WANASIASA WAACHE KUITUMIA MICHEZO PINDI WATAFUTAPO NAFASI ZA UONGOZI


Na David John -Mwanza.
KATIBU wa Chama cha Michezo wilaya ya Nyamagana Daddy Gilbert amewataka wanasiasa kuacha tabia ya kuitumia michezo pindi wanapotafuta nafasi za uongozi na wakishapata hawana habari.Amesema wanasiasa wengi wamekuwa wakitumia michezo kama tiketi yao ya kutaka uongozi na wakifanikiwa hawanahabari na michezo jambo ambalo halipendezi.
Kiongozi huyo wa michezo ametoa dukuduku lake hilo wakati akizungumza na waandishi wa habari ambapo walifika katika ofisi za chama cha soka wilaya hiyo kutaka kujua namna walivyojipanga kuendeleza michezo.Daddy amesema anakerwa na baadhi ya wanasiasa ambao wanatumia michezo kupata uongozi na pindi wanapofanikiwa hawajari tena.
"unajuwa kama wenzetu wanasiasa wangekuwa wanatuunga mkono naamini hata kwa hapa Mwamza tungefika mbali ,lakini bahati mbaya wakishapata wanachokipata hawana muda tena na sisi". amesema Daddy.
Pia bosi huyo wa chama wilaya ametoa rai kwa wananchi wa mkoa wa mwanza kujitokeza katika viwanja vya michezo hususani uwanja wa Nyamagana ambapo ligi ya Willya kutafuta timu zitakazo cheza ligi ngazi ya mkoa.
"kama mmavyoona hapa kuna ligi ya Wilaya ambayo imeshirikisha timu 25 inaendelea lakini mwamko wa mashabiki Kama mnavyoona."amesema Daddy.Mwenyekiti wa Chama cha Soka wilaya ya  Nyamagana Daddy Girbat( kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mwandishi wa Habari hizi David John leo mara baada ya kumtembelea ofisini kwake ulipo uwanja wa michezo wa Nyamagana. Mkoani mwanza

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Tanzania Daima

Wanasiasa waache kuchanganya wakulima mfumo wa stakabadhi ghalani

UONGOZI imara wa Vyama vya Ushirika umewezesha ufanisi kwenye mfumo wa stakabadhi ghalani katika maeneo yanayolima kahawa mkoani Kilimanjaro, lakini wanasiasa ni changamoto katika hilo kwa kuwa wanatumia majukwaa kupanga...

 

2 years ago

Ippmedia

Wanawake watakiwa kugombania nafasi za uongozi na si kutegemea nafasi za viti maalum.

Wanawake wametakiwa kujijengea kujiamini kwa kugombania nafasi mbalimbali za uongozi na si tu viti maalum pekee ili kuondoa mfumo tegemezi kwenye nyanja mbalimbali ikiwemo ya uchaguzi na uongozi ili kuondokana na rushwa pamoja na vitendo vya udhalilishaji.

Day n Time: IJUMAA SAA 2:00 USIKUStation: ITV

 

2 years ago

CCM Blog

PINDI CHANA AKUTANA NA UONGOZI WA UHURU PUBLICATIONS LTD NA PEOPLES MEDIA LEO

 Kaimu Katibu wa NEC, anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Dk. Pindi Chana ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, akisalimiana na Meneja Rasilimali watu wa zamani wa Uhuru Publications Ltd, Lucas Kisasa, baada ya kumkuta nje wakati akienda ofisi za kampuni hiyo leo kujitambulisha kwa viongozi wa Kampuni hiyo ambayo ni wachapishaji wa magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani na viongozi wa Peoples Media Ltd ya Uhuru FM, leo. Kulia ni mpigapicha wa Magazeti ya Uhuru,...

 

2 years ago

Vijimambo

BARAZA KUU LA USALAMA LAJADILI NAFASI YA MWANAMKE: PINDI CHANA AZUNGUMZA

Taswira ya Ukumbi wa Baraza Kuu la Usalama ulivyosheheni wajumbe na Washiriki wa Majadiliano kuhusu Azimio la Wanawake, Usalama na Amani, majadiliano ambayo pia yalihudhuriwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon na wawakilishi kutoka mataifa mbalimbali.Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Pindi Chana akizungumza mbele ya Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa, wakati Baraza hilo lilipokutana kwa siku zima ya Jumanne kujadili Azimio 1325, Azimio ...

 

4 years ago

Habarileo

Wanasiasa,watawala kuondolewa uongozi Ushirika

Waziri Mkuu, Mizengo PindaSERIKALI imetoa waraka wa kuwaondoa viongozi wa siasa na serikali katika uongozi wa vyama vya ushirika katika ngazi zote ili kuondoa migogoro ya kimaslahi.

 

4 years ago

Mwananchi

Wanawake gombeeni nafasi za uongozi

Tanzania ina hazina ya wanawake wenye uwezo katika masuala ya uongozi na vipaji vya kuhamasisha maendeleo siyo kwa wanawake pekee bali jamii kwa jumla.

 

3 years ago

Habarileo

Wagombea nafasi za uongozi wapewa ajenda

MTANDAO wa kupinga ndoa za utotoni (TCEMN) umeshauri wanasiasa watakaogombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ajenda yao kubwa kuwa ni namna watakavyohakikisha wanasimamia haki na ulinzi wa watoto.

 

3 years ago

Tanzania Daima

Wahitimu watakiwa kugombea nafasi za uongozi

WAHITIMU Nchini, wametakiwa kutumia taaluma yao kujitokeza kugombea nafasi za uongozi ngazi za chini ili kuleta maendeleo katika jamii. Rai hiyo imetoleawa jana na Naibu waziri wa Viwanda na Biashara,...

 

3 years ago

Dewji Blog

Wanawake wahimizwa kuwa nafasi za uongozi

MWENYEKITI wa UVCCM mkoa wa Iringa,  Tumaini Msowoya ametembelea wodi ya watoto 22

Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Iringa, Tumaini Msowoya akimkabidhi msaada mmoja kati ya wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya watoto kwenye Hospitali ya mkoa, wakati alipotembelea wodi ya watoto 22.

Na Fredy Mgunda, Iringa

JAMII imeaswa kuacha mitazamo dhaifu na yenye kejeri kwa wanawake wanaojitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi wa kisiasa.

Aidha wanawake wenyewe wameshauriwa kutolegea  na kuwa na misimamo pindi wanapotaka kuingia madarakani kwa kujiamini na kutokubali kutumiwa kama...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani