Wananchi wa Burundi wanapiga kura kuhusu mabadiliko ya Katiba Alhamisi

Wananchi wa Burundi wanatarajiwa kupiga kura ya maoni kesho kuibadilisha Katiba ya nchi hiyo. Iwapo Katiba itabadilishwa, huenda rais Pierre Nkurunziza akaendelea kuwa madarakani hadi mwaka 2034. Je, Burundi ilifikaje hapa ?

RFI

Read more


Habari Zinazoendana

8 months ago

RFI

Kura ya maoni kuhusu mabadiliko ya katiba kupigwa Alhamisi hii nchini Burundi

Wananchi wa Burundi wanapotarajiwa kupiga kura ya maoni hapo kesho kuirekebisha Katiba, wengi wanaamini kuwa mabadiliko yatakayofanyika yatampa rais Pierre Nkurunziza kuendeleza kuongoza hadi mwaka 2034.

 

1 year ago

RFI

Kura ya maoni kuhusu mabadiliko ya katiba kufanyika mwezi Mei nchini Burundi

Serikali ya Burundi inaandaa kura ya maoni mwezi May mwaka huu kuhusu marekebisho ya katiba yatakayomruhusu rais Pierre Nkurunziza kusalia madarakani hadi mwaka 2034 na kutoa mamlaka makubwa kwa rais hatua ambayo imelaaniwa na upinzani.

 

3 years ago

BBCSwahili

Wanyarwanda wanapiga kura kubadili Katiba

Vituo vya kupigia kura vinafunguliwa asubuhi hii ili Wananchi wa Rwanda zaidi ya milioni sita leo wapige kura ya maoni kukubali ama kukataa kubadili katiba ili kumruhusu Rais wa nchi hiyo Paul Kagame kugombea tena kiti cha urais.

 

2 years ago

Channelten

Wananchi wa Zambia leo wanapiga kura

Screen Shot 2016-08-11 at 2.53.34 PM

Wananchi wa Zambia leo wanapiga kura, katika uchaguzi ambao ulikumbwa na vurugu za hapa na pale kati ya wafuasi wa vyama viwili vikubwa vinavyopewa nafasi, chama tawala cha PF na wale wa upinzani wa UPND.

Ikiwa ni miezi 18 tu imepita toka Rais Edgar Lungu ashinde kwenye uchaguzi ambao ushindi wake ulikuwa finyu, yeye pamoja na mpinzani wake wa karibu Hakainde Hichilema, wanakutana tena kwenye kinyang’anyiro kingine, ambapo wagombea 9 wanashiriki.

Kura elfu 27 pakee ndizo zilizowatenganisha...

 

10 months ago

RFI

Burundi: Kura ya maoni kuhusu katiba kufanyika Mei 17

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza hapo jana ametia saini sheria tata inayotoa wito kwa wananchi wa taifa hilo wenye umri wa kupiga kura ya maoni juu ya marekebisho ya katiba ambayo yanaweza kumruhusu kuendelea kukaa madarakani hadi mwaka wa 2034 kushiriki kwenye kura hiyo.

 

4 years ago

Vijimambo

MAAZIMIO YA KAMATI KUU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA NA KURA YA MAONI KUHUSU KATIBA INAYOPENDEKEZWA

Dar es Salaam, Oktoba 16, 2014
UTANGULIZI
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekutana katika kikao chake cha kawaida na kujadili, pamoja na mambo mengine, mchakato wa Katiba Mpya. Kamati Kuu imepata taarifa ya kina juu ya mchakato ulivyoendeshwa katika hatua mbali mbali wakati wa kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba na marekebisho yake na, baadaye, Sheria ya Kura ya Maoni.
Aidha, Kamati Kuu imepata taarifa ya mchakato ulivyokuwa katika hatua ya kuundwa kwa Tume...

 

4 years ago

KwanzaJamii

MAAMUZI MAGUMU BUNGE LA KATIBA, KURA KUPIGWA HADI ALHAMISI

Na Emmanuel Lengwa Hatimaye Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba (BMK) leo wanaanza kufanya maamuzi magumu kwa kupiga kura yenye lengo la kupitisha rasimu ya Katiba inayopendekezwa huku kukiwa na taarifa kuwa huenda masuala kadhaa likiwamo theluthi mbili yakaikwamisha. Hatua ya upigaji kura itakayohitimishwa Alhamisi wiki hii na Ijumaa kutunga sheria ya kipindi cha mpito kabla ya katiba kuanza kutumika, inafikiwa baada ya Bunge hilo kutumia zaidi ya siku 130 mjini Dodoma wakitunga...

 

9 months ago

RFI

Kampeni za kuifanyia mabadiliko katiba ya Burundi zaanza rasmi

Kampeni za kuibadilisha Katiba ya Burundi kupitia kura ya maoni ziliaza rasmi hapo jana, licha ya Umoja wa Mataifa na Umoja wa Ulaya kuionya serikali ya Burundi kuhusu mabadiliko hayo ya katiba.

 

2 years ago

BBCSwahili

Italia kupiga kura ya mabadiliko ya katiba mwezi Desemba

Raia wa Italia watapiga kura ya mabadiliko ya katiba mnamo tarehe nne Desemba. Kama watakataa, basi waziri mkuu Matteo Renzi, amesema atajiuzulu.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani