WANAUME WA TARIME ACHENI UKATILI KWA WANAWAKE NA WATOTO-MAJALIWAWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaasa wanaume wa wilaya ya Tarime kujiepusha na vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto pamoja na kuachana na kilimo cha bangi.
Alitoa kauli hiyo jana jioni (Jumatano, Januari 17, 2018) wakati akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Serengeti, wilayani Tarime.
Waziri Mkuu alisema vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto pamoja na kilimo cha bangi vinaitia doa wilaya hiyo, hivyo hawana budi wakaepukana...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Tanzania Daima

Wapinga ukatili kwa wanawake, watoto

TAMASHA la kupinga ukatili wa kijinsia lililopewa jina la ‘siku ya rangi ya chungwa’ limenyika jijini Dar es Salaam kupinga unyanyasaji kwa mwanamke na mtoto wa kike. Akizungumza na waandishi...

 

2 years ago

Habarileo

Hukumu ukatili kwa wanawake, watoto kuharakishwa

SERIKALI imeanzisha utaratibu wa kuharakisha kesi zinazohusu unyanyasaji na ukatili wa wanawake na wasichama wadogo ili hukumu zitolewe mapema na wahusika watakaokutwa na hatia wafungwe haraka.

 

2 years ago

Mtanzania

WANAWAKE WAWAFANYIA UKATILI WANAUME

woman-beating-man-jpg1_

Na ROSE CHAPEWA, MBEYA

WANAUME 111 mkoani Mbeya wameripoti kufanyiwa ukatili wa kimwili, huku wengine 14 wakidaiwa kufanyiwa ukatili wa kingono na wenza wao.

Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Mbeya, Dk. Yahya Msuya alisema hayo wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia.

Alisema katika matukio 2,890 waliyopokea katika Hospitali ya Rufaa ya  Mkoa wa Mbeya , kwa kipindi cha mwaka mmoja, hali ilikuwa tofauti na ilivyozoeleka.

Alisema, hivi sasa  wanaume...

 

2 years ago

Michuzi

VITENDO VYA UKATILI KWA WANAWAKE NA WATOTO HAVITAVUMILIWA - SERIKALI

Waziri wa Afya, Maendeleo Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akibovya Komputa kuashiria katika uzinduzi Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya wanawake na Watoto 2017 - 2022, leo jijini Dar es Salaam. Wa pili kutoka kulia ni Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii 
SERIKALI imesema haitavumilia vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto vikiendelea...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Ukatili kwa wanawake na watoto Zanzibar, IGP atuma timu

Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu ametuma timu ya Maofisa  wa Polisi kwenda Zanzibar kushughulikia kero na malalamiko ya wananchi juu ya vitendo vya udhalilishaji na ukatili kwa watoto/wanawake ambavyo vimekuwa vikiripotiwa mara kwa mara.

Timu hiyo inayoongozwa na Kamishna wa Polisi Jamii, Mussa Ali Mussa imepewa jukumu la kuchunguza vitendo hivyo vya udhalilishaji na kiini chake na hatimaye kuja na mpango mkakati wa kuzuia vitendo hivyo ikiwemo kuwakamata  wahusika na kuwafikisha...

 

3 years ago

Mtanzania

TAMWA: Tunalaani vikali vitendo vya ukatili kwa wanawake na watoto

Mkurugenzi Mtendaji-TAMWA, Edda Sanga

Mkurugenzi Mtendaji-TAMWA, Edda Sanga

Chama cha Wanahabari Wanawake nchini (TAMWA) kinalaani vikali vitendo vya ukatili kwa wanawake na watoto ambao umekuwa ukifanyika nchini hasa ubakaji na ulawiti wa makusudi ambao wakati mwingine watu hubakwa na kuawa.

Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Eda Sanga, Edda Sanga, amesema kuwa matukio ya ubakaji, ulawiti na mauaji kwa wanawake na watoto yamekuwa yakifanyika kwa kasi ambapo hivi karibuni lilitokea kwa msanii wa ngoma za asili na Bongofleva ambaye...

 

12 months ago

Michuzi

MAFUNZO KWA KAMATI YA KUTOKOMEZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO SHINYANGA YAFUNGWA

Akizungumza wakati wa kufunga mafunzo hayo,Katibu tawala mkoa wa Shinyanga Albert Msovela ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto mkoa wa Shinyanga alisema ili kukomesha vitendo hivyo ni lazima kila mmoja ashiriki kwa nafasi yake. 
“Ni lazima wadau wote waweke nguvu ya pamoja kukabiliana na vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto,hivyo mafunzo haya mliyopata yawe chachu ya kuleta mabadiliko katika jamii yetu ili wanawake na watoto waishi...

 

4 years ago

Dewji Blog

Kwa wanaume na wanawake walio kwenye ndoa tu ! kwa wanaotaraji kupata watoto

11098377_1412805635702978_1854371883_n

Pichani ni mwanadada, Hamisa Mabeto ambaye hivi karibuni amebahatika kupata mtoto. Awali ujauzitowa Hamisa Mabeto haukujulikana hadi pale alipopiga picha maalum za mavazi ya ujauzito ambazo zilisambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, ambapo hata hivyo baad ya kusambaa kwa picha hizo, siku chache, Hamisa alijifungua mtoto wake.

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Msomaji wa Modewji blog, unaendelea kuperuzi leo tumewaletea dondoo kidogo katika suala la kuhimarisha familia ndani ya nyumba....

 

12 months ago

Michuzi

RAS SHINYANGA AFUNGUA MAFUNZO KWA KAMATI YA KUTOKOMEZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO

Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Albert Msovela amefungua mafunzo kwa wajumbe wa kamati ya kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto mkoa wa Shinyanga yanayolenga kuwajengea uwezo wa namna ya kupiga vita ukatili katika jamii.
Mafunzo hayo ya siku tatu yaliyoanza leo Jumatano Mei 30,2018 yanayofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Shinyanga yamekutanisha wadau mbalimbali wanaohusika katika kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto kwa ufadhili wa shirika lisilo...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani