Wanasheria watoa tamko kukamatwa kwa Lissu

Vyama vitatu vya wanasheria Afrika vimetoa tamko la pamoja kulaani kukamatwa kwa Rais wa Chama cha Wanasheria cha Tanganyika (TLS), Tundu Lissu alipokuwa akielekea Kigali, Rwanda kwenye mkutano wa wanasheria wa Afrika Mashariki.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Malunde

HII HAPA BARUA NZITO YA WANASHERIA WA UINGEREZA KWA RAIS MAGUFULI KUHUSU TUNDU LISSU

Taasisi tatu za juu za wanasheria za Uingereza zimeungana na kumwandikia barua ya wazi Rais John Magufuli zikiomba mamlaka kufanya uchunguzi wa kina juu ya tukio la kupigwa risasi kwa Lissu na kumfutia kesi zote zinazomkabili ambazo zimekosa ushahidi wa kutosha.
Barua hiyo imeandikwa juzi na kusainiwa na vigogo wa Chama cha Mawakili Uingereza (LS), Kamati ya Haki za Binadamu ya Wanasheria Uingereza (BHRC) na Baraza la Wanasheria (BC).
Vigogo hao, Rais wa LS, Joe Egan; Mwenyekiti wa BHRC Andrew...

 

2 years ago

CHADEMA Blog

KINACHOENDELEA KUHUSU KUKAMATWA KWA TUNDU LISSU

Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu amehojiwa kwa tuhuma za kufanya makosa mawili;1. Kumkashifu rais.2. Uchochezi kuhusu kuzuiliwa na kushikiliwa kwa ndege ya serikali ya bombardier.Makosa hayo yanadaiwa kufanywa kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Ijumaa iliyopita, Agosti 18, mwaka huu.Lissu ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki na Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya

 

5 years ago

Mwananchi

CCT watoa tamko zito kwa Rais Kikwete

Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imetoa tamko zito ikieleza kushangazwa na kauli ya Rais Jakaya Kikwete ya kupinga mapendekezo yaliyomo katika Rasimu ya Katiba iliyotokana na maoni ya Watanzania na kusema kitendo hicho kimeishusha hadhi Tume ya Mabadiliko ya Katiba aliyoiteua.

 

3 years ago

Raia Mwema

Mamwene watoa tamko zito kwa Jiji la Mbeya

UJUZI wa wenyeji (indigenous knowledge) ulipopuuzwa na wataalamu, umesababisha wakazi wa Jiji la

Felix Mwakyembe

 

2 years ago

Bongo5

Mahakama yatoa amri kukamatwa kwa Tundu Lissu

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa amri kukamatwa kwa mbunge wa Singida Mashariki,Tundu Lissu na kuamuru wadhamini wake kufika mahakamani hapo.

lissu

Amri hiyo imetolewa na Hakimu Thomas Simba baada ya upande wa Jamhuri kudai kuwa kesi yake ilipangwa kusikilizwa Alhamisi hii lakini Lissu hakuwepo mahakamani hapo.

Alijitokeza mdhamini wake mmoja kati ya wawili, Robert Katula na kudai kuwa mshtakiwa huyo anaendesha kesi ya uchaguzi wa mahakama kuu Tanzania kanda ya ziwa.

Hakimu alimhoji...

 

2 years ago

Bongo5

Video: Kamanda Sirro aeleza kosa la kukamatwa kwa Lissu

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kutoa maneno ya uchochezi likiwemo kuwepo kwa njaa nchini.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es Salaam, Simon Siro, leo amewaambia waandishi wa habari kuwa wanamshikilia Lissu kutokana na tuhuma hizo ambazo anasema maneno yake yanaweza kusababisha uvunjifu wa amani. Kwa sasa upepelezi unafanyika ili kuona kama wanaweza kumpeleka mahakamani.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,...

 

2 years ago

Channelten

Kukamatwa kwa Tundu Lissu Chadema yalaani hatua ya jeshi la Polisi

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimelaani kitendo cha Jeshi la Polisi kumkamata Mwanasheria Mkuu wa Chama hicho na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lisu kwa kile ilichodai bila kuzingatia kanuni na taratibu za Bunge huku ikilitaka Jeshi hilo kumwachia Mbunge huyo kwa dhamana.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaaam Katibu Mkuu wa CHADEMA Dk. Vicent Mashinji amedai kitendo kilichofanywa na Jeshi hilo cha kumkamata Tundu Lisu akiwa katika maeneo ya Bunge ni...

 

2 years ago

Mwananchi

Lissu agomea mahakamani kwa saa tatu akikwepa kukamatwa na polisi

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Lazaro Mambosasa jana alilazimika kwenda Mahakama ya Wilaya ya Dodoma kumwondoa Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu aliyekaa kwa zaidi ya saa tatu akihofia kukamatwa.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani