Wanawake washauriwa kuendeleza ujuzi wao huku wakizingatia majukumu ya familia zao

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB, mkoani Mwanza wakitoa msaada kwenye Kituo cha Afya cha Buzuruga wodi ya Mama na Watoto-Mwanza ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Mama Duniani.

WANAWAKE nchini wameshauriwa kutokata tamaa kufanyia kazi taaluma walizonazo huku wakizihudumia familia zao kwa mujibu wa majukumu yao nyumbani.
Ushauri huo umetolewa jana jijini Dar es Salaam na Mkuu wa Idara ya Huduma kwa Wateja wa Benki ya NMB, Abella Tarimo katika mjadaLa ulioandaliwa na benki hiyo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

WANAUME WAASWA KUACHA TABIA YA KUWANYANYASA WANAWAKE NA KUWAACHIA MAJUKUMU YA KUZIHUDUMIA FAMILIA ZAO.


Na Rhoda Ezekiel Kigoma

KATIKA kuelekea siku ya Wanawake Duniani, Baafha ya Wanawake Mkoani Kigoma Wamewaomba Wanaume Mkoani humo kuacha tabia ya kuwanyanyasa wanawake kwa kuwaachia majukumu ya kuzihudumia familia zao, hali inayosababisha Watoto wengi kukosa elimu na wanawake kushindwa kufikia Malengo yao ya kujikomboa na umasikini.

Akizungumza na Globu ya Jamii ofisini kwake jana, katibu wa umoja wa Wanawake Mkoani Kigoma , Salome Luhinguranya alisema kumekuwa na tabia ya Wanaume...

 

2 years ago

Mwananchi

Wanawake wasimame kwenye nafasi zao katika familia

Kama kuna jambo la hatari na linaloweza kuangamiza ya mwanadamu hasa mwanamke ni uvivu.

 

4 years ago

Michuzi

Vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela washauriwa kutumia ujuzi kujiajiri

 Mwezeshaji kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Ester Riwa wa pili kulia akizungumza na Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya ya Kyela Dr. Festo Dugange jana wakati wa ziara ya kuhamasisha vijana wa Kyela. Wa kwanza kulia ni Afisa Maendeleo ya Vijana Bi. Amina Sanga, wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Kituo cha Vijana Sasanda Mbeya Bw. Laurean Masele na wa pili kushoto ni Afisa Vijana Mkoa wa Mbeya Bw. George Mbijima. Afisa Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo...

 

3 years ago

Michuzi

Vijana nchini washauriwa kujiunga na mashirika ya kujitolea ili wajiongezee ujuzi na maarifa

Vijana nchini Tanzania wameshauriwa kuwa tayari kufanya kazi kwa kujitolea ili kujiongezea ujuzi, uwezo, maarifa na kuleta mabadiliko katika jamii zao,hayo yalielezwa na Meneja wa Maendeleo ya Vijana wa shirika la Raleigh Tanzania, Genos Martin wakati wa mahojiano maalum na mwandishi wa habari hii.Martin alisema kuwa ni vyema kwa vijana kujiunga na mashirika ya kitaifa na ya kimataifa ya kujitolea kwani kwa kufanya hivyo kutawapa vijana fursa ya kuongeza ujuzi na maarifa ambao utawasaidia...

 

4 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA MGODI WA BUZWAGI WASHEREKEA SIKU YA FAMILIA NA FAMILIA ZAO.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii aliyekuwa Kahama.BUZWAGI imeanzisha mkakati wa kukuza na kuboresha hali ya utendaji kazi kwa wafanyakazi wake kwa kuanzisha utaratibu wa kuwakutanisha wafanyakazi wa mgodi huo na familia zao mara moja kwa mwaka katika siku maalumu ya familia ambayo hutoa fursa kwa familia za wafanyakazi wa mgodi huo kuweza kujionea namna ambavyo shughuli za uchimbaji wa madini hufanyika na hivyo kuwa mabalozi wazuri wa kampuni kwa ujumla.
Mwaka huu wafanyakazi wa kampuni...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MALINZI AWATAKA MAKOCHA WATUMIE UJUZI WAO

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amewataka makocha wa mpira wa miguu wafanyie kazi kwa vitendo mafunzo wanayopata badala ya kuweka makabatini maarifa waliyopata.
Akifunga rasmi mafunzo ya wiki mbili ya makocha wa mpira wa miguu ya Leseni B inayotambuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) jijini Dar es Salaam leo (Juni 20 mwaka huu), Rais Malinzi amewataka makocha hao kuwapa mafunzo ya awali (basic) walimu wa shule za msingi kwa vile TFF ina...

 

2 years ago

Habarileo

CUF washauriwa kumaliza tofauti zao

VIONGOZI wakuu wa Chama cha Wananchi (Cuf), wameshauriwa kukaa pamoja kwa ajili ya kumaliza tofauti zao kwa maslahi ya chama chao.

 

3 years ago

Michuzi

NGOs nchini zatakiwa kutekeleza majukumu yaliyo ndani ya usajili wao

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, imeyataka Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) kutekeleza majukumu yaliyo ndani ya usajili wao na kuepuka vitendo vya uvunjifu wa sheria.
Hayo yamesemwa na Marcel Katemba ambaye ni Msajili wa Mashirika hayo, kufuatia tuhuma za kuwepo kwa baadhi ya NGOs zinazojihusisha na kuhamasisha vitendo vya ushoga nchini.
"Siku za hivi karibuni kumekuwepo na tuhuma za kuwepo kwa baadhi ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) yanayojihusisha na...

 

4 years ago

Michuzi

Wastaafu watakiwa kushirikiana kwa karibu katika kutumia ujuzi na Taaluma zao za muda mrefu

Katibu wa Jumuiya ya Wafanyakazi wastaafu Pemba Bwana Majid Moh’d akimkabidhi risala Mkamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kwenye hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya Jumuiya hiyo hapo ukumbi wa Tasaf Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Chake chake Pemba. Baadhi ya Wajumbne wa Bodi ya Wadhamini ya Jumuiya ya Wafanyakazi Wastaafu Pemba akifutilia Hotuba ya Balozi Seif hayupo pichani wakati akiizindua rasmi. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani