Wananchi wahimizwa kuwa na Bima ya Afya

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu amekataza kulipisha pesa za vipimo kwa wagonjwa wote wenye kadi za Bima ya Afya. Waziri Mh.Ummy Mwalumu  ameyasema hayo wakati akiongea na wananchi walioenda kupata matibabu kwenye kituo cha afya cha Rwamishenye. “Ni marufuku kuwalipisha wagonjwa wale wote wenye bima ya mfuko wa afya ya jamii ama tele kwa tele au kadi za bima ya afya labla kama dawa hakuna ndio wanaweza kununua”alisema Aidha, amewataka wananchi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

WANANCHI WAHIMIZWA KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII


Na Stella Kalinga, Simiyu
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu,Mhe.Anthony Mtaka ametoa wito kwa wananchi Wilayani Bariadi mkoani humo kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii(CHF).
Mtaka ametoa wito huo wakati alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kata ya Ngulyati wilayani Bariadi wakati wa ziara yake yenye lengo la kusikiliza kero mbalimbali za wananchi na kuzipatia ufumbuzi.
Amesema azma ya Serikali ni kuwa ifikapo mwaka 2020 Watanzania wote wawe wamejiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii(CHF) au Mfuko wa Taifa wa...

 

3 years ago

StarTV

Wananchi Kinondoni wahimizwa kujitokeza kupima afya ya moyo:

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, amewataka wananchi wa wilaya hiyo kujitokeza kwa wingi katika huduma ya uchunguzi wa afya ya moyo Jumamosi wiki hii, kujua afya zao.

Huduma hiyo ya uchunguzi wa moyo itatolewa bure katika viwanja vya Leaders Kinondoni ikifadhiliwa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa kushirikiana na Kitengo cha Moyo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili

Wakati Tanzania ikitajwa kuwa na ongezeko la magonjwa yasioambukiza kutokana na sababu mbalimbali za mfumo wa...

 

1 year ago

Channelten

Wananchi wenye bima za Afya kuzikwepa hospital za Serikali

kadi ya Bima ya Taifa ya Afya (NHIF)

Kukosekana kwa kauli za kiungwana na huduma kwa wagonjwa kwenye baadhi ya hospitali za serikali kumetajwa kuwa ni mambo yanachosababisha wagonjwa wengi wanaopata huduma kwa kupitia Bima ya Afya kuzikimbia hospitali hizo na kwenda kwenye hospitali binafsi na mashiriki ya kidini.

Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko Taifa wa Bima ya afya, Spika Mstaafu Anna Makinda, ameeleza hayo katika hafla ya uzinduzi wa huduma za karibu unatolewa na Madaktari Bingwa kutoka hospitali za Kanda hapa nchini ukiwa ni...

 

3 years ago

Channelten

Wananchi wameshauriwa kuachana na mawazo potofu ya huduma za bima ya afya

 

Screen Shot 2016-03-19 at 2.14.40 PM

Wakati serikali ikiwa kwenye mchakato wa kuandaa Mkakati wa Kitaifa wa Ugharamiaji Huduma za Afya kwa wananchi ili kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma hizo za msingi bila vipingamizi vyovyote vya kifedha wananchi wameshauriwa kuachana na mawazo potofu ya kwamba huduma za bima ya afya ni kwa wale wenye uwezo na kipato rasmi tu.

Serikali kwa kushirikiana na sekta binafsi imedhamiria kuboresha utoaji wa huduma za afya, moja ya mkakati wa kufikia malengo haya ni kuwa na mkakati endelevu...

 

1 year ago

Michuzi

NHIF YAWAPONGEZA WANANCHI WANAOENDELEA KUJITOKEZA KUPATA KADI ZA BIMA YA AFYA

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Bw. Mpoki Alisubisya akipata maelezo ya jinsi wanachama wa NHIF wanavyohakikiwa wakati wakienda kupata huduma katika vituo vya afya. Maelezo yanatolewa na Afisa mtaalam wa mambo ya Tehama wa NHIF Bw. Maleko katika maonesho ya Sabasaba yanayoendelea huku Kaimu Mkurugenzi wa Fedha wa NHIF Bw. Muganga akifuatilia. Kaimu Mkurugenzi wa Masoko wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Angela Mziray akimuelekeza mwananchi aliyejitokeza kwenye banda la Bima ya Afya kwa...

 

1 year ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AWATAKA WAKAZI WA KIZIMKAZI KUWA NA BIMA YA AFYA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewahimiza wakazi wa Kizimkazi kujiandikisha Bima ya Afya kwani ndio mfumo ambao utawawezesha kupata matibabu haraka na kwa gharama ndogo.
Makamu wa Rais ameyasema hayo wakati wa Sherehe ya Siku ya Wakizimkazi ambapo siku hiyo wakazi hao hukutana na kupeana taarifa za maendeleo na kupanga mipango ya baadae kasha kula chakula cha asili pamoja na michezo ya asili.Mhe. Samia aliwaeleza wananchi hao kuwa hakutokuwa na...

 

3 years ago

Michuzi

WANANCHI WAHIMIZWA KUJITOKEZA KWA WINGI KUPIMA AFYA ZAO KUELEKEA DESEMBA MOSI, 2015.

Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti UKIMWI nchini Tanzania Dkt. Fatma Mrisho  akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani mwaka huu ambayo inaadhimishwa kwa  kuwahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi  kupima afya zao na kupata elimu ya kujikinga  na maambukizi ya ugonjwa huo.  Mkurugenzi wa Ufuatiliaji na Tathmini wa TACAIDS Dkt. Jerome Kamwela akiwaonesha waandishi wa Habari Bango lenye Takwimu za Hali ya Maambukizi ya VVU nchini Tanzania.
Na...

 

3 years ago

Dewji Blog

Wananchi wahimizwa kujitokeza kwa wingi kupima afya zao kuelekea siku ya Ukimwi Desemba

TACAIDS - 0

Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti UKIMWI nchini Tanzania Dkt. Fatma Mrisho  akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani mwaka huu ambayo inaadhimishwa kwa  kuwahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi  kupima afya zao na kupata elimu ya kujikinga  na maambukizi ya ugonjwa huo.

Na. Nyakongo Manyama- MAELEZO.

[DAR ES SALAAM] Wito umetolewa kwa wananchi kote nchini kuyatumia maadhimisho ya Siku ya UKIMWI duniani ambayo huadhimishwa kila ifikapo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani