Wananchi wa kaskazini ‘A’ watakiwa kulitumia soko la Nungwi

Wananchi wa mkoa wa kaskazini Unguja wametakiwa kulitumia soko la wazi la kibiashara linalofunguliwa kila mwezi kwenye kijiji cha Nungwi ili kuweza kuuza na kununua biashara za asili zinazotengenezwa visiwani Zanzibar.

Akizungumza katika halfa ya ufunguzi wa soko hilo la kibiashara lililoandaliwa na tamwa  Mkurugenzi wa halmashauri ya kaskazini A Mussa Ali Makame amesema kufunguliwa kwa soko la kuuza na kununua bidhaa mbalimbali za asili litaweza kutoa fursa kwa wananchi wakiwemo...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Raia kutoka Italy afariki Dunia Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Maji ya bahari yamkatisha uhai mtu mmoja ambae ni Raia kutoka Italy Renato Dettoll Mwenye umri wa miaka 66  wakati alipokua akiogelea huko Nungwi Mkoa wa Kaskazini A Unguja.

Kwamujibu wa taarifa zilizopatika kutoka kwa watu wa karibu wa tukio hilo ikithibitisha na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazi ni Unguja Hasina Ramadhan Tawfik amesema kuwa tukio hilo limetokea majira ya saa 11 jioni huko Nungwi Mkoa wa Kaskazini A Unguja.

Kamanda Hasina amesema kuwa marehemu kabla ya kifo chake alikuwa na...

 

3 years ago

Dewji Blog

Daraja la Kigamboni kufanyiwa majaribio leo 16 Aprili, Wananchi kulitumia kuvuka

Wakazi wa jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake Jumamosi ya leo ya 16 Aprili  wamepewa fursa ya  kulitumia kwa mara ya kwanza Daraja la Kigamboni  (Pichani) linalotarijiwa kufunguliwa rasmi na Rais John Pombe Magufuli siku ya Jumanne ya wiki ijayo.

Kwa mujibu wa Meneja mradi wa  kampuni ya China Railway Construction Engineering Group ambao wametekeleza mradi huo kwa ushirikiano na kampuni ya China Railway Major Bridge Group Bw.Zhang Bangxu,  wameelza kuwa  siku ya leo wataruhusu wakazi hao...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Wananchi wa Nungwi walalamikia wingi wa baa

Wananchi wa Nungwi walalamikia wingi wa baa katika maeneo yao wanayoishi jambo linalowakosesha utulivu na kuporomoka kwa maadili kwa vizazi vyao.

Wakizungumza na Zanzibar24 katika Mahakama ya Wilaya ya Kaskazini ‘A’ Mkokotoni Ali Shamte Nahoza na Machanao Shehe Hatibu wamesema wingi wa baa zilizopo katika maeneo yao kumesababisha  kuibuka kwa matatizo mbalimbali yakiwemo ukahaba,watoto wadogo kujiingiza katika makundi maovu ya ulevi,na wamiliki kutozingatia  sheria ya kuendeza biashara...

 

5 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi atembeela Kijiji cha Mvuleni Shehia ya Kidoti Jimbo la Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Mvuleni Shehia ya Kidoti Jimbo la Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja kuhusiana na masuala ya huduma za maji na umeme.Kulia ya Balozi Seif ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Nd. Haji Juma Haji, kushoto yake ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mh. Pemba Juma Khamis na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar { ZAWA } Dr. Mustafa Garu. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi...

 

2 years ago

Channelten

Kuwashirikisha wananchi kwenye maendeleo, Madiwani watakiwa kuwa karibu na wananchi

Mkuu-wa-Mkoa-wa-Lindi-Godfrey-Zambi-akizungumza-katika-moja-ya-mikutano-yake

Madiwani kote nchini wametakiwa kuwa karibu na wananchi wao kwa kuwashirikisha katika shughuli za maendeleo, jambo ambalo litachangia wao kuielewa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wito huo umetolewa mjini Lindi na Mkuu wa mkoa huo, Godfrey Zambi alipokuwa akifungua mafunzo ya siku mbili kwa madiwani wa halmashauri za Liwale, Nachingwea, Lindi na Manispaa ya Lindi yanayotolewa na mradi wa uimarishaji serikali za mitaa nchini(PS3) na kufadhiliwa na serikali ya...

 

5 years ago

Mwananchi

Wajasiriamali watakiwa kuchangamkia Soko la Hisa

Wajasiriamali na wafanyabiashara mkoani Mtwara, wamehimizwa kuchangamkia fursa ya kukuza mitaji inayotolewa na Soko la Hisa la Dar es Salaam, DSE kupitia kitengo chake cha kukuza wajasiriamali na kujipatia mitaji itakayokuza na kuimalisha biashara zao.

 

3 years ago

StarTV

Wafanyabiashara watakiwa kuondoka Soko la Mwanjelwa

Uongozi wa Jiji la Mbeya umetoa muda wa mwezi mmoja hadi Machi Nne mwaka huu kwa wafanyabiashara wanaozunguka Soko la Mwanjelwa kuhama eneo hilo ili kuwawezesha wafanyabiashara wanaofanya shughuli zao ndani ya soko hilo kuuza bidhaa zao bila bughudha.

Hatua hiyo inatokana na malalamiko ya Wafanyabiashara wanaouza bidhaa zao ndani ya soko hilo kuwa biashara zinazofanyika nje ya soko zinawapunguzia wateja na kuwasababishia hasara.

Tangu Februari 2 mwaka huu shughuli za biashara zimeanza rasmi...

 

3 years ago

Mwananchi

Wakulima watakiwa kuchangamkia soko Afrika Mashariki

Mbunge wa Mlalo (CCM), Rashid Shangazi amewataka wakulima wa mbogamboga na matunda wilayani hapa kuchangamkia soko la pamoja la Jumuiya Afrika Mashariki (EAC) na kuacha kusubiri walanguzi wa mazao mashambani.

 

1 year ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AZINDUWA SOKO LA KISASA KINYASINI MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

 Soko la Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ikiwa ni Shamrashamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar. WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Soko la Kisasa la Kinyasini Unguja JENGO Ljipya la Soko la Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja lililofunguliwa na Rais wa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani