WANANCHI WA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA WAHIMIZWA KUJIUNGA NA JUMUIYA YAO.

Na Miza Kona, MAELEZO .

MAKAMU wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi, ameitaka Jumuiya ya Maendeleo ya Mkoa wa Kaskazini Unguja kuzidisha mshikamano  ili kuweza kubadilika kielimu na kuleta maendeleo mazuri mkoani humo.

Balozi Seif ameyasema hayo katika ukumbi wa  zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni mjini Zanzibar katika mkutano wa Jumuiya hiyo.Alisema vijana wengi wa mkoa huo wanakosa kuingia katika ushindani wa soko la ajira kutokana na kukosa sifa zinazohitajika.

Balozi Seif...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

Wananchi wa mkoa wa kasikazini Unguja wahimizwa kujiunga na jumuiya yao.

Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi, ameitaka Jumuiya ya Maendeleo ya Mkoa wa Kaskazini Unguja kuzidisha mshikamano  ili kuweza kubadilika kielimu na kuleta maendeleo mazuri mkoani humo.

Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa Jumuiya ya Maendeleo ya Mkoa Kaskazini Unguja wakifuatilia mkutano huo uliofanyika Baraza l a Wawakilishi la zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.

Balozi Seif ameyasema hayo katika ukumbi wa  zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni mjini Zanzibar katika mkutano wa Jumuiya...

 

5 years ago

Michuzi

Mama Asha Suleimani Iddi katika Futari ya Jumuiya Madrasatul Hidayatul Islamia ya Kijiji cha kidoti Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja

Na Othman Khamis Ame, OMPRWakati kumi la mwanzo la Rehema na lile la pili la maghfira yaliyomo ndani ya mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan yakimalizika waumini wa Dini ya Kiislamu hivi sasa wanaendelea na ibada katika kukamilisha kumi la mwisho la mwezi huu mtukufu wa Ramadhani la kuachwa huru na moto. Ibada hii ya funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani inamuwajibikia kila muumini wa Dini hiyo aliyefikia balegh na akili timamu kuitekeleza ikiwa ni ya Nne kati ya tano ya nguzo za...

 

3 months ago

Zanzibar 24

PAZA yabadilisha maisha ya Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja

Mradi  wa kukuza uwajibikaji Zanzibar (PAZA) ulioundaliwa na TAMWA kwa kushirikiana na WAHAMAZA na NGENARECO pamoja na Asasi za kiraia  waibua maendeleo ya kimaisha kwa Wananchi wa Kaskazini Unguja.

Akizungumza na  Zanzibar24 blog Katibu wa Jumuia ya vijana kupambana na udhalilishaji Ali Makame Zuberi huko Gamba Wilayani Mkoa wa Kaskazini Unguja amesema katika mradi huo wamepata mafanikio makubwa ambayo kwakiasi fulani ipelekea jamii kuhamasika kwa njia tofauti za kimaisha.

Amesema...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Dkt. Shein aahidi kuondoa kilio cha Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amewahakikishia wananachi wa kijiji cha Mbuyumaji na Mlilile Mkoa wa Kaskazini Unguja kuwa Serikali anayoiongoza itahakikisha inawapelekea huduma za afya, umeme, maji safi na salama, elimu na barabara ndani ya miezi sita ijayo.

Dk. Shein aliyasema hayo leo kwa nyakati tofauti mara baada ya kuvitembelea vijiji hivyo vilivyopo Wilaya ya Kaskazini A, ambapo aliwataka Mawaziri husika wa sekta hizo kuhakikisha huduma...

 

2 years ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar Dkt. Shein ziarani Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji pia Kaimu Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe.Ali Abeid Karume wakati alipowasili katika ukaguzi wa maendeleo ya Kiwanda cha Sukari cha Mahonda na kupata maelezo mbali mbali kutoka kwa Wasimamizi wa Kiwanda hicho Kampuni ya ETG  alipofanya ziara katika Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja leo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...

 

2 years ago

Michuzi

Dkt. Shein atembelea Miradi ya Maendeleo katika Wilaya ya kaskazini ”A” Mkoa wa Kaskazini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kuzindua jengo la kituo cha Maafa cha KmKm Nungwi akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya maendeleo Wilaya ya Kaksazini ”A” Unguja leo,(kushoto) Waziri wan chi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheir,(kulia) Mkuu wa KMKM Komodoo Mussa Hassan Musa
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Wananchi wahimizwa kujiunga mifuko ya jamii

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka, amewataka wanachama wapya  kujiunga kwa wingi kwenye mifuko hiyo kwa sababu  muda si...

 

3 years ago

Michuzi

Wananchi wa bahi wahimizwa kujiunga na CHF

Na. Mwandishi wetu, Bahi
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto, Ummy Mwalimu amewahimiza wananchi wa wilaya ya Bahi kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za afya.
Waziri Ummy alisema hayo leo wakati alipofanya ziara ya kikazi wilayani BAHI kwa kutembelea kituo cha Afya cha Mundemu.
Akijibu maswali ya wananchi kuhusu kutopewa dawa licha ya wao kuwa na kadi za CHF, Waziri Ummy amewahakikishia wananchi wote kuwa, wizara yake kupitia...

 

2 years ago

Michuzi

WANANCHI WAHIMIZWA KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII


Na Stella Kalinga, Simiyu
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu,Mhe.Anthony Mtaka ametoa wito kwa wananchi Wilayani Bariadi mkoani humo kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii(CHF).
Mtaka ametoa wito huo wakati alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kata ya Ngulyati wilayani Bariadi wakati wa ziara yake yenye lengo la kusikiliza kero mbalimbali za wananchi na kuzipatia ufumbuzi.
Amesema azma ya Serikali ni kuwa ifikapo mwaka 2020 Watanzania wote wawe wamejiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii(CHF) au Mfuko wa Taifa wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani