wa chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kilichopo Kigamboni jijini Dar Es Salaam, wamemuomba Rais John Magufuli, kuingilia kati sakata la kutopatiwa nyongeza ya mshahara stahiki kwa miezi 21 sasa.

Kwa mujibu wa maelezo yao, wahadhiri hao wamedai kuhamishiwa kwenye chuo hicho kutoka taasisi mbalimbali za serikali ikiwemo Tamisemi, Wizara ya Elimu na Zanzibar tangu Julai mwaka 2015, na toka wakati huo bado wanalipwa mishahara ya utumishi wa...

 

2 years ago

Channelten

Mgogoro wa machinga Mwanza, Rais Magufuli aombwa kuingilia kati

Screen Shot 2017-08-15 at 5.11.29 PM

Katika hali isiyokuwa ya kawaida wafanyabiashara wadogo maarufu kwa jina la (Machinga), JANA wameangua vilio wakimuomba Rais Dk. John Pombe Magufuli, kuingilia kati mgogoro wa kutaifishiwa eneo lao na Halmashauri ya Jiji la Mwanza.

Eneo hilo lilipotaifishwa na kupatiwa mfanyabiashara mwingine, imedaiwa wafanyabiashara hao walianza kulazimishwa kulipia ushuru wa kutumia eneo shilingi laki moja na nusu kila mmoja.

Ni vilio vya wafanyabiashara vikitawala katika eneo la biashara la mtaa wa...

 

2 years ago

Ippmedia

Wananchi hai wamuomba Rais Magufuli kuingilia kati mgogoro wao na Serikali.

WANANCHI WA VIJIJI VYA BOMANG'OMBE NA MUNGUSHI VYA WILAYA YA HAI MKOANI KILIMANJARO WAMEMUOMBA RAIS JOHN MAGUFULI AINGILIE KATI MGOGORO WA KULIPWA FIDIA TANGU MWAKA 1978 ILI WAVIHAME VIJIJI VYAO KUPISHA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA WILAYA HIYO.

Day n Time: Jumapili saa 2:00 usikuStation: ITV

 

2 years ago

Michuzi

WAKAZI WA KASULU WAMWOMBA RAIS DKT MAGUFULI KUTATUA MGOGORO MIGOGORO YA MIPAKA KATI YA WANANCHI NA HIFADHI YA MISITU YA KAGERANKANDA

Na Rhoda Ezekiel Kigoma.
CHAMA Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Kasulu Kimemuomba Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Magufuli kuitimiza ahadi yake ya kuwasaidia Wananchi wa Wilaya ya Kasulu ya Kutatua Migogoro ya Mipaka inayo endelea baina ya Wananchi na eneo la hifadhi ya Misitu ya kagerankanda kama alivyo wahahidi Wananchi hao Wakati wa Kampeni kutatua kero hiyo endapo watakichagua Chama hicho.

Akizungumza na gazeti hili katibu mwenezi wa Wilaya ya Kasulu Masoud Kitowe...

 

3 years ago

StarTV

ACT Wazalendo wamwomba Dk. Magufuli kuingilia kati mgogoro wa Zanzibari

 

Chama cha ACT Wazalendo kimemtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Magufuli kuingilia kati suala la mgogoro wa Zanzibar na hatimaye matokeo ya uchaguzi yafahamike na mshindi atangazwe.

Kiongozi wa Chama hicho ambaye pia ni Mbunge mteule wa Kigoma Ujiji Zitto Kabwe amesema Rais asiposhughulikia suala hilo linaweza kusababisha mpasuko mkubwa.

 Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kazi anazozifanya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani