Wanachi wasubiri matokeo ya uchaguzi DRC

Wananchi wa DRC wanaendelea kusubiri matokeo ya uchaguzi uliofanyika Jumapili, katika maeneo kadhaa ya nchini humo

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

RFI

Wakenya wasubiri matokeo ya Uchaguzi wa urais uliozua mgawanyiko

Zoezi la kuhesabu kura linaendelea nchini Kenya kufuatia uchaguzi wa marudio uliofanyika siku ya Alhamisi licha ya watu wachache kujitokeza kupiga kura huku watu wanne wakiripotiwa kufariki dunia katika maeneo ya ngome ya muungano wa upinzani NASA hasa jijini Nairobi na mjini Kisumu.

 

2 years ago

RFI

Wakenya wasubiri matokeo ya urais kwa wasiwasi

Hali ya wasiwasi inaendelea kushuhudiwa katika ngome za upinzani nchini Kenya wakati huu Tume ya Uchaguzi inapoendelea kupitia upya matokeo ya urais katika ukumbi wa Bomas of Kenya jijini Nairobi.

 

3 years ago

BBCSwahili

Wasubiri matokeo Benin, Cape Verde, Congo, Niger, Senegal

Kiongozi wa upinzani Patrick Talon anatarajiwa kushinda uchaguzi wa Urais nchini Benin

 

5 years ago

Mwananchi

Uchaguzi Simba wasubiri hatima ya katiba yao

Kamati ya Uchaguzi ya Simba imeiomba Ofisi ya Msajili wa Klabu na Vyama  vya Michezo nchini ikamilishe mapema usajili wa katiba ya klabu hiyo iliyofanyiwa marekebisho.

 

4 months ago

BBCSwahili

Uchaguzi mkuu DRC: EU yalaani balozi wake kufurushwa DRC

DR Congo ilisema ilichukua uamuzi huo kulipiza vikwazo vilivyowekewa mgombea wa chama tawala Emmanuel Ramazani Shadary

 

2 years ago

Channelten

Kuelekea Uchaguzi Mkuu DRC, Serikali ya Marekani yatishia kuiwekea vikwazo DRC

CENI-PART-3

Serikali ya Marekani imetishia kuwawekea vikwazo wale wote watakaobainika wanakwamisha kufanyika kwa uchaguzi mkuu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC.

Kauli ya Marekani imekuja baada ya mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini humo, CENI Corneil Nangaa alitangaza kuwa tume yake haiwezi kuandaa uchaguzi mkuu mwishoni mwa mwaka huu kutokana na kutotengemaa kwa hali ya usalama.

Kuendelea kucheleweshwa kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa DRC huenda kukasababisha kuzuka kwa machafuko mapya...

 

3 years ago

Michuzi

STAND UNITED WASUBIRI MAAMUZI YA TFF KUHUSU UCHAGUZI.

Na Zainab Nyamka,Globu ya Jamii.KUTOKANA na mkanganyiko wa uendeshaji wa mchakato wa uchaguzi katika Klabu ya Stand United ya Shinyanga, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF), limeagiza michakato yote miwili inayoendeshwa sambamba ndani ya klabu ya Stand United, isimamishwe mara moja kisha kusubiri maelekezo mengine. 
Hilo limekuja baada ya kuwa na sintofahamu kwa pande mbili tofauti kufanya uchaguzi kwa  nyakati tofauti moja ikiwa Kampuni na wengine wakijiita wanachama wa Stand...

 

3 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.

 

3 years ago

Dewji Blog

Tume ya uchaguzi nchini Kongo DRC yasogeza mbele uchaguzi Mkuu

Tume ya uchaguzi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesema kuwa inataka kusogeza mbele uchaguzi wa kitaifa hadi mwaka 2018.

Hatua hii ya kusogeza uchaguzi mbele Inafuatia baada ya hali tete nchini humo inayoashiria machafuko kutokea nchini Kongo kutokana na mustakbali wa Uchaguzi ngazi ya Urais

Viongozi wa upinzani wamepinga uamuzi huo wa Tume ya Uchaguzi kutaka  kusogeza mbele uchaguzi mkuu na wamemtuhumu rais Joseph Kabila kuhusika na kuchelewesha kwa uchaguzi mkuu wa nchini humo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani