WAMA kuelimisha mimba za utotoni

Mama Salma KikweteMKE wa Rais, Mama Salma Kikwete amesema katika mwaka huu Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (Wama), itaendelea kujikita katika kuelimisha jamii kuzuia na kudhibiti mimba za umri mdogo hususani kwa wanafunzi wa shule za sekondari.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

WAMA WAKISHIRIKIANA NA ENGENDER HEALTH WAANDAA SEMINA YA KUZUIA MIMBA ZA UTOTONI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI ZA WILAYA YA TEMEKE.

  Meneja Uragibishi na Mawasiliano wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Ndugu Philomena Marijani (aliyesimama)akitoa maelezo mafupi kuhusu semina ya siku 5 kwa wanafunzi wa Shule za Sekondari katika Wilaya ya Temeke itayozungumzia uzuiaji wa mimba za utotoni kwa wanafunzi wa wilaya hiyo. Semina hiyo inafanyika katika Shule ya Sekondari Kibasila kuanzia tarehe 13 hadi 17.4.2015.   Baadhi ya wanafunzi na walimu kutoka Shule 11 za Sekondari katika Wilaya ya Temeke wakisikiliza hotuba ya...

 

4 years ago

Michuzi

WAMA KWA KUSHIRIKIANA NA ENGENDERHEALTH KWA UFADHILI WA WATU WA MAREKANI KUZINDUA KAMPENI YA KUZUIA MIMBA ZA UTOTONI

Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) kwa kushirikiana na Engenderhealth kwa ufadhili wa watu wa Marekani itazindua kampeni ya kuzuia mimba za utotoni katika Shule za Sekondari ijulikanayo kama  “Jilinde Utimize Ndoto Yako” kesho Jumatatu tarehe 08 Desemba,  2014. 
Uzinduzi huo utafanyika katika viwanja vya Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) kuanzia saa 4.00 Asubuhi hadi 07.00 Mchana. Mgeni Rasmi atakuwa Mhe. Mama Salma Kikwete, Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA. Lengo la...

 

1 year ago

RFI

Mimba za utotoni

Fuatilia mada juu ya mimba za utotoni nchini Tanzania. Wanaharakati wanazungumza.

 

2 years ago

BBCSwahili

Mimba za utotoni Mtwara

Mkoa wa Mtwara ni moja ya mikoa nchini Tanzania ambako watoto wengi wa kike hukatisha masomo kwa ujauzito.

 

2 years ago

Mtanzania

MIMBA ZA UTOTONI ZAONGEZEKA

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Ummy Mwalimu.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Ummy Mwalimu.

MAULI MUYENJWA-DAR ES SALAAM.

UTAFITI mpya wa afya ya uzazi na mtoto na viashiria vya malaria kwa mwaka 2015 na 2016 umemulika matatizo makubwa yanayoitesa Tanzania.

Utafiti huo uliofanywa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ulizinduliwa jijini Dar es Salaam jana, ambapo moja ya tatizo lililoonekana kuongezeka ni mimba za utotoni.

Kwa mujibu wa utafiti huo, tatizo hilo limeongezeka kutoka asilimia 23 mwaka 2010 hadi...

 

4 years ago

Mwananchi

Machimbo yachangia mimba za utotoni

Kahama. Uwepo wa machimbo mengi ya wachimbaji wadogo wa dhahabu eneo la Bulyanhulu lenye kata za Luguya, Bulyanhulu na Bugalama wilayani hapa, imedaiwa kuwa moja ya sababu inayochangia watoto wengi kukatisha masomo hasa wasichana.

 

4 years ago

Tanzania Daima

Tanzania kinara mimba za utotoni

LICHA ya jitihada za Serikali na wadau wengine wa mitandao ya kijinsia kutoa elimu kwa jamii juu ya athari za mimba za utotoni, Tanzania bado imeendelea kuwa kinara katika tatizo...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Mimba za utotoni janga la taifa

INGAWA asasi mbalimbali za serikali na zisizo za serikali zinapiga vita ndoa na mimba za utotoni, bado tatizo hilo ni kubwa katika  mikoa ya Mtwara na Lindi. Ripoti ya pili...

 

5 years ago

Habarileo

Wasichana 98 wapata mimba utotoni

ZAIDI ya wasichana 98 walipata mimba za utotoni na wengine kukatishwa masomo kwa kipindi cha mwaka huu, mkoani Kilimanjaro, huku asilimia kubwa wakiwa ni kutoka familia masikini.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani