Walichosema Diamond na Mastaa wengine Bongo kifo cha Sam wa Ukweli

Usiku wa kuamkia leo June 07, 2018 tasnia ya burudani Bongo imegubikwa na wingu zito kufuatia kifo cha msanii Sam Wa Ukweli.

Taarifa za kifo chake zimeshtua wengi kwani hakukua na taarifa za kuugua kwake hapo awali. Wasanii wenzake wameonesha kuguswa na kifo chake, hivi ni baadhi ya walivyoandika katika mitandao.

diamondplatnumzMBELE YAKO NYUMA YETU SAM…. InshaAllah Mwenyez Mungu ailaze Roho yako na za wote walotutangulia Mahala pema peponi Amin….🙏🏻 iamrubyafricaAaah ukinchukia sishangai 😫

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Michuzi

3 years ago

Bongo5

August Alsina aungana na mastaa wengine kuomboleza kifo cha Alton Sterling

Msanii wa muziki wa RnB Marekani, August Alsina ametembelea familia ya marehemu Alton Sterling.

Professo-Jay

Alton Sterling aliuawa wiki iliyopita na polisi wa kizungu wa Marekani huko Louisiana wakati akiuza CD kwenye eneo la kuegesha magari.

10734092_622894011152287_4301527838339956675_n

Kupitia akaunti yake ya instagram, August Alsina aliandika, “AltonSterling’s Aunt & The Store Owner who watched this tragedy play out. 2 People of God with Amazing strength…. but just because we’re strong doesn’t mean we don’t hurt. 💔 .”

eder

Mastaa kadhaa wa...

 

11 months ago

BBCSwahili

Msanii wa Bongo Fleva Tanzania Sam wa Ukweli ameaga Dunia.

Msanii wa Bongo Fleva, Salum Mohamed aliyetamba kwa jina la Jukwaani kama Sam wa Ukweli amefariki dunia usiku wa kuamkia leo

 

2 years ago

Bongo5

Sam wa Ukweli kuvunja kimya kirefu cha muziki hivi karibuni!

Staa wa Bongo Flava Sam wa Ukweli, anapania kuachia kibao kipya hivi karibuni. Sam ambaye amekuwa kimya kwa muda sasa anahisi ni wakati muafaka wa yeye kuikata kiu ya muziki kwa mashabiki wake.

Hata hivyo kibao hiki kwa jina Nawaona kinatarajiwa kuwa kibao kinachoeleza ugumu uliopo kwenye game ya muziki wa Bongo Flava kwa sasa. Hit maker huyo wa ‘Hata Kwetu Wapo’ alimtumia sample ya nyimbo hiyo mkali wa Muziki Majanga Dogo Rich ambaye walishawahi kufanya collabo pamoja awali...

 

5 years ago

GPL

HOFU YA KIFO YATAWALA MASTAA BONGO

Stori: Shani Ramadhani na Deogratius Mongela
HOFU ya kifo imetawala kwa mastaa Bongo ikiwa ni siku chache baada ya gazeti hili toleo la Jumamosi iliyopita kutoka na habari ya utabiri wa Hussein Yahaya, ikieleza kuwa mwaka huu vifo zaidi vitaendelea kwa wasanii wa filamu, muziki, waandishi wa habari, viongozi wa dini na wanasiasa. Aunt Ezekiel. Risasi Mchanganyiko limepata kuzungumza na baadhi ya wasanii wa sanaa mbalimbali...

 

3 years ago

MillardAyo

PICHA 10: Mastaa wa Bongo Wema Sepetu, Masanja, JB na wengine walivyopokelewa Bungeni leo

AW1A9775

Baada ya jana Diamond Platnumz na Mafikizolo kukaribishwa Bungeni, leo May 13 2016 Mastaa wengine wa Bongo wakiwemo Wema Sepetu, Jacob Stephen (JB), Single Mtambalike na wengine wamefika Bungeni. Hapa ninazo picha 10 kuanzia ndani hadi nje…

The post PICHA 10: Mastaa wa Bongo Wema Sepetu, Masanja, JB na wengine walivyopokelewa Bungeni leo appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Mastaa wa Bongo walivyotokea Bungeni leo, Wema Sepetu, JB, Masanja, Lilian na wengine

vlcsnap-2016-05-13-23h03m47s63

Baada ya jana Diamond Platnumz na Mafikizolo kukaribishwa Bungeni, leo May 13 2016 Mastaa wengine wa Bongo wakiwemo Wema Sepetu, Masanja Mkandamizaji, Jacob Stephen (JB), Single Mtambalike, Miss Tanzania 2014 lilian Kamazima na wengine wamefika Bungeni. Hii hapa video yao nimekusogezea… ULIIKOSA HII DIAMOND NA MAFIKIZOLO WALIVYOKARIBISHWA BUNGENI ? Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa […]

The post VIDEO: Mastaa wa Bongo walivyotokea Bungeni leo, Wema Sepetu, JB, Masanja, Lilian na...

 

2 years ago

MillardAyo

Diamond na mastaa wengine walivyoguswa na msiba wa Dogo Mfaume…

Leo May 17, 2017 tasnia ya muziki Tanzania imejawa na huzuni baada ya kutangazwa taarifa za kifo cha Mwimbaji Dogo Mfaume aliyefariki akiwa Muhimbili Hospital ambako alitarajia kufanyiwa upasuaji wa kichwa. Kutokana na kusambaa kwa taarifa hizo za majonzi ambazo zimegusa hisia za watu mbalimbali wakiwemo mastaa wa muziki, watu hao wameelezea masikitiko yao kupitia social media […]

The post Diamond na mastaa wengine walivyoguswa na msiba wa Dogo Mfaume… appeared first on...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani