WANANCHI WENGI WAJITOKEZA KUPIGA KURA KATIKA UCHAGUZI JIMBO LA KIEMBESAMAKI

Wananchi Jimbo la Kiembesamaki, Zanzibar wakiangalia majina yao kujua vituo vyao walivyopangiwa kupiga kura leo asubuhi. Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
HABARI kutoka Zanzibar zinasema uchaguzi mdogo wa uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki kisiwani humo unaendelea vizuri na wapiga  kura wengi wamejitokeza kwenda kutimiza haki yao ya kimsingi. Ulinzi umeimarishwa katika vituo vya kupigia kura. Mwandishi wetu wa huko anasema jana...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

GPL

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI KUPIGA KURA UCHAGUZI MDOGO WA UWAKILISHI JIMBO LA KIEMBESAMAKI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Kituo chake cha kupigia Kura, kwa ajili ya kushiriki kupiga kura ya kumchagua Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki katika uchaguzi mdogo, uliofanyika leo mjini Zanzibar. Kushoto ni Mgombea wa Jimbo hilo, Mahmoud Thabit Kombo. Uchaguzi huo umefanyika baada ya aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo hilo, Mansour Yusuph Himid, kuvuliwa uanachama...

 

4 months ago

VOASwahili

Uchaguzi wa Rais DRC 2018: Wananchi wajitokeza kupiga kura

Wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameanza Jumapili kupiga kura kwenye uchaguzi wa Rais ambao umechelewa kufanyika kwa zaidi ya miaka miwili.

 

3 years ago

Vijimambo

KITUO CHA SEGEREA MAGEREZA HALI NI SHWARI WENGI WAJITOKEZA KUPIGA KURA

 Wakazi wa Segerea wakiwa katika foleni kwaajili ya kuendelea na zoezi la kupiga kura katika kituo cha Magereza Segerea muda huu huku hali ya usalama ikiwa shwari kabisa Foleni ikiwa bado ndefu huku mwamko ukiwa mkubwa kwa rika zote kuanzia vijana na wakina mama na baba zoezi linaendelea vizuri mpaka sasa
 Blogger Josephat Lukaza akiwa katika  foleni ya kupiga kura katika kituo changu cha Magereza segerea kwaajili ya kupiga kura kumchagua kiongozi atakayenifaaPicha zote na Josephat Lukaza wa...

 

3 years ago

GPL

KITUO CHA SEGEREA MAGEREZA HALI NI SHWARI, WENGI WAJITOKEZA KUPIGA KURA‏


†Wakazi wa Segerea wakiwa katika foleni kwaajili ya kuendelea na zoezi la kupiga kura katika kituo cha Magereza Segerea muda huu huku hali ya usalama ikiwa shwari kabisa

†Foleni ikiwa bado ndefu huku mwamko ukiwa mkubwa kwa rika zote kuanzia vijana na wakina mama na baba zoezi linaendelea vizuri mpaka sasa

†Blogger Josephat Lukaza akiwa katika †foleni ya kupiga kura katika kituo changu cha Magereza segerea...

 

3 years ago

Michuzi

MTONI KIJICHI, MBAGALA WENGI WAJITOKEZA KUPIGA KURA KWA UTULIVU NA AMANI JIJINI DAR ES SALAAM

 Rukia Omari (kushoto), akimsaidia kupiga kura jamaa yake Mwanaharusi Mohamed ambaye ni mlemavu wa macho wakati wa kupiga kura katika kituo cha Mbagala Misheni Dar es Salaam leo asubuhi.  Wananchi wakiwa wamejipanga foleni kwa ajili ya kupiga kura katika Kituo cha Mtoni Kijichi Stendi Dar es Salaam leo asubuhi. Wananchi wakisubiri kupiga kura katika kituo cha Shimbwe Mbagala Kuu.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

3 years ago

GPL

MTONI KIJICHI, MBAGALA WENGI WAJITOKEZA KUPIGA KURA KWA UTULIVU NA AMANI JIJINI DAR ES SALAAM‏

Rukia Omari (kushoto), akimsaidia kupiga kura jamaa yake Mwanaharusi Mohamed ambaye ni mlemavu wa macho wakati wa kupiga kura katika kituo cha Mbagala Misheni Dar es Salaam leo asubuhi. Wananchi wakiwa wamejipanga foleni kwa ajili ya kupiga kura katika Kituo cha Mtoni Kijichi Stendi Dar es Salaam leo asubuhi. Wananchi wakisubiri kupiga kura katika kituo cha Shimbwe Mbagala… ...

 

5 years ago

Michuzi

Tume ya Taifa ya Uchaguzi yasisitiza wapiga kura ndani ya Jimbo la Chalinze wajitokeze kwa wingi na kwenda kupiga kura

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (wa kwanza kushoto) akitoa risala siku moja kabla ya ya kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Chalinze kwa waadishi wa habari leo katika ukumbi halmashauri ya mji wa Bagamoyo. Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Hamid Mahmuod na wa kwanza kulia ni Mjumbe wa Tume hiyo Prof. Amon Chaligha. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (wa kwanza kulia)...

 

3 years ago

Dewji Blog

Wananchi wajitokeza kwa wingi kupiga kura maeneo mbalimbali ya Kata ya Kijitonyama jijini Dar

 

Wasimamizi wa uchaguzi wakiendelea kuwahudumia wananchi waliofika katika kituo cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kijitonyama leo jijini Dar kwa ajili ya kupiga kura.(Picha na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog).

Mmoja wa wazee akisaidiwa na mtu wake wa karibu ili kupiga kura katika kituo cha Chuo cha Ustawi wa Jamii  jijini Dar leo.

Mlemavu akisaidiwa na mtu wa karibu alipofika katika kituo cha Kenton kwa ajili ya kupiga kura.

Mmoja wa wananchi akiwa kwenye sehemu ya kupigia kura...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani