WANACHAMA WA YANGA KWA KAULI MOJA WAKUBALI MABADILIKO

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
Wanachama wa Yanga kwa kauli moja wamfikia hatua ya makubaliano kwenda katika mfumo wa mabadiliko ambao utaruhusu timu hiyo kuwa Kampuni.Yanga iliyofanya mkutano wake jana  Jijini Dar Es Salaam, ulianza kwa hotuba ya Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe na kuwaasa wanachama wa Yanga wafanye maamuzi sahihi ili kuweza kuiweka timu yao katika dira nzuri.Dkt Mwakyembe amesema kuwa Yanga ni alama ya ukumbusho barani Afrika kama...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Tanzania Daima

Wanachama Yanga wapinga mabadiliko ya katiba

WANACHAMA wa Yanga wameibuka na kupinga uongozi wao kufanya mabadiliko ya katiba bila kuwashirikisha. Akizungumza na waandishi wa habari kwa niaba ya wanachama wenzake, Ally Kamtande, alisema suala la kubadilisha...

 

3 years ago

Channelten

Wanachama wa Yanga waepitisha Kufutwa kwa Wanachama wawili

Screen Shot 2016-08-06 at 8.09.28 PM

Mkutano wa Dahrura wa Wanachama wa Yanga umefanyika hii leo na kupitisha kwa pamoja kufutwa kwa uanachama kwa wajumbe watatu wa kamati ya utendaji.

Waliofutwa uanachama ni Ayoub Nyenzi, Salum Mkemi na Hashimu Abdallah, huku Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji akieleza chanzo kikubwa cha kufutwa kwa wanachama hao ambao pia walikuwa viongozi wa Kamati ya utendaji ambapo amewaambia wanachama wa Yanga kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa  Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, kuwa hana...

 

3 years ago

Habarileo

Wadau wakubali mabadiliko, wasisitiza taratibu zifuatwe

WADAU wa michezo na wataalamu wa uchumi na biashara nchini wanaunga mkono mabadiliko katika klabu za soka ilimradi yafuate utaratibu na kuzingatia kanuni za utawala bora.

 

2 years ago

Global Publishers

Global TV Live: Itakuwa Ikirusha Moja kwa Moja Mapokezi ya Yanga Wakitoka Comoro

Mapokezi hayo yataoneshwa hapa kuanzia saa 5:30 asubuhi hii====>GLOBAL TV ONLINE

Gari la Yanga likiwasili Uwanjani hapo kwa ajili ya kuwapokea Mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Bara.

Mwandishi wa Global Publishers, Musa Mateja akizungumza na mashabiki wa Yanga.

Mashabiki wakimiminika kwa ajili ya kuwapokea wachezaji wa Yanga.

PICHA ZOTE NA MUSA MATEJA | GLOBAL PUBLISHERS

Save

Save

Save

Save

The post Global TV Live: Itakuwa Ikirusha Moja kwa Moja Mapokezi ya Yanga Wakitoka Comoro appeared...

 

3 years ago

Michuzi

AZIMIO KUHUSU WATU WENYE UALIBINO LAPITISHWA KWA KAULI MOJA

Na Mwandishi Maalum, New York
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewashukuru wajumbe wa Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa kupitisha kwa kauli moja Azimio linalotaka pamoja na mambo mengine Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuwasilisha taarifa kuhusu watu wenye ualibino.
Azimio hilo na ambalo liliandaliwa kwa pamoja kati ya Wakilishi za Kudumu za Tanzania na Malawi katika Umoja wa Mataifa, limepitishwa siku ya Jumanne baada ya majadiliano ya kina na jumuishi...

 

4 years ago

Michuzi

UMOJA WA MATAIFA WAPITISHA KWA KAULI MOJA AZIMIO DHIDI YA UJANGILI WA WANYAMAPOLI

Kifaru ni baadhi ya wanyamapori wanaotoweka kwa kasi duniani na hususani Afrika kusini mwa jangwa la Sahara kutokana na vitendo vya ujangili na biashara haramu za pembe zao. Jana Alhamisi Baraza kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha kwa kauli moja Azimio linalolenga kudhibiti Biashara haramu ya wanyama pori na maliasili nyingine
Na Mwandishi Maalum, New York
Kwa mara ya kwanza jana alhamisi Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, limepitisha kwa kauli moja, azimio la kihistoria linalolenga...

 

3 years ago

Channelten

Baraza la Mawaziri nchini Burundi, kwa kauli moja limeidhinisha mswada huu

icc-main-pic

Baraza la Mawaziri nchini Burundi, kwa kauli moja limeidhinisha mswada wa kuliondoa taifa hilo kutoka kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ICC.

Serikali ya nchi hiyo tayari imewasilisha mswada huo bungeni ambapo unatarajiwa kujadiliwa na hatimaye kuidhinishwa.

Makamu wa rais Gaston Sindimwo amesema hatua hiyo iliyochukua serikali ya Burundi  inaweza kuwafanya wakatengwa jumuiya ya kimataifa.

Ameongeza kuwa ni haki  yao kujitoa  katika mahakama ya ICC na uamuzi wao ambapo mswada  huo sasa...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Wanachama Yanga wavamia kwa Mosha

BAADA ya mabingwa wa soka Tanzania Bara, Azam FC kupeleka kilio Jangwani kwa kuwanasa wachezaji wawili wa Yanga, wanachama wa klabu hiyo wamevamia nyumbani kwa aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti, Davis...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani