WANANCHI WATAHADHARISHWA ONGEZEKO MARADHI YA MATUMBO YA KUHARISHA ZANZIBAR

Na Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar 
Jamii imetakiwa kuchukua tahadhari juu ya Ongezeko la Maradhi ya Matumbo ya kuharisha ambayo yameanza toka kuanza kwa msimu wa Mvua za masika katika Visiwa vya Unguja na Pemba.
Tahadhari hiyo imetolewa na kaimu Mkurugenzi Kinga Zanzibar Dkt Mohamed Dahoma alipokuwa akizungumza na Wanahabari kuhusiana na mwenendo wa Maradhi Zanzibar.
Amesema toka kuanza kwa msimu wa Mvua za masika Kituo cha ufuatiliaji wa mwenendo wa maradhi Zanzibar kimebaini zaidi ya Wagonjwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Ongezeko la maradhi yasiyoambukiza limefikia 33% Zanzibar – ZNCDA

Jamii imetakiwa kujenga mazoea  ya kufika katika vituo vya afya mara kwa mara  kwa kupima  afya zao  pia   kujiunga na vikundi vya kufanyia mazoezi  ili kujiepusha na maradhi yasiyoweza kuambukiza.

Akizungumza na vikundi vya mazoezi pamoja na wananchi wa jimbo la Mpendae Mwakilishi wa jimbo hilo Saidi  Mohammed Dimwa wakati alipokuwa katika maadhimisho ya siku maradhi ya moyo duniani.

Alisema  hivi sasa takribani duniani kuna wimbi kubwa la maradhi yasiyoambukiza ikiwemo shindikizo la damu,...

 

3 years ago

StarTV

Wananchi Zanzibar watahadharishwa kutoshiriki kufanya fujo

 

Jeshi la polisi Zanzibar limewatahadharisha wananchi wa Zanzibar kutohamasika kufanya fujo kutokana na kauli za baadhi ya viongozi wa kisiasa kauli zinazoashiria uvunjifu wa amani.

Aida jeshi hilo linasema lipo tayari  kwa hali yeyote kupambana na atakae ashiria kufanya vitendo vyya kuvunja amani kwa kisingizio cha kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar.

Kuhusu kauli ya katibu mkuu wa CUF kuwa atawachia wananchi kuamuwa wanavyotaka kutetea haki yao Jeshi  linasema kauli hizo sio nzuri na...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Madaktari bingwa wa maradhi ya moyo kutoka Israel wapo Zanzibar kuwafanyia vipimo watoto wanaosumbuliwa na maradhi hayo

Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na madaktari wa maradhi ya moyo kutoka Israel ambao wapo nchini kuwafunyia uchunguzi watoto wenye m.aradhi hayo ambao baadhi watapelekwa Israel kufanyiwa upasuaji.

 

Dkt. Yifat Brosh kutoka Shirika la Save a Child Heart la Israel akimfanyia vipimo mmoja ya watoto wanaosumbuliwa na maradhi ya moyo katika Hospitali Kuu ya Mnazimmoja.

 

Waziri wa Afya Mahmoud Thabi Kombo akipata maelezo kutoka kwa Dkt. Alona Roucher kuhusu matatizo ya moyo...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Kitengo cha maradhi yasiyoambukiza Zanzibar chaandaa mdahalo wa wanafunzi kuhusu maradhi ya kisukari kuadhimisha siu ya ugonjwa huo

20Jaji Mkuu wa mdahalo wa maadhimisho ya siku ya kisukari Duniani uliowashirikisha wanafunzi kutoka Wilaya nane za Unguja Dkt. Faiza Kassim Suleiman akiwa na wasaidizi wake akitoa matokeo ya washindi wa mdahalo huo.19Viongozi wa meza kuu wakifuatilia mdahalo wa maadhimisho ya siku ya kisukari Duniani uliofanyika katika Ukumbi wa Jengo la Utamaduni Rahaleo Mjini Zanzibar.17Mmoja wa washiriki wa mdahalo wa maadhimisho ya siku ya kisukari Duniani kutoka Wilaya ya Mjini akitoa mchango wake kuunga...

 

7 months ago

Zanzibar 24

Mbinu sahihi zahitajika ili kuepuka ongezeko la maradhi ya meno

Jamii imetakiwa itumie mbinu sahihi ili kuimarisha afya ya kinywa na meno na kupunguza mzigo mkubwa wa kutibu maradhi ya meno.

Akizungumza katika kampeni maalum juu ya kujikinga na maradhi yanayoathiri kinywa na meno katika skuli ya msingi Mwanakwerekwe ‘E’, Daktari Dhamana Kanda ya Unguja Muhidin Abdalla Mohammed, amesema wananchi wengi wamebainika kuathiriwa na maradhi ya kinywa na meno.

Kwa hivyo amesema ipo haja ya kuchukua tahadhari ili kupunguza tatizo hilo.

Aidha, amesema lengo la...

 

2 years ago

Michuzi

MADAKTARI BINGWA WA MARADHI YA MOYO KUTOKA SHIRIKA LA SAVE A CHILD HEART KUTOKA ISRAEL WAPO ZANZIBAR KUWAFANYIA VIPIMO WATOTO WANAOSUMBULIWA NA MARADHI HAYO

Waziri wa Afya Mahmoud Thabi Kombo akipata maelezo kutoka kwa Dkt. Alona Roucher kuhusu matatizo ya moyo yanayomkabili Muslim Muhd Ali kutoka mtaa wa Jangombe ambae ni mmoja kati ya watoto watakaopelekwa Israel kwa matibabu.Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na madaktari wa maradhi ya moyo kutoka Israel ambao wapo nchini kuwafunyia uchunguzi watoto wenye m.aradhi hayo ambao baadhi watapelekwa Israel kufanyiwa upasuaji.Dkt. Yifat Brosh kutoka Shirika la Save a Child Heart la...

 

3 years ago

StarTV

Wananchi watahadharishwa kutoshabikia maandamano

 Wakati vuguvugu la Kampeni za Uchaguzi likizidi kushika kasi kote nchini,Mgombea kiti cha uraisi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Dokta John Pombe Magufuli amewaomba wananchi kuacha kushabikia maandamano ambayo kwa kiasi kikubwa yamesababisha uchumi kushuka katika maeneo mbalimbali nchini

Dokta Magufuli amesema kuwa suala la msingi ni kukichagua chama cha Mapinduzi CCM ambacho ndio chama pekee chenye dhamira ya kufanya mabadiliko katika nyanja mbalimbali ikiwa ni pamoja na kukomesha...

 

1 year ago

MwanaHALISI

Wananchi watahadharishwa bidhaa ‘feki’

WATANZANIA wameshauriwa kutumia bidhaa zenye nembo ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS), ili kuepukana na utitiri wa vyakula vinavyozalishwa bila viwango kwa matumizi ya mlaji, anaandika Dany Tibason. Ushauri huo umetolewa na meneja wa kampuni ya Chef Asili Co. LTD mkoani Dodoma, Lupyana Chegula, alipokuwa akitoa mafunzo kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo kuhusiana na bidhaa ...

 

3 years ago

Michuzi

Wananchi watahadharishwa juu ya homa ya Zika

Na Raymond Mushumbusi MaelezoWananchi wa Tanzania watahadharishwa juu ya ugojwa wa  homa ya Zika uliripotiwa kutokea katika nchi za Amerika ya kusini hivi karibuni.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo  Mijini Dodoma na Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii, Watoto na Wazee Mhe. Ummy Mwalimu alipokuwa akitoa tamko juu ya uvumi ulioenea kuhusu homa ya Zika iliyoenea katika nchi za Amerika ya kusini.Mhe.Ummy Mwalimu amewaasa watanzania kuwa na tabia ya kwenda hospitali kila wanapojisikia dalili...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani