Wakulima wadogo wapigiwa debe kuhudhuria 88

MKUU wa Idara ya mazao ya Utafiti wa kilimo Kanda ya Mashariki, Salvatory Kundi ameiomba Serikali kutafuta njia mbadala ya kuwawezesha wakulima wadogo kufika kwa wingi katika maonesho ya wakulima ya 88 kutokana na wakulima wakubwa kufika kwa wingi tofauti na kusudio la maonesho. Anaripoti Christina Haule … (endelea). Kundi amesema maandalizi ya sherehe za ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MwanaHALISI

Wafanyabiashara wapigiwa debe bungeni

MBUNGE wa Viti Maalum, Jesca Kishoa (Chadema) amehoji ni kwanini serikali haioni haja ya kuwasaidia wafanyabiashara kwa kuwapa riba yenye mikopo nafuu ili iweze kukuza biashara zao, anaandika Dany Tibason. Akiuliza swali la nyongeza bungeni, Jesca alidai kuwa mikopo isiyolipika imekuwa kwa kiwango kikubwa tangu mwaka 1991 huku akidai sababu kubwa ni mbili ambazo ni ...

 

2 years ago

Mwananchi

Wabunifu wa Tehama wapigiwa debe

Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech), imezitaka taasisi za fedha nchini kuziona fursa zilizopo kwa wabunifu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) na kuwawezesha mitaji.

 

3 years ago

Mwananchi

Wajasiriamali wapigiwa debe kupata mikopo

Chama cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA), kimelitaka Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (Sido) liwape mbinu wajasiriamali wadogo ili waweze kupata mikopo katika taasisi za fedha.

 

4 years ago

Habarileo

Uvuvi wa bahari kuu wapigiwa debe

Amina Iddi MabroukKAMATI ya Uvuvi Mifugo na Utalii ya Baraza la Wawakilishi imeitaka Wizara ya Mifugo na Uvuvi kuharakisha kuanzisha Uvuvi wa Bahari Kuu ambao utasaidia kuongeza mapato kwa wananchi na taifa kwa kuvuna rasilimali iliopo.

 

4 years ago

Mwananchi

Wahitimu wa chuo cha Must wapigiwa debe la ajira

Wamiliki wa viwanda na kampuni nchini wameshauriwa kuwasiliana na Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Must) kama wanahitaji mafundi mchundo na wahandisi ili waweze kuwapata vijana wenye elimu sahihi.

 

4 years ago

Dewji Blog

Kampeni ya GROW yaendesha mdahalo wa kuhamasisha wakulima wadogo wadogo wanawake

 Meneja wa Kampeni haki ya Uchumi kutoka Oxfam Eluka Kibona akifungua mdahalo huo na mafunzo juu ya kujenga hoja ya upatikanaji wa chakula na haki ya chakula, kufuatilia upatikanaji wa haki kwenye rasilimali za ardhi na matumizi yake,na kuhamasisha uwekezaji kwa wakilima wadogo wadogo Hususani wanawake kwenye Muktadha wa mabadiliko ya Tabia nchi, katika kampeni ya GROW.   Mmoja wa washiriki wa Semina hiyo akielezea matarajio yake akiwa kama Mama shujaa wa Chakula na mkulima mwanamke...

 

4 years ago

Vijimambo

KAMPENI YA HAKI YA UCHUMI KATIKA MASWALA YA KILIMO YAENDESHA MDAHALO WA KUHAMASISHA WAKULIMA WADOGO WADOGO HUSUSANI WANAWAKE.


Meneja wa Kampeni haki ya Uchumi kutoka Oxfam Eluka Kibona akifungua Mdahalo huo na mafunzo juu ya Kujenga hoja ya upatikanaji wa Chakula na haki ya chakula, Kufuatilia upatikanaji wa haki kwenye Rasilimali za Ardhi na matumizi yake,na kuhamasisha uwekezaji kwa wakilima wadogo wadogo Hususani wanawake kwenye Muktadha wa mabadiliko ya Tabia nchi, katika kampeni ya GROW Mmoja wa washiriki wa Semina hiyo akielezea matarajio yake akiwa kama Mama shujaa wa Chakula na Mkulima mwanamke Jinsi...

 

2 years ago

Mwananchi

Wakulima wadogo kuwezeshwa

Serikali imetakiwa kuwawezesha wakulima wadogo ili wazalishe kwa tija na  kuwa na uhakika wa soko la  mazao yao na kupata faida.

 

4 years ago

Habarileo

Wakulima wadogo wakumbusha Azimio la Malabo

JUKWAA la wakulima wadogo kutoka nchi za Mashariki na kusini mwa Afrika (ESAFF) wamezitaka serikali za nchi zao kuhakikisha wanaheshimu azimio la Malabo kuhusu Kilimo na upatikanaji wa uhakika wa chakula.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani