Wanawake Kaskazini  Unguja washajihishwa kujiunga na uzazi wa mpango kunusuru afya ya Mtoto

WAZIRI WA Afya Hamad Rashid Mohammed amewasisitiza akinamama wa mkoa wa Kaskazini  Unguja kujishajihisha  katika uzazi wa mpango ili waweze kuwa na afya bora na kuweza kuwapatia malezi mema watoto wao.

Hayo ameyasema katika Hospital ya Kivunge wakati alipofanya ziara ya kukagua huduma mbali mbali zinazotolewa katika hospital hiyo ikiwemo huduma ya  mama na mtoto.

Alisema ili afya ya mama  na mtoto iweze kuimarika ni lazima akinamama wajiepushe na uzazi wa papo kwa papo kwani kufanya hivyo...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

TASAF YANG’ARISHA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI KISIWANI UNGUJA.


NA ESTOM SANGA-ZANZIBAR.

Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini unaotekelezwa na Serikali kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii –TASAF – unaendelea kuboresha maisha ya walengwa wake Kisiwani Unguja ambao wameanza kujiimarisha kiuchumi kwa kuanzisha miradi midogo midogo ya uzalishaji mali kwa kutumia fedha za zitolewazo na Mpango huo.

Mmoja ya walengwa wa Mpango huo kutoka shehia ya kijini ,kisiwani Zanzibar Bi. Hafsa Seleman Abdallah mama wa watoto WANANE amewaambia wadau wa maendeleo na...

 

5 years ago

Michuzi

TASAF YATOA MAFUNZO KWA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI HUKO UNGUJA

   Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF , Bwana Ladislaus Mwamanga akiwatambulisha baadhi ya wageni walioshiriki katika kikao cha kujifunza kutoka kwa walengwa wa Mpango wa kunusuru kaya Masikini katika shehia ya Mwembemakumbi wilaya ya Mjini Unguja ambako ujumbe huo umekuweko kwa siku Tatu.    Mkurugenzi wa Miradi wa TASAF Bwana Amedius Kamagenge akitoa ufafanuzi wa moja ya masuala yaliyojitokeza katika kikao cha pamoja kati ya walengwa wa Mpango wa Kunusuru kaya Masikini katika shehia ya...

 

3 years ago

Channelten

Mradi wa Afya ya Mama na Mtoto Wakunga wa jadi kushirikishwa kuboresha afya ya uzazi

Screen Shot 2016-02-29 at 4.15.29 PM

Jumla ya akina mama 11 wajawazito, kutoka kata na vijiji vya Mohoro,  Ikwiriri, Wilaya ya Rufiji mkoa wa Pwani,wamepoteza maisha katika kipindi cha Januari mpaka Desemba 2015, kutokana na  sababu mbalimbali zikiwemo zinazoelezewa kupuuzia ama kutofahamu umuhimu wa kuhudhuria kliniki wiki 12 baada ya ujauzito pamoja na umbali wa vituo vya afya.

Akizungumza na Channel Ten katika mahojiano wakati wa uzinduzi wa mradi wa majaribio wa ushirikishaji  wakunga wa jadi unaolenga kuboresha afya ya...

 

3 years ago

Mtanzania

Umuhimu uzazi wa mpango na fikra za wanawake

Mwanamke akichomwa sindano ya uzazi wa mpango.

Mwanamke akichomwa sindano ya uzazi wa mpango.

Na Hamisa Maganga, aliyekuwa Morogoro

UZAZI wa mpango ni uamuzi wa hiari unaofanywa na mtu binafsi, wanandoa au wenzi walio nje ya ndoa ambao hupanga ni lini wapate watoto, idadi wanayoitaka na baada ya

muda gani. Pia huamua ni njia ipi wangependa kutumia.

Wataalamu wa masuala ya uzazi wanasema matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango kwa wanawake

walioolewa ambao wamefikia umri wa kuzaa yameongezeka, lakini ongezeko hilo ni la...

 

2 years ago

Habarileo

Uzazi mpango kufikia wanawake milioni 2

WANAWAKE wengi nchini watanufaika na huduma za uzazi wa mpango kupitia programu ya Shirika la Marie Stopes Tanzania ya uzazi wa mpango inayolenga kuwafikia watumiaji wa njia hizo milioni mbili ifikapo mwaka 2020.

 

2 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA YAANZISHA KAMPENI YA HUDUMA YA UZAZI WA MPANGO

 Mkurugenzi kinga na elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Fadhil Mohammed Abdalla akizungumza na wandishi wa Habari kuhusu kampeni ya wiki moja ya kuhamasisha utumiaji wa huduma za uzazi wa mpango itakayoanza kesho tarehe 11 Kivunge Mkoa Kaskazini “A” Unguja, (kushoto) Afisa muhamasishaji kitengo shirikishi Afya ya Uzazi na Mtoto Wizara ya Afya Zanzibar Kasim Issa Kirobo. Wandishi wa Habari kutoka vyombo tofauti wakisikiliza tarifa juu ya kampeni ya wiki moja ya kuhamasisha utumiaji wa huduma za...

 

4 years ago

Mwananchi

Wanaume ni vizingiti kwa wanawake katika uzazi wa mpango

Baadhi ya wanawake wanaamini kwamba wakitumia njia za kisasa wanaweza kuharibu maumbile yao ya mwili ya asilia pamoja na kupata ulemavu.

 

12 months ago

Michuzi

WATANZANIA WATAKIWA KUJIUNGA NA MPANGO WA BIMA YA AFYA


WATANZANIA wametakiwa kujiunga na mpango wa bima a Afya ili waweze kunufaika na huduma za matibabu ya uhakika wakati wanapokuwa wakiugua na hivyo kuwapunguzia mzigo wa kuingia gharama kubwa.

Hayo yalisemwa leo na Afisa Masoko na Elimu kwa Umma wa Mfuko wa Taifa ya Bima ya Afya (NHIF) Makao Makuu Hawa Duguza wakati akizungumza kwenye viwanja vya Mwahako Jijini Tanga kunakoendelea maonyesho ya biashara ya kimataifa.

Licha ya mfuko huo kutoa elimu juu ya umuhimu wa mpango wa bima lakini...

 

2 years ago

Dewji Blog

Naibu Waziri wa Afya Mahmoud azindua kampeni za Uzazi wa mpango Zanzibar

Zaidi ya akinamama 236 kati ya laki moja wanaofika hospitali na vituo vya afya kujifungua Zanzibar wanafariki kila mwaka kutokana na sababu mbali mbali zikiwemo kuacha kutumia huduma za uzazi wa mpango.

Kutokana na tatizo hilo Wizara ya Afya imeanzisha kampeni maalum ya wiki moja ya kuwahamasisha akina mama na akinababa kujiunga na uzazi wa mpango katika juhudi za kuokoa maisha ya wazazi na watoto.

Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo alizindua kampeni hiyo katika kijiji cha Mkwajuni Wilaya...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani