WANAWAKE WASHIRIKI KUJENGA WODI YA MAMA NA MTOTO CHEMBA


Wanawake washiriki kujenga Wodi ya mama na mtoto - Chemba
Wanawake wa Kata ya Songolo, katika Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma wamejitoa katika ujenzi wa jengo la Mama na Mtoto lililojengwa katika kituo cha afya cha Hamai kilichopo katika Wilaya hiyo kwa lengo la kuchangia nguvukazi ili kupunguza changamoto za kutembea muda mrefu kutafuta huduma za afya.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi wa kituo hicho Bw. Saidi Msigwa mbele ya timu ya ukaguzi wa ujenzi wa vituo vya afya katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

AKINA MAMA,MBUNGE AZZA WASHIRIKI UJENZI WODI YA WAZAZI NA MTOTO KITUO CHA AFYA TINDE

Akina mama zaidi ya 200 wa kijiji cha Jomu kata ya Tinde mkoani Shinyanga wakiongozwa na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mheshimiwa Azza Hamad Hilal (CCM) wameadhimisha wiki ya Wanawake Duniani kwa kushiriki ujenzi wa jengo la wodi ya wazazi na watoto katika kituo cha afya Tinde kwa kujitolea kusomba maji.
Akina mama hao wamejitolea kusomba maji kutoka katika bwawa la Tinde hadi katika kituo hicho cha afya leo Jumatatu Machi 5,2018 siku ambayo mafundi ujenzi wamemwaga jamvi katika...

 

1 year ago

Malunde

AKINA MAMA WAKIONGOZWA NA MBUNGE AZZA WASHIRIKI UJENZI WA WODI YA WAZAZI NA MTOTO KITUO CHA AFYA TINDE


Akina mama zaidi ya 200 wa kijiji cha Jomu kata ya Tinde mkoani Shinyanga wakiongozwa na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mheshimiwa Azza Hamad Hilal (CCM) wameadhimisha wiki ya Wanawake Duniani kwa kushiriki ujenzi  wa jengo la wodi ya wazazi na watoto katika kituo cha afya Tinde kwa kujitolea kusomba maji.

Akina mama hao wamejitolea kusomba maji kutoka katika bwawa la Tinde hadi katika kituo hicho cha afya leo Jumatatu Machi 5,2018 siku ambayo mafundi ujenzi wamemwaga jamvi katika...

 

11 months ago

Michuzi

DC CHEMBA AWASHAURI WANAWAKE KUSHIRIKI SHUGHULI ZA KUJENGA UCHUMI, UJASIRIAMALI

Na Shani Amanzi-Chemba.
MKUU wa Wilaya ya Chemba Simon Odunga amewataka wanawake washiriki  kikamilifu katika shughuli za kiuchumi ukiwamo ujasiriamali  hasa kwa kuzingatia sehemu kubwa ya viwanda vidogovidogo vinaajiri wakina mama hasa Viwanda vya shughuli za mikono.
Odunga ametoa kauli hiyo leo wilayani hapo ambapo amesema shughuli ndogondogo za kiuchimi zinampa faida kubwa mhusika hasa akiwa mbunifu mzuri  na Serikali ya Awamu ya Tano chini ya uongozi wa Rais Dk. John Magufuli unaendelea...

 

3 years ago

Michuzi

PANAFRICAN ENERGY YAFADHILI UJENZI WA WODI YA ‘MAMA NGONJEA’ HOSPITALI YA WILAYA KINYONGA KILWA KIVINJE NA KUKARABATI WODI ZA UZAZI NA CHUMBA MAALUM CHA UANGALIZI WA AKINA MAMA

Meneja Uwajibikaji kwa jamii kutoka Kampuni ya PanAfrican Energy Andrew  Kangashaki  (kushoto ) na Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilwa Twalib Mbasha wakikabidhiana mkataba wa miradi  ya ujenzi wa nyumba ya mama ngojea  katika hospital ya Kinyonga  na ukarabati wa wodi  ya uzazi  mara baada ya kumaliza kusaini mikataba hiyo katika hafla fupi iliyofanyika jana Kilwa Kivinje.Meneja Uwajibikaji kwa jamii kutoka Kampuni ya PanAfrican Energy Andrew  Kangashaki(wa tatu kushoto) pamoja na Mkurugenzi...

 

5 years ago

Habarileo

JK aahidi kuisukuma NHC kujenga nyumba Chemba lakini

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete ameiagiza Halmashauri ya Chemba kutoa ardhi kwa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ili liweze kujenga nyumba kwa ajili ya watumishi wa halmashauri hiyo.

 

3 years ago

Ippmedia

Mama Salma Kikwete azitaka Taasisi kusaidia wanawake ili kujenga Taifa lenye usawa wa kijinsia.

Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendelea WAMA Mama Salma Kikwete amezitaka Taasisi na wadau mbalimbali kuendelea kusaidia wanawake hasa kuwapa elimu ili kujenga Taifa lenye usawa wa kijinsia katika ngazi za kielemu, kisiasa na hata kiuchumi

Day n Time: Alhamisi Saa 2:00 UsikuStation: ITV

 

5 years ago

Mwananchi

Wajumbe wanawake wasisitiza haki ya mama na mtoto

Mtandao wa Wanawake na Katiba kwa kushirikiana na asasi takribani 50 za kiraia zinazotetea haki za binadamu, umeendesha semina maalumu ya uchambuzi yakinifu wa Rasimu ya Pili ya Katiba inayotarajiwa kuanza kujadiliwa bungeni hivi karibuni.

 

4 years ago

Habarileo

Uholanzi kujenga wodi ya kisasa ya akinamama

BALOZI wa Uholanzi nchini, Jaap Fredriks amesema utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa wodi ya kisasa ya kutoa huduma kwa akinamama wajawazito itasaidia kupunguza vifo na kuona akinamama wanajifungua salama.

 

4 years ago

Dewji Blog

Zanzibar kujenga wodi maalumu ya watoto

558

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimpa pole Mtoto mgonjwa Nasrya Kombo aliyelazwa Hospitali kuu ya Mnazi mmoja baada ya kuungua kiwa moto. Pembeni kwa Balozi Seif ni Muuguzi wa Zamu katika Hopitali kuu ya Mnazi Mmoja wodi ya Watoto Bibi Mary Jadi.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba Serikal  ya Mapinduzi ya Zanzibar ina nia ya kutaka kujenga Wodi  maalum kwa ajili ya  kulazwa watoto wadogo wanaopatwa na majanga  mbali mbali ya...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani