Wanachama wa Yanga waepitisha Kufutwa kwa Wanachama wawili

Screen Shot 2016-08-06 at 8.09.28 PM

Mkutano wa Dahrura wa Wanachama wa Yanga umefanyika hii leo na kupitisha kwa pamoja kufutwa kwa uanachama kwa wajumbe watatu wa kamati ya utendaji.

Waliofutwa uanachama ni Ayoub Nyenzi, Salum Mkemi na Hashimu Abdallah, huku Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji akieleza chanzo kikubwa cha kufutwa kwa wanachama hao ambao pia walikuwa viongozi wa Kamati ya utendaji ambapo amewaambia wanachama wa Yanga kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa  Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, kuwa hana...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Tanzania Daima

Wanachama Yanga wavamia kwa Mosha

BAADA ya mabingwa wa soka Tanzania Bara, Azam FC kupeleka kilio Jangwani kwa kuwanasa wachezaji wawili wa Yanga, wanachama wa klabu hiyo wamevamia nyumbani kwa aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti, Davis...

 

3 months ago

Michuzi

WANACHAMA WA YANGA KWA KAULI MOJA WAKUBALI MABADILIKO

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
Wanachama wa Yanga kwa kauli moja wamfikia hatua ya makubaliano kwenda katika mfumo wa mabadiliko ambao utaruhusu timu hiyo kuwa Kampuni.Yanga iliyofanya mkutano wake jana  Jijini Dar Es Salaam, ulianza kwa hotuba ya Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe na kuwaasa wanachama wa Yanga wafanye maamuzi sahihi ili kuweza kuiweka timu yao katika dira nzuri.Dkt Mwakyembe amesema kuwa Yanga ni alama ya ukumbusho barani Afrika kama...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Manji alivyowaomba wanachama wamkodishie Yanga na nembo kwa miaka 10

manji+picha

Mfanyabiashara na mwenyekiti wa Yanga Yusuph Manji katika mkutano mkuu na wanachama wa Yanga uliofanyika August 6 katika ukumbi wa Diamond Jubilee ameomba wanachama wamkodishie timu ya Yanga na nembo ya klabu kwa kipindi cha miaka 10. Manji ameomba wanachama wamkodishie timu na nembo ya klabu hiyo kwa kigezo kuwa timu imekuwa ikijiendesha kwa hasara na kuwa mwaka […]

The post VIDEO: Manji alivyowaomba wanachama wamkodishie Yanga na nembo kwa miaka 10 appeared first on...

 

4 years ago

GPL

WANACHAMA WAWILI WA CUF WAPIGWA RISASI ZANZIBAR

Muonekano wa wanachama hao wa CUF waliopigwa risasi. Wanachama wawili wa CUF wamepigwa risasi na watu waliofunika nyuso zao mchana wa leo wakati wa kuandikisha kupiga kura Makunduchi, Zanzibar, wamelazwa Hospitali ya Arahma. (CHANZO: ITV NA JAMII…

 

5 years ago

Michuzi

benki ya posta YAZINDUA KADI ZA AKAUNTI KWA WANACHAMA NA MASHABIKI wa SIMBA NA YANGA

 Mkurugenzi wa Masoko na Maendeleo ya Biashara wa Benki ya Posta Bw. Deo Kwiyukwa (wa pili kulia) akitoa maelekezo kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa Simba waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa kadi za akaunti za benki hiyo kwa ajili ya wanachama na mashabiki wa vilabu vya Simba na Yanga leo katika hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es salaam  Mkurugenzi wa Masoko na Maendeleo ya Biashara wa Benki ya Posta Bw. Deo Kwiyukwa akimkabidhi mtangazaji Ephraim Kibonde wa Clouds FM mfano wa...

 

2 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA YANGA KUFANYIKA JUMAPILI, MANJI AWATAKA WANACHAMA KUJITOKEZA KWA WINGI

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
MWENYEKITI wa Yanga, Yusuf Manji amewataka wanachama wa klabu hiyo kujitokeza kwa wingi katika mkutano mkuu wa dharula  unaotarajiwa kufanyika Oktoba 23, Jumapili kwenye  Uwanja wa Kaunda Makao makuu ya Jangwani.
Akizungumza na wanahabari, Manji amesema kuwa wanachama wote wajitokeze siku hiyo kwani katika njia mojawapo ya kuijenga Yanga Imara ni wanachama kuchangia katika suala la maendeleo ikiwemo mabadiliko yanayotarajiwa kujitokeza ya kwenda kwenye mfumo...

 

4 years ago

Vijimambo

Wanachama wa Vikoba Wakiwa katika Ukumbi wa Mkutano wa Kongamano la Wanachama wa Vikoba Arusha.

Maafisa kutoka Mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF)wakifuatilia kwa makini Kongamano la Vikoba lililofanyika katika ukumbi wa Olasiti garden na kudhaminiwa Mfukohuo.Kauli mbiu ya Kongamano hilo ni "Vikoba Chachu ya Maendeleo ya Kweli"Wanachama wa VIKOBA mkoa wa Arusha wakifuatilia kwa makini Kongamano la Vikoba lililofanyika katika ukumbi wa Olasiti garden na kudhaminiwa Mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF).Kauli mbiu ya Kongamano hilo ni "Vikoba Chachu ya Maendeleo ya Kweli".(Picha na...

 

3 years ago

Mwananchi

Kwaheri Yanga ya wanachama

Ni dhahiri wimbi la mabadiliko ndani ya klabu kongwe za soka, Simba na Yanga limeshika kasi baada ya jana wanachama wa Yanga kuridhia kwa kauli moja kuikabidhi timu yao kwa mwenyekiti wa klabu hiyo, Yusuf Manji ili aisimamie.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani