Waliomchapa mwanamke viboko 30 mikononi mwa polisi

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Tarime/Rorya mkoani Mara, linawashikilia watu 10  wakiwemo viongozi watano wa baraza la mila liitwalo Irienyi ndogo la kabila la Wasimbiti kwa udhalilishaji wa kumchapa viboko mwanamke hadharani.

Mapema wiki hii, baadhi ya video ilisambaa katika mitandao ya kijamii, ikimuonesha mwanamke akichapwa viboko zaidi ya 30 hadharanina na wanaume mbele ya hadhara huku sauti za wanaume zilisikika zikishabikia kitendo hicho.

Kamanda wa Polisi Tarime/ Rorya, Andrew Satta...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Tanzania Daima

Mbowe mikononi mwa polisi

JOPO la Mawakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), na wanachama wa chama hicho, leo wamepanga kumsindikiza mwenyekiti wao Freeman Mbowe aliyeitwa Makao Makuu ya Polisi kwa ajili ya...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Lisu mikononi mwa polisi

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amekamatwa na Jeshi la Polisi na anashikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi Jijini Dar es Salaam.

Mbunge huyo amekamatwa punde tu baada ya kutoka Mahakama ya Kisutu ambako kesi dhidi yake kuhusu tuhuma za uchochezi ilifutwa na kukamatwa tena nje ya mahakama hiyo mara baada ya kumaliza kusikilizwa kwa kesi hiyo.

Hadi sasa sababu za kukamatwa hazijajulikana ingawa katika ujumbe alioutuma akiwa njiani kwenda kituoni hapo amehusisha kukamatwa kwake na...

 

5 years ago

Mtanzania

Hatima ya Kibonde mikononi mwa Polisi

Mtangazji maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde

Mtangazji maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde

Na Asifiwe George, Dar es Salaam

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillus Wambura, amesema Jeshi hilo kwa sasa lipo katika uchunguzi dhidi ya mtangazaji wa Kituo cha Redio cha Clouds FM, Ephraim Kibonde na mwenzake, Gadna Habash wa Times FM, ambao wameachiwa huru kwa dhamana.

Kamanda Wambura aliliambia MTANZANIA jana kwamba baada ya uchunguzi huo, iwapo watapatikana na hatia, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao, ikiwa ni pamoja na...

 

3 years ago

Mwananchi

Operesheni ya Chadema mikononi mwa polisi

Mji wa Kahama mkoani Shinyanga jana ulisimama kwa saa kadhaa baada ya Jeshi la Polisi kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya viongozi wa Chadema na wanachama wa chama hicho waliokuwa katika mkutano wa hadhara wa uzinduzi wa ziara ya Operesheni Demokrasia.

 

3 years ago

Raia Mwema

Godbless Lema mikononi mwa polisi

godbless_lema

Godbless Lema, Mbunge wa Arusha Mjini

Mbunge wa jimbo la arusha mjini Godbless lema bado anashikiliwa kituo kikuu cha polisi mjini Arusha akihojiwa maafisa wa upelelezi wa jeshi la polisi.

Kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoa wa arusha  charles mkumbo mbunge huyo anahojiwa kwa tuhuma za kusambaza katika mitandao kijamii video yenye kauli za kichochezi wiki iliyopita na atafikishwa mahakamani watakapokamilisha mahojiano

 

2 years ago

Habarileo

Mbowe mikononi mwa Polisi Dar

KATIKA kile kinachoelezwa kuwa ni kuitikia mwito wa Jeshi la Polisi uliomtaka afike Kituo Kikuu cha Polisi, Dar es Salaam kwa mahojiano jana, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, hatimaye jana amefika kituoni hapo.

 

5 years ago

Mwananchi

Mwandishi Mwananchi ajeruhiwa mikononi mwa polisi

Mwandishi wa habari wa Magazeti ya Mwananchi Communications Ltd, mkoani Geita, Salum Maige amejeruhiwa vibaya jichoni baada ya kushambuliwa na kundi la watu wanaodaiwa kuwa ni askari wa Kituo cha Polisi Geita.

 

3 years ago

Bongo5

Afande Sele mikononi mwa polisi Morogoro

Msanii mkongwe wa muziki kutoka Morogoro, Afande Sele amedai anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Morogoro kwa madai anagawa pesa kwa watu ili kuwashawishi wajitokeze katika maandamano ya UKUTA ambayo yamepigwa marufuku.
Afande

Rapper huyo ambaye ni mwanasiasa na aligombea ubunge kupitia cha ACT Wazalendo katika uchaguzi uliyopita, amedai yupo mikononi mwa polisi toka jana.

“Huku ni kushindwa kama sio kufeli, toka jana nipo mikononi mwa polisi eti naambiwa nimeratibu mkutano wa UKUTA ,...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Aliyemuingilia Ngombe aigia mikononi mwa polisi

Jeshi la polisi mkoa wa Kaskazini Unguja linamshikilia mkaazi mmoja wa kijiji cha Kiwengwa mwenye umri wa miaka 52 kwa tuhuma za kumuingilia ngombe kosa amblo ni kinyume cha sheria.

Akizungumza na  Mwanahabari wetu  juu ya tukio hilo kamanda wa polisi wa mkoa huo Hasina Ramadhan Taufik, amemtaja mtuhumiwa huyo kuwa ni Khamis Mlanjele Malongo ambapo anadaiwa  amemefanya kosa hilo  mnamo tarehe 18 mwezi huko kiwengwa mkoa wakaskazini Unguja.

Amesema uchunguzi wa tukio hilo unaendelea na...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani