Wanachama Yanga wapinga mabadiliko ya katiba

WANACHAMA wa Yanga wameibuka na kupinga uongozi wao kufanya mabadiliko ya katiba bila kuwashirikisha. Akizungumza na waandishi wa habari kwa niaba ya wanachama wenzake, Ally Kamtande, alisema suala la kubadilisha...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mwananchi

Tiboroha, Mgongolwa wajitoa Yanga, wanachama wapinga

Wakati Katibu Mkuu wa Yanga, Dk Jonas Tiboroha na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa klabu hiyo, Alex Mgongolwa wakitangaza kuachia ngazi jana, wanachama wamemtaka Mwenyekiti Yusuph Manji kuhitisha uchaguzi haraka.

 

3 months ago

Michuzi

WANACHAMA WA YANGA KWA KAULI MOJA WAKUBALI MABADILIKO

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
Wanachama wa Yanga kwa kauli moja wamfikia hatua ya makubaliano kwenda katika mfumo wa mabadiliko ambao utaruhusu timu hiyo kuwa Kampuni.Yanga iliyofanya mkutano wake jana  Jijini Dar Es Salaam, ulianza kwa hotuba ya Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe na kuwaasa wanachama wa Yanga wafanye maamuzi sahihi ili kuweza kuiweka timu yao katika dira nzuri.Dkt Mwakyembe amesema kuwa Yanga ni alama ya ukumbusho barani Afrika kama...

 

5 years ago

GPL

YANGA YAFANYA MABADILIKO YA KATIBA YAO

Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga SC, Yusuf Manji akiwasili eneo la mkutano katika Ukumbi wa Police Officer's Mess, Oysterbay jijini Dar. Manji akihojiwa na wanahabari.…

 

3 years ago

Channelten

Wanachama wa Yanga waepitisha Kufutwa kwa Wanachama wawili

Screen Shot 2016-08-06 at 8.09.28 PM

Mkutano wa Dahrura wa Wanachama wa Yanga umefanyika hii leo na kupitisha kwa pamoja kufutwa kwa uanachama kwa wajumbe watatu wa kamati ya utendaji.

Waliofutwa uanachama ni Ayoub Nyenzi, Salum Mkemi na Hashimu Abdallah, huku Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji akieleza chanzo kikubwa cha kufutwa kwa wanachama hao ambao pia walikuwa viongozi wa Kamati ya utendaji ambapo amewaambia wanachama wa Yanga kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa  Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, kuwa hana...

 

2 years ago

VOASwahili

Papa Francis awaasa wapinga mabadiliko

Papa Francis awaeleza maaskofu na makadinali wa kanisa katoliki kuwa Vaticn ni lazima ijibadilishe ili kukabiliana na na mahitaji ya leo ya kanisa.

 

1 year ago

RFI

Upinzani wapinga vikali mabadiliko ya sheria ya Uchaguzi

Muungano wa Upinzani nchini Kenya NASA, umetangaza maandamano siku za Jumatatu na Ijumaa kuanzia wiki ijayo, kushinikiza kuondolewa kwa mswada wa kurekebisha sheria ya Uchaguzi.

 

11 months ago

VOASwahili

Wapinzani wapinga mchakato wa kubadili katiba Burundi

Kampeni za kuwahamasisha wananchi wa Burundi kushiriki kaitka kura ya maoni zimeanza rasmi Jumatano nchini humo wakiwemo wale ambao wanapinga rasimu mpya ya katiba ya nchi hiyo inayojadiliwa.

 

10 months ago

RFI

Umoja wa Ulaya wapinga mchakato wa marekebesho ya katiba Burundi

Umoja wa Ulaya umeendelea na msimamo wake wa kupinga mchakato wa marekebisho ya katiba unaoendelea nchini Burundi. Kura ya maoni kuhusu marekebesho ya katiba inatarajiwa kufanyika ifikapo Mei 17 mwaka 2018.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani