WAPINZANI MADAGASCAR WATAKA KURA ZA UCHAGUZI WA URAIS ZIHESABIWE TENA

Wapinzani Madagascar wataka kura za uchaguzi wa rais zihesabiwe tenaWafuasi wa kambi ya upinzani nchini Madagascar wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo, Antananarivo wakitaka kuhesabiwa tena kura za uchaguzi wa rais uliofanyika hivi karibuni nchini humo.Maandamano hayo yamefanyika siku mbili baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Madagascar kumtangaza Andry Rajoelina kuwa ndiye aliyeshinda uchaguzi wa rais. Waandamanaji hao wamesema kura za uchaguzi wa rais zinapaswa kuhesabiwa tena na kubaini nani mshindi halisi wa uchaguzi huo. Maelfu ya...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Wafuasi wa Clinton wataka kura katika majimbo 3 muhimu zihesabiwe upya kwa mkono

Hillary Clinton anaongoza kwa kura milioni 2 alizopigiwa na wananchi (popular votes) dhidi ya Rais mteule wa Marekani, Donald Trump.

U.S. Democratic presidential candidate Hillary Clinton listens during the Community Forum on Substance Abuse at The Boys and Girls Club of America campaign event in Laconia

Kwa mujibu Cook Political Report, Hillary ana kura milioni 64.2 dhidi ya milioni 62.2 za Trump. Ni mara ya tano sasa mshindi wa kura za nyingi za wanachi anashindwa uchaguzi.

Na sasa wafuasi wa Clinton wanamtaka ayapinge matokeo ya majimbo ya Michigan, Pennsylvania na Wisconsin. Wamepata ripoti kutoka kwa mtaalaam wa computer anayedai kuwa matokeo ya...

 

2 years ago

Channelten

Rais Hayatou aangushwa uchaguzi, Ahmed wa Madagascar amshinda kwa kura nyingi

Screen Shot 2017-03-16 at 7.07.52 PM

Barani Afrika, CAF, hatimaye limepata rais mpya baada ya Ahmed Ahmed kuchaguliwa kwa kishindo na kumuangusha Issa Hayatou, moja ya viongozi wakongwe zaidi waliowahi kuhudumu kwa muda mrefu kwenye taasisi ya soka.

Ahmed amemshinda Hayatou kwa kura 34 kwa 20 katika uchaguzi ambao sasa unamaliza miaka 29 ya utawala wa Hayatou aliyekuwa akiongoza shirikisho hilo la mpira barani Afrika toka mwaka 1988.

Ahmed, mwenye umri wa miaka 57 na baba wa watoto wawili, amekuwa kwa muda akifundisha soka na...

 

3 years ago

Mtanzania

Lowassa ataka Kura zihesabiwe kwa mikono

Pg 2NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

MGOMBEA urais wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kusitisha kuhesabu kura kwa kutumia Teknolojia ya Tehama na badala yake zihesabiwe kwa mikono.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Lowassa alisema jaridhishwi na mwenendo wa matokeo ya kura za urais unavyotolewa na kueleza kuwa ukusanyaji huo wa matokeo umekuwa...

 

3 years ago

Mtanzania

Bongo yu tayari kura zihesabiwe upya Gabon

RAIS wa Gabon, Ali Bongo

RAIS wa Gabon, Ali Bongo

LIBREVILLE, GABON

RAIS wa Gabon, Ali Bongo, amedai yu tayari kutii uamuzi wa Mahakama ya Kikatiba iwapo itaagiza kura za uchaguzi mkuu uliofanyika wiki mbili zilizopita zihesabiwe upya.

Waangalizi wa kimataifa wamesema kulikuwa na kasoro nyingi kwenye matokeo ya uchaguzi yaliyotangazwa, ambayo yalimpa Bongo ushindi mwembamba.

Kwenye mahojiano na kituo cha redio cha Ufaransa, Bongo alisema sheria za nchi yake haziruhusu kura zihesabiwe tena, lakini atakubali hilo...

 

3 years ago

Global Publishers

Rais Bongo Akukubali Kura zihesabiwe Upya Gabon

chk_captchaGabon:

Rais wa Gabon, Ali Bongo, amesema yuko tayari kutii uamuzi wa Mahakama ya Kikatiba iwapo mahakama hiyo itaagiza kura za uchaguzi mkuu uliofanyika wiki mbili zilizopita zihesabiwe upya.

Waangalizi wa kimataifa wamesema kuna kasoro nyingi kwenye matokeo ya uchaguzi yaliyotangazwa, ambayo yalimpa Bw Bongo ushindi mwembamba.

Kwenye mahojiano na kituo cha redio cha Ufaransa, Bw Bongo amesema sheria za nchi zake haziruhusu kura zihesabiwe tena.

Hata hivyo, alisema atakubali hilo iwapo...

 

4 years ago

GPL

WALEMAVU WATAKA HAKI YA KUSHIRIKI KURA YA MAONI NA UCHAGUZI MKUU

Katibu Mtendaji wa Iclusive Development Promoters& Consultants (IDPC) Kaganzi Rutachwamagyo (kulia) mwenyekiti SHIVYAWATA, Amoni Mpanju na  Mwenyekiti umoja wa watu wenye ulemavu, Zanzibar Ali Makame. Mtoa mada kaganzi akichokoza mada.…

 

3 years ago

BBCSwahili

Bongo kukubali kura zihesabiwe upya Gabon, mahakama ikiagiza

Rais wa Gabon, Ali Bongo, amesema yuko tayari kutii uamuzi wa Mahakama ya Kikatiba iwapo mahakama hiyo itaagiza kura za uchaguzi mkuu uliofanyika wiki mbili zilizopita zihesabiwe upya.

 

2 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa urais Somalia waahirishwa tena

Uchaguzi wa urais nchini Somalia, ambao ulikuwa umeahirishwa kwa mara mbili awali, umeahirishwa tena kwa muda usiojulikana.

 

1 year ago

BBCSwahili

Somaliland yapiga kura katika uchaguzi wa urais

Shughuli ya kupiga kura imeanza katika Jamhuri iliojitangaza ya Somaliland katika uchaguzi wa urais.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani