Wanasiasa wataka sheria za uvuvi ziwa Victoria zitungwe upya

Mara nyingi, tanzania haijihusishi katika migogoro ya matumizi ya ziwa Victoria licha ya kuwa na mgao mkubwa wa asilimia 37.5.

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

StarTV

Serikali yatakiwa kuangalia upya sheria za uvuvi ziwa victoria

 

Halmashauri ya Manispaa ya Mji wa Musoma mkoani Mara, wameitaka Serikali kuangalia upya Sheria za uvuvi kwa kuainisha maeneo husika kutokana na sheria zilizopo kuwakandamiza Wavuvi hasa Waliopo ndani ya Ziwa Victoria.

Hatua ya Madiwani hao kujenga hoja hiyo inatokana na aina ya Samaki wanaopatikana katika Ziwa Victoria Kupishana na Samaki waliopo katika Ziwa Tanganyika huku Sheria Ikiwa ni Moja na kutumika Katika Maeneo Yote.

Kilio cha wananchi Waishio Kando ya Ziwa Victoria, Kutokana na...

 

12 months ago

Michuzi

WAVUVI WAASWA KUZINGATIA SHERIA,TARATIBU ZA UVUVI KUZILINDA RASILIMALI ZIWA VICTORIA

NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega ameteketeza Nyavu haramu 242 zenye thamani ya Sh Mil.242 baada ya wavuvi kuzisalimisha wenyewe katika kisiwa cha Zilagula kilichopo halmshauri ya Buchosa wilayni Sengerema mkoani Mwanza.

Akizungumza wakati wa uteketezaji wa nyavu hizo, Ulega aliwapongeza wavuvi hao kwa hatua hiyo walioichukua huku akikazia msimamo wa serikali wa kupambana na uvuvi halamu. Pamoja na kuwapongeza huko,Ulega aliwasisitiza wavuvi hao kuzingatia sheria na...

 

3 years ago

Habarileo

Uvuvi haramu washamiri Ziwa Victoria

UVUVI haramu wa kutumia sumu na nyavu zenye matundu madogo unadaiwa kukithiri katika Ziwa Victoria wilayani Rorya mkoani Mara.

 

2 years ago

Habarileo

Samia akerwa uvuvi haramu Ziwa Victoria

MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na kuendelea kushamiri kwa uvuvi haramu katika Ziwa Victoria unaosababisha samaki zipungue na kuharibu mazingira.

 

1 year ago

Michuzi

RC MARA TOKOMEZA UVUVI HARAMU ZIWA VICTORIA-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza  Mkuu wa Mkoa wa Mara, Bw. Adam Malima kwa kushirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa  wahakikisha wanatokomeza uvuvi haramu katika ziwa Victoria.
Waziri Mkuu alitoa agizo hilo jana (Jumapili, Januari 21, 2018) wakati akizungumza na viongozi wa mkoa huo katika kikao cha majumuisho ya ziara yake ya kikazi  mkoani Mara.
“Kuna tatizo kubwa la uvuvi haramu katika Ziwa Viktoria. Fanyeni doria za mara kwa mara na watakaobainika hatua stahiki za...

 

10 months ago

CCM Blog

NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI ZAUNGANISHA NGUVU KUTOKOMEZA UVUVI HARAMU KATIKA ZIWA VICTORIA

Waziri wa Mifugo na Uvuvi wa Tanzania, Luhaga Mpina mwenye miwani akimkabidhi uenyekiti  wa Baraza  la Mawaziri wa Sekta ya Uvuvi na Utunzaji wa Viumbe Kwenye Maji katika nchi za Afrika Mashariki(FASCoM)  Ssempija Vicente Bamulangaki ambaye ni Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi wa Uganda hivi karibuni

Na Mwandishi Maalum, Entebbe 
NCHI za Tanzania, Kenya na Uganda zimeridhia kufanya operesheni ya pamoja kupambana na uvuvi haramu katika Ziwa Victoria ili kuokoa samaki aina ya sangara walioko...

 

2 years ago

MwanaHALISI

Sheria usafirishaji Ziwa Victoria yaiva

KUANZA utekelezaji wa sheria ya usafirishaji Ziwa Victoria ya mwaka 2007 kwa Nchi za Afrika Mashariki, itasaidia kuleta mageuzi kwenye sekta ya usafiri majini na kuimarisha ulinzi na usalama wa vyombo vya majini, anaandika Moses Mseti. Hayo yameelezwa leo na wadau pamoja na watendaji wa taasisi mbalimbali za serikali jijini Mwanza, mbele ya John Mongella, ...

 

4 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT. TITUS MLENGEYA KAMANI (Mb) AZINDUA MRADI WA UFUGAJI WA SAMAKI NDANI YA ZIWA VICTORIA

Mgeni Rasmi Waziri wa Maendeleao ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (MB) akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Mradi wa Ufugaji wa Samaki ndani ya Ziwa Viktoria Kiteule cha Bulamba kwa kutumia teknolojia mpya ya vizimba (Cages). Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe.John Henjewele, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mara. Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Raphael M. Muhuga.Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani akipandikiza...

 

1 year ago

Michuzi

WAZIRI MPINA APOKEA RIPOTI YA KAMATI NDOGO ALIYOIUNDA KWA SIRI KUTATHMINI UTENDAJI WA SEKTA YA UVUVI KATIKA ZIWA VICTORIA


 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe Luhaga Mpina (kulia) akipokea ripoti ya Kamati Ndogo ya kutathmini utendaji wa sekta ya Uvuvi katika Ziwa Victoria kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhandisi Bonaventure Baya anayeshuhudia ni Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia uvuvi, Dk.  Yohana Budeba hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dodoma jana. Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe Luhaga Mpina(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati Ndogo ya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani