WANACHAMA NA VIONGOZI WA CHADEMA WAFURIKA MAHAKAMANI KUSUBIRI HATMA YA MBOWE NA WENZAKE


Wanachama na viongozi wa Chadema wamekusanyika ndani na nje ya viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusubiri hatma ya dhamana ya viongozi wakuu wa chama hicho.

Viongozi hao, Mwenyekiti wa Taifa Freeman Mbowe na wenzake watano wanatarajiwa kuachiwa kwa dhamana leo iwapo watatimiza masharti ya dhamana.

Masharti hayo ni kusaini bondi ya Sh20milioni kuwa na wadhamini wawili wenye barua kutoka ofisi za Serikali za mitaa au vijiji na kuripoti kituo kikuu cha Polisi kila Alhamisi.

Tayari...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Viongozi wa Chadema wafika mahakamani kufuatia kesi za wanachama wao

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho, Frederick Sumaye, wamehudhuria katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro ambako uamuzi wa dhamana ya wanachama wa chama hicho utatolewa.

Wengine waliofika mahakamani ni mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche na wa Viti Maalumu, Devota Minja.

Wabunge Susan Kiwanga na Peter Lijualikali wamefikishwa katika Mahakama hiyo leo Jumanne Desemba 5,2017 kusikiliza uamuzi wa dhamana yao pamoja washtakiwa wengine 36.

Kesi hiyo...

 

1 year ago

Malunde

HATMA YA KESI YA MBOWE NA WENZAKE KUJULIKANA MEI 15

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, inatarajia May 15,2018 kutoa uamuzi wa kesi ya kufanya maandamano na mkusanyiko usio halali inayowakabili viongozi 9 wa CHADEMA akiwemo Freeman Mbowe kama iende Mahakama Kuu ama laa.

Hatua hiyo inatokana na mvutano wa hoja za kisheria zilizotolewa jana na Wakili wa utetezi, Peter Kibatala kisha kujibiwa leo na Wakili wa Serikali Mkuu, Faraja Nchimbi mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri.

Katika majibu yake Wakili Nchimbi ameiomba mahakama hiyo kutupilia...

 

1 year ago

MwanaHALISI

Mbowe na wenzake wafikishwa mahakamani Kisutu

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe na viongozi wengine wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusomewa mashtaka yanayowakabiri. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Viongozi hao walioripoti Kituo cha Polisi cha Kati jijini Dar es Salaam kama walivyotakiwa mapema leo, lakini walipofika waliondolewa dhamana na kuwekwa mahabusu. Mchana huu viongozi hao akiwemo Mbowe na Katibu Mkuu Dkt. ...

 

3 years ago

Global Publishers

Wafuasi wa Chadema Wafurika Mahakamani Kufuatilia Kesi ya Wenje

1Ezekia Wenje akiwa  Mahakamani

Mamia ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)  wakiongozwa  na  Mwenyekiti  wa chama hicho, Freeman Mbowe leo  wamefurika kwenye eneo la Mahakama  Kuu Kanda ya  Mwanza katika kesi ya  mbunge wa zamani wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA)  anayepinga  matokeo  ya uchaguzi uliofanyika Oktoba mwaka jana yaliyompa ushindi wa ubunge wa jimbo hilo, Stanslaus Mabula (CCM).

Polisi  wametumia  nguvu  ya  ziada  kuhakikisha  ulinzi  unaimarika ...

 

1 year ago

Malunde

LOWASSA,SUMAYE WAONDOKA MAHAKAMANI KESI YA MBOWE NA WENZAKE

Wajumbe wa kamati kuu CHADEMA ambao waliwahi kuwa Mawaziri wakuu wa Tanzania, Fredrick Sumaye na Edward Lowassa, wameondoka katika mahakama ya Kisutu kabla viongozi wa CHADEMA hawajafikishwa mahakamni hapo.
Taarifa kutoka mahakama ya Kisutu zinasema kuwa kina Lowassa wameondoka eneo hilo huku wakitoa taarifa kuwa wanaelekea kwenye msiba wa mmoja wa wanachama wao.
Kwa mujibu wa mwanasheria wa kina Mbowe Peter Kibatala, amesema kuwa Mbowe na wenzake watano hawajafikishwa mahakamani hapo mpaka...

 

1 year ago

MwanaHALISI

Mbowe na wenzake wapata dhamana bila kuwepo mahakamani

HAKIMU Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, Wilbard Mashauri amewapa dhamana Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na viongozi wenzake watano bila ya kuwepo mahakamani. Anaripoti Jabir Idrissa … (endelea). Hakimu Mashauri ametoa maamuzi hayo bila ya washitakiwa kuwepo mahakamani kutokana na kushindwa kuletwa kutoka gereza la Segerea walipokuwa mahabusu kwa madai gari liliharibika. Mashauri amesema dhamana kwa ...

 

1 year ago

Malunde

MBOWE NA WENZAKE WAFIKISHWA MAHAKAMANI...ULINZI MKALI UMEIMARISHWA ENEO LA MAHAKAMA


Ulinzi  mkali umewekwa leo katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es salaam wakati viongozi wa juu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema ) akiwemo mwenyekiti wa Chama hicho Taifa na kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni Freeman Mbowe akiwa na wenzake.
Mbowe na wenzake wamefikishwa mahakamani hapo chini ya ulinzi mkali Majira ya saa moja asubuhi kwa kwenda kuendelea na kesi inayowakabili na leo kujulikana hatma ya dhamana yao pia.
Wengine waliofikishwa no mbunge wa Iringa Mjini,...

 

3 years ago

Global Publishers

Mbowe na Wenzake wa Chadema Wakamatwa, Alipo Zitto Bado ni Utata

1Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe Wakati Polisi ikimshikilia kwa saa mbili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe mkoani Mwanza, jeshi hilo limefuta kongamano la kujadili Bajeti ya Serikali lililoandaliwa na ACT Wazalendo jijini Dar es Salaam huku kiongozi wake, Zitto Kabwe akisakwa. Jeshi hilo lilizuia mkutano wa hadhara wa Chadema uliokuwa ufanyike wiki iliyopita mjini Kahama ambako lilitumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanachama na wafuasi wa chama hicho, katika kile kilichoelezwa...

 

1 year ago

Michuzi

MBOWE, VIGOGO WENZAKE CHADEMA WATOKA MAHABUSU KWA DHAMANA


Na Bakari Majeshi, Globu ya jamiiHATIMAYE baada ya kukaa mahabusu kwa siku saba na kusherehekea sikuu ya Pasaka wakiwa gerezani,Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe pamoja na vigogo wengine sita wa chama hicho leo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia kwa dhamana,baada ya kukamilisha masharti ya dhamana.
Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka tisa yakiwemo ya Uchochezi wa Uasi na kufanya mkusanyiko isivyo halali kinyume cha sheria.
Mbali ya Mbowe washtakiwa wengine ni Mbunge wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani