WANAOHAMA CHADEMA KWENDA CCM WANAJALI MATUMBO YAO NA SIYO KUSAIDIA TAIFA (BAVICHA)

BARAZA la Vijana wa Chadema (Bavicha), limesema wimbi la kuhama kwa viongozi na wanachama wa chama hicho, unakipa nafasi ya kujirekebisha na kujipanga vizuri ikiwamo kubaki na wanaofuata misingi ya chama.Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Bavicha Taifa, Julius Mwita akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kujua kauli ya Bavicha kuhusu wimbi la kung'atuka kwa

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

CCM Blog

KINANA: CHAGUENI VIONGOZI WATAKAOWASAIDIA SIYO WATAKAOSHUGHULIKA NA SHIDA ZA MATUMBO YAO


Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimnadi mgombea Udiwani kata ya Ngarenanyuki, Arumeru mkoani Arusha, Mwalimu Zakaria Nnko, wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata hiyo, uliofanyika kwenye Viwanja vya Mpira vya Shule ya Ngarenanyuki, leo Januari 21, 2017.

Akimnadi Mgombea huyo, Kinana amewataka Watanzania kujenga tabia ya kuchagua  viongozi watakaowasaidia na kuacha kuchagua ambao wakishapata madaraka wanashughulikia shidao za matumbo yao badala ya...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Kauli ya Mbowe kuhusu BAVICHA kwenda kuzuia mkutano wa CCM

Mbowe-1

Baada ya baraza la vijana wa CHADEMA ‘BAVICHA’ kuwa na mkakati kuzuia mkutano mkuu wa CCM uliopangwa kufanyika Dodoma kwa kuandaa vijana 5000 kutoka sehemu mbalimbali nchini kwenda kuzuia mkutano huo utakaotumika kumkabidhi Rais Magufuli uenyekiti wa CCM. Leo July 10 2016 Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amezungumza na waandishishi wa habari Arusha na kuwataka […]

The post VIDEO: Kauli ya Mbowe kuhusu BAVICHA kwenda kuzuia mkutano wa CCM appeared first on millardayo.com.

 

4 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA BAVICHA TAIFA CHADEMA AWAHUTUBIA WANANCHI

WILLIAM MUNGAI ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mbunge wa jimbo la mufindi kasikazi akiongozana na Mwenyekiti wa BAVICHA taifa Hon.Ole SOSOPImakamu mwenyekiti wa BAVICHA taifa Hon.Ole SOSOPI akiwahutubia wananchi katika jimbo la Mufindi Kasikazini.WILLIAM MUNGAI ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mbunge wa jimbo la mufindi kasikazi akiwahutubia wananchi wa jimbo la mufindi kusini ambako anatarajia kugombea ubunge kupitia chadema.
Wananchi wa wilaya ya mufindi mkoani Iringa wamelalamikia ugumu wa...

 

1 year ago

MwanaHALISI

Kauli ya Chadema baada ya Mwenyekiti Bavicha kuhamia CCM

DK. Vincent Mashinji, Katibu Mkuu wa Chadema, amesema chama hakina mgogoro na aliyekuwa Mwenyekiti wa Bavicha, Patrobas Katambi ambaye ametangaza kujiunga na CCM kwa kuwa ni haki ya Kikatiba, anaandika Angel Willium. Muda mchache baada ya Katambi kutangaza kujiunga na CCM, Dk. Mashinji, amesema: “Sisi kama chama msimamo wetu tuliuweka tangu madiwani walivyoanza kuondoka, tukaweka ...

 

2 years ago

CCM Blog

UHURU FM WAANZA LEO KUMBUKIZI YA BABA WA TAIFA KWA KUSAIDIA YATIMA KATIKA KAMPENI YAO YA 'GUSA MAISHA YAKE'

 Mkurugenzi wa Uhuru FM Angel Akilimali, akikabidhi msada wa vitu mbalimbali ikiwemo vyakula kwa Msimamizi Mkuu wa Kituo cha kulelea Watoto yatima na wasio chini ya malezi ya wazazi wao cha CHAKUWAMA, Hassani Hamis, Wafanyakazi wa Uhuru FM walipofika kituoni hapo, Sinza Jijini Dar es Salaam, leo, kutoa msaada katika kampeni ya "Gusa maisha yake" iliyoanzishwa na kituo hicho cha radio ikiwa ni sehemu ya kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Nyerere. kulia ni Mtangazaji wa Uhuru...

 

4 years ago

Habarileo

Wazee waitaka CCM kutohangaika na wanaohama

WAZEE mkoani Rukwa wametamka hadharani kuwa CCM ni chama chenye heshima kubwa kwa kuwa na Ilani ya Uchaguzi bora na yenye heshima.

 

4 years ago

Mtanzania

Butiku aunga mkono wanaohama CCM

DSC_0857NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

MKURUGENZI wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amewaunga mkono wanachama na makada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wanaohamia vyama vya upinzani.

Alisema makada hao walichelewa  kutoka ndani ya chama hicho na wameondoka wakati tayari chama hicho kimeharibika.

Butiku aliyasema hayo   alipotoa mada kwenye mdahalo  wa Maadili na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu, Dar es Salaam jana.

Alisema   CCM ni sawa  na kokoro ambalo limebeba kila aina ya uchafu.

Butiku...

 

1 year ago

Malunde

BAVICHA : WEMA SEPETU ALIKUWA SHABIKI WA CHADEMA...NA CHADEMA INA WAFUASI WA NAMNA MBALIMBALI...

Umoja wa Vijana wa Chadema (Bavicha) umesema mrembo huyo wa Tanzania mwaka 2006,  Wema Abraham Sepetu hakuwahi kuwa mwanachama wala kukabidhiwa jukumu lolote katika operesheni za chama hicho kikuu cha upinzani kwani alikuwa shabiki.


Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Patrick Ole Sosopi amesema hayo juzi baada ya kutangazwa kurithi nafasi ya aliyekuwa Mwenyekiti, Patrobas Katambi ambaye amehamia Chama Cha Mapinduzi mwezi uliopita.
“Wema alikuwa shabiki wa Chadema na Chadema ina wafuasi wa namna...

 

4 years ago

Habarileo

Nape: Wanaohama CCM ni sawa na mafuta machafu

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema wanachama waliokihama chama hicho wamejivua nguo mbele za watu na kwamba wapinzani wanaowachukua wanahangaika na mafuta machafu.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani