WANAFUNZI 78 WATUNUKIWA TUZO YA BALOZI WA CHINA KWA KUHITIMU LUGHA YA KICHINA, WIZARA YATOA NENO

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii
JUMLA ya Wanafunzi 78 kutoka baadhi ya shule za msingi, sekondari na Vyuo Vikuu nchini wametunukiwa Tuzo ya Balozi wa China nchini Tanzania Wang Ke baada ya kuhitimu mafunzo ya lugha ya Kichina huku Wizara ya Elimu ,Sayansi, Teknolojia na Ufundi ikihimiza Watanzania kuchangamkia fursa kwa kujifunza lugha hiyo.

Mafunzo hayo ya lugha ya Kichina na mchakato wa utoaji tuzo hiyo ya Balozi wa China nchini yameandaliwa na Chama cha Kukuza Uhusiano wa China na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Dewji Blog

China kufadhili wanafunzi 120 wanaosomea lugha ya kichina kila mwaka

Ushirikiano wa kiutamaduni baina ya nchi ya Tanzania na China unazidi kuimarika ambapo ubalozi wa China nchini umepanga kufadhili wanafunzi wa elimu ya juu 120 kila mwaka ambao wanakwenda kusomea tamaduni na lugha ya kichina nchini humo.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nuru Millao katika maonyesho ya kuenzi watunzi na waandishi wa tamthilia wa nchini China, ametoa wito kwa vijana kuitumia fursa hiyo ya kielimu.

“Vijana wengi wanakwenda China kujifunza...

 

12 months ago

Zanzibar 24

Wizara yatoa neno kwa wanaoishi na wagonjwa wa akili majumbani

WIZARA ya Afya imesema kuwa haina mamlaka ya kisheria ya  kuwakamata wagonjwa wa akili wanaozurura mitaani badala yake wanafamilia wawadhibiti wagonjwa wao ili kuwaepusha na madhara yanayoweza kuwakumba pindi wakiwaachia kudhurura mitaani.

     Akijibu swali katika kikao cha Baraza la wawakilishi Chukwani Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar, Naibu Waziri Wizara ya afya Harusi Suleiman amesema jukumu la hospital ni kutoa huduma za matibabu kwa wagonjwa wote wanaofika katika vituo vya afya na sio...

 

2 years ago

Malunde

WANACHAMA 681 KUTOKA UMOJA WA VIJANA WA CCM VYUO NA VYUO VIKUU WATUNUKIWA VYETI KWA KUHITIMU MASOMO YAO

Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg:Rodrick Mpogolo akisalimiana na Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka Mara baada ya kuwasili katika Mahafali ya Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Mkoa wa Dar Es Salaam  katika Ukumbi wa King Solomon Kinondoni.Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg:Rodrick Mpogolo akisalimiana na Kaimu Mwenyekiti Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam Asha Ferouz Mara baada ya kuwasili katika Mahafali ya Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Mkoa wa Dar Es Salaam Leo...

 

1 year ago

Michuzi

WAANDISHI WA HABARI ZA VIJIJINI WATUNUKIWA VYETI VYA KUHITIMU MAFUNZO NA UTPC


Baadhi ya washiriki wa Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Vijijini kutoka vilabu mbalimbali vya waandishi wa habari hapa Nchini,wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutunukiwa vyeti vya kuhitimu mafunzo hayo yaliyoratibiwa na Umoja wa vilabu vya waandishi wa habari hapa Nchini(UTPC),chini ya ufadhili wa SIDA yaliyofanyika leo Mkoani Morogoro.(Habari Picha na Pamela Mollel).
Mwenyekiti wa Morogoro Press Club Nikson Mkilanya ambae alikuwa mgeni rasmi katika kufunga mafunzo...

 

2 years ago

CCM Blog

WANACHAMA 681 KUTOKA UMOJA WA VIJANA WA CCM VYUO NA VYUO VIKUU MKOA WA DAR ES SALAAM WATUNUKIWA VYETI KWA KUHITIMU MASOMO YAO

 Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg:Rodrick Mpogolo akisalimiana na Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka Mara baada ya kuwasili katika Mahafali ya Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Mkoa wa Dar Es Salaam Leo katika Ukumbi wa King Solomon Kinondoni.

  Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg:Rodrick Mpogolo akisalimiana na Kaimu Mwenyekiti Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam Asha Ferouz Mara baada ya kuwasili katika Mahafali ya Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu
UVCCM Mkoa wa Dar Es Salaam...

 

1 year ago

Malunde

WAANDISHI WA HABARI ZA VIJIJINI WATUNUKIWA VYETI VYA KUHITIMU MAFUNZO YALIYOTOLEWA NA UTPC


Baadhi ya washiriki wa Mafunzo yaUandishi wa Habari za Vijijini kutoka vilabu mbalimbali vya waandishi wa habarihapa Nchini,wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutunukiwa vyeti vyakuhitimu mafunzo hayo yaliyoratibiwa na Umoja wa vilabu vya waandishi wa habari hapa nchini(UTPC),chini ya ufadhili wa SIDA yaliyofanyika leo Mkoani Morogoro.(Habari ,Picha na Pamela Mollel).Mwenyekiti wa Morogoro Press Club Nikson Mkilanya ambae alikuwa mgeni rasmi katika kufunga mafunzo...

 

2 years ago

Ippmedia

Balozi wa lugha ya Kiswahili akabidhi tuzo ya Kiswahili kwa Profesa Rwekaza Mkandala.

Balozi wa lugha ya kiswahili Afrika Mama Salma Kikwete amemkabidhi tuzo ya kiswahili makamu mkuu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam Profesa Rwekaza Mkandala kutokana na jitihada zake za kuirasimisha lugha hiyo kutumika katika shughuli zote za chuo zisizo za 

Day n Time: Alhamisi saa 2:00 usikuStation: ITV

 

4 years ago

Michuzi

CBE YATOA TUZO KWA WANAFUNZI BORA

Na. Aron Msigwa – MAELEZO
Chuo cha Elimu ya Biashara kampasi ya Dar es salaam kimetoa tuzo kwa wanafunzi bora 12 waliohitimu na kufanya vizuri katika masomo yao kwa mwaka wa masomo 2014/2015 ikiwa ni sehemu ya utaratibu wa chuo hicho kuenzi na kuthamini mchango walioutoa katika maendeleo ya taaluma chuoni hapo.
Akikabidhi tuzo hizo katika hafla fupi iliyofanyika leo jijini Dar es salaam, aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na mwenyekiti wa sasa wa wanafunzi  waliomaliza...

 

5 years ago

Dewji Blog

TBC na CRI yazindua tamthiliya ya Kichina iliyotafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili

PIX 1

Mkurugenzi Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Clement Mshana akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kwajili ya kuzindua rasmi Tamthiliya ya Mapenzi na Furaha ya Kijana (Jin Tai Lang) uliofanyika leo katika Viwanja vya TBC jijini Dar es Salaam.

Na Benedict Liwenga – MAELEZO

SHIRIKA la Utangazaji Tanzania (TBC) na Shirika la Radio ya Kimataifa ya Jamhuri ya Watu wa China (CRI) leo kwa pamoja yameshirikiana katika sherehe ya Uzinduzi wa Tamthiliya ijulikanayo kwa jina la...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani