Wanafunzi waunda jembe linalotumia sola Tanzania

Wakati Tanzania ikitazamia kuelekea kwenye uchumi wa viwanda 2025, wanafunzi wawili wametengeneza kifaa cha kilimo cha aina yake kusaidia mchakato huo - jembe la sola.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Habarileo

Wanafunzi wa Mbande waunda makundi ya Chura, Chizi, Nyodos

WANAFUNZI wa Darasa la tano mpaka la saba katika shule ya msingi Mbande katika Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam, wameunda makundi yanayolalamikiwa kuwa ndio chanzo cha wanafunzi kutosoma. Mkuu wa Wilaya hiyo, Sophia Mjema ameamuru wakamatwe na kufikishwa katika vyombo vya sheria.

 

3 years ago

GPL

DNA, KENRAZY, GRANDPA FAMILY WATIKISA JEMBE NI JEMBE JIJINI MWANZA

Mwanamuziki DNA akiwapagawisha mashabiki wa muziki ndani ya Ukumbi wa Jembe ni Jembe, Mwanza. Mwanamuziki kutoka nchini Kenya, Kenrazy akiwa stejini kuwapa burudani mashabiki wa Jembe ni Jembe.…

 

4 years ago

GPL

SHOO YA JOH MAKINI NDANI YA JEMBE NI JEMBE, MWANZA YAACHA HISTORIA

Mwana Hip hop, Joh Makini akisema na mashabiki wake waliofurika katika Ukumbi wa Jembe ni Jemba jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo. Mashabiki wakiwa wamechizika na burudani kutoka kwa Joh Makini.…

 

4 years ago

Michuzi

HAFLA YA MEET AND GREAT YAFANA NDANI YA UFUKWE WA CLUB YA JEMBE NI JEMBE JIJINI MWANZA.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group,Bwa.Joseph Kusaga a.k.a Joe sambamba na Mkurugenzi wa kampuni bingwa ya Burudani hapa nchini,Prime Time Promotions ,Bi Juhayna Kusaga ambao ndio waandaaji wa Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 wakiwa na Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti (SBL),Bwa.Ephraim Mafuru  ambao ndio wadhamini wakuu wa tamasha hilo wakiwa ndani ya hafla ya Meet&Great ya Wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya (watakaoshiriki tamasha la fiesta) na...

 

4 years ago

Michuzi

Mwanza, Nyama Choma Festival inakuja Rock City - Jembe Ni Jembe Oktoba 25, 2014.


 Taswira za Nyama Choma Festival iliyofana sana katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es salaam nyama choma festival ya 6th September. Mambo haya yanahamia Mwanza Oktoba 25, 2015Kwa picha zaidi BOFYA LINK HIIhttps://www.facebook.com/media/set/?set=a.753558134705471.1073741852.164302240297733&type=3


 

9 months ago

Michuzi

Lighting Africa/Tanzania Imezindua kampeni mpya ya kuhamasisha matumizi ya Taa na Nishati ya Sola

Lighting Africa, kwa kushirikiana na bank ya Dunia-IFC, leo wametangaza uzinduzi wa kampeni ya miaka miwili ya kutoa elimu kwa wateja kwaajili ya kuhamasisha taa zasizotumia nishati ya umeme wa kawaida katika jamii za vijijini ambao hawajaunganishwa na gridi ya Taifa.
Nishati inayotumia nguvu ya jua (Sola) na bidhaa za taa zimekuwa zikihitajika zaidi nchini Tanzania, Nchi ambayo familia nyingi za vijijini zinategemea taa za sola zilizo katika viwango duni na bidhaa zingine za umeme kwaajili...

 

4 years ago

Tanzania Daima

Tanzania, Oman waunda baraza la biashara

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Abdallah Kigoda, amezindua baraza la muunganiko wa wafanyabiashara wa Tanzania na Oman (JBC) litakalosaidia kukuza sekta ya biashara kwa nchi mbili. Akizungumza jana wakati wa...

 

1 year ago

Mwananchi

Tanzania na Uholanzi waunda jukwaa la nishati

 Serikali ya Tanzania na Uholanzi zimeunda jukwaa maalum la nishati litakalowawezesha wadau wa sekta ya nishati kutoka nchi hizo kubadilishana uzoefu. 

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani