Wanafunzi Tanzania wanavyopambana na unyanyasaji kwenye Usafiri

Madai ya unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya walimu na wanafunzi katika shule za Nigeria huwa zinachukua vichwa vya habar

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Je, kuna ufahamu juu ya unyanyasaji wa wanawake usafiri wa umma Tanzania?

Katika Haba na Haba, tunaangazia unyanyasaji wa wanawake kwenye usafiri wa umma.

 

2 years ago

MwanaHALISI

Unyanyasaji wanafunzi sasa basi

FRANCIS Mgasa, Katibu Mkuu wa Chama cha Kutetea Abiria hapa nchini (CHAKUA), ametoa siku saba kwa mamlaka zinazohusika na usafiri kuhakikisha unyanyasaji wa wanafunzi katika vyombo vya usafiri kote nchini unakoma, anaandika Charles William. Mgasa amesema kuwa makubaliano kati yao na madereva pamoja na makondakta ni kuhakikisha wanatoa huduma kwa usawa bila kuangalia makundi ya watu ...

 

3 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA(TCAA) WATOA MSAADA WA KOMPYUTA KWA WANAFUNZI WENYE ULEMAVU WA AKILI WA SHULE YA MSINGI MTAMBANI BOKO DAR ES SALAAM

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa AngaTanzania.(TCAA), Hamza Johari(kushoto), akikabidhi msaada wa Kompyuta kwa wanafunzi wenye mahitaji maluum wenye ulemavu wa akili wa shule ya Msingi Mtambani, iliyopo Boko jijiniI Dar es salaam. Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Mwalimu Mkuu msaidizi wa Shule hiyo Mariana Saso na Mkuu wa Kitengo Maalumu cha Wanafunzi wenye Ulemavu wa akili wa shule hiyo Asaph Maerere.Hafla hiyo imefanyika leo makao makuu ya TCAA Ukonga, Banana.Mkuu wa Kitengo Maalumu...

 

2 years ago

Mwananchi

Masaibu ya usafiri wa wanafunzi

Ajali iliyoua watu 35, wakiwamo wanafunzi mkoani Arusha inaweza kuwa ilisababishwa na urefu wa safari na mazingira ya eneo la tukio.

 

5 years ago

Mwananchi

Wanafunzi wakwama usafiri Ubungo

Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ni miongoni mwa watu walioathirika kutokana na adha ya usafiri iliyojitokeza katika Stendi Kuu ya Mabasi Unungo (UBT) .

 

3 years ago

Channelten

Adha ya Usafiri Kwa Wanafunzi, ADHA YA USAFIRI KWA WANAFUNZI

boti

Wakati wananchi wa Kata ya Kitumbikwela na Msinjahili katika halmashauri ya Manispaa ya Lindi wakisubiri Utekelezaji wa Ahadi ya Rais DK. John Magufuli ya Ununuzi wa Pantoni,Tayari halmashauri hiyo Kupitia Mapato ya Ndani Imenunua Boti kwa ajili ya Kusaidia wananchi hao Ikiwemo Kuondoa adha ya Usafiri kwa Wanafunzi,Watumishi ikiwemo wagonjwa.

Akizindua Utoaji Huduma wa Boti Hiyo,Mkuu wa Wilaya ya Lindi,Yahya Nawanda ameeleza kuwa Ununuzi wa Boti hiyo Umefanywa ili kusaidia Jamii Inayoishi...

 

5 years ago

Michuzi

ASKARI MAGEREZA WAONESHA WANAVYOPAMBANA NA WAFUNGWA WAKOROFI

 'Wafungwa' wakijifua kupambana na askari Magereza katika moja ya maonesho yaliyotia fora sana kwenye sherehe za miaka 50 ya Muungano katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Askari akipambana na 'Mahabusu' aliyeasi  Askari akila sahani moja na 'wafungwa' watatu  Askari anapangua teke....  Kisha anakata zote bee....  Mfungwa hoi... Anadakwa kilaaiiini.... Hii ilikuwa ni igizo tu, kwani hakukuwepo na mfungwa halisi bali askari waliovalia aina ya nguo za...

 

2 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA WAADHIMISHA SIKU YA USAFIRI WA ANGA DUNIANI(ICAD

 Wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari za jijini Dar es Salaam, wakimsikiliza kwa makini Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Vallery Chamulungu wakati akiongea na kuzindua Kongamano la siku moja la maadhimisho ya siku Usafiri wa anga Duniani(ICAD) yaliyofanyika makao makuu ya (TCAA) Ukonga Banana jijini Dar es Salaam. Lengo kuu la kongamano hilo ilikuwa ni kuwahamasisha wanafunzi hao wapende masomo yanayohusiana na usafiri wa Anga. Afisa mwanadamizi Idara...

 

3 years ago

Raia Tanzania

Adha ya usafiri kwa wanafunzi na mustakabali wetu

WAKATI mikakati mbalimbali ya kuongeza kiwango cha elimu kwa wanafunzi ikiendelea kufanyiwa kazi, bado kuna changamoto ya usafiri wa uhakika kwa wanafunzi haujaangaliwa kwa jicho la umakini.

Inawezekana likaonekana suala la kawaida kwa sababu limepigiwa kelele kwa muda mrefu, lakini mwanafunzi anahitaji kuwa na utulivu wa akili anapoamka na anaporudi nyumbani kutoka shule. Yote yanakamilika kwa kupata nyenzo nzuri ya kumpeleka shule asubuhi na kumrudisha nyumbani jioni. “Changamoto...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani