WASANII WA TIGO FIESTA WATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI NGANZA JIJINI MWANZA NA KUTOA ELIMU YA KUJITAMBUA


Msanii Ommy Dimpoz akipamtia zawadi ya pesa taslimu ya shilingi 50,000/-mwanafunzi bora wa kidato cha sita wa shule ya sekondari Nganza jijini Mwanza, Glory Wilfred wakati wasanii wa Tigo Fiesta walipotembelea shule hiyo juzi kwenye programu ya kuelimisha wanafunzi msimu huu wa Tigo Fiesta ijulikanayo kama ‘Kipepeo’. Msanii Alli Kiba akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari Nganza iliyopo Mwanza juzi kwenye programu ya kuelimisha wanafunzi msimu huu wa Tigo Fiesta ijulikanayo...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

12 months ago

Malunde

WASANII WATAKAOKIWASHA TIGO FIESTA JIJINI MWANZA WATEMBELEA DUKA LA TIGO


Wasanii walio katika list ya watumbuizaji wa Fiesta jijini Mwanza wakishuka kwenye gari kuingia katika duka la Tigo Jijini Mwanza leo mchana.  Mteja wa mtandao wa Tigo Edith Shekifu, akipokea zawadi kutoka kwa msanii wa hip hop Fareed Kubanda(Fid Q) ndani ya duka la Tigo eneo la Samaki barabara ya Stesheni jijini Mwanza.  Mteja wa mtandao wa Tigo Kilinga James, akipokea zawadi kutoka kwa msanii wa hip hop Fareed Kubanda(Fid Q) ndani ya duka la Tigo eneo la Samaki barabara ya Stesheni jijini...

 

11 months ago

Malunde

WASANII WA TIGO FIESTA WATEMBELEA DUKA LA TIGO IRINGAMsanii Madee akisalimiana na mtoa huduma wa Tigo mara baada ya kuwasili dukani hapo.

Wasanii wakisalimiana na watoa huduma wa Tigo Iringa.

Wasanii wakiwa kwenye picha ya pamoja duka la Tigo Iringa

 

2 years ago

Michuzi

Vodacom yadhamini michezo shule ya sekondari Nganza

 Mkuu wa Vodacom Kanda ya Ziwa, Domician Mkama akigawa Fulana za Vodacom kwa wanafunzi wa Nganza Sekondari katika Tamasha la michezo la shule hiyo waalilolidhamini jijini Mwanza jan. Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari Nganza ya jijini Mwanza, Christopher Gachuma akizungumza na wanafunzi wa shule hiyo jana kwenye tamasha la michezo lililodhaminiwa na Vodacom lililofanyika katika uwanja wa shule hiyo. Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nganza ya jijini Mwanza wakifatilia michezo iliyokuwa...

 

12 months ago

Malunde

MSHINDI WA TIGO FIESTA SUPA NYOTA 2017 APATIKANA JIJINI MWANZA


Mshindi wa Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 toka Mwanza, Fatuma Msafiri akiimba wakati wa kumtafuta mkali wa kipaji cha kuimba jijini Mwanza  Msanii Chipukizi Lusinde Michael a.k.a Real Da Best akionesha umahiri wake wa kufoka foka kwenye mchuano wa kusaka kipaji cha Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 jijini Mwanza Top 2 wakisubiri kutajwa kwa mshindi kati yao.  Majaji wakijadiliana jambo. Wasanii walioingia Top 4 wakisubiri mchujo wa kuingia top 2. 
Mshindi wa Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 kutoka Mwanza...

 

4 years ago

Dewji Blog

Tigo kusaidia mpango wa kujenga na kutoa vifaa kwa maabara ya shule za sekondari wilayani Mtwara

A

Meneja wa Tigo kanda ya kusini, Bw.Daniel Mainoya (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu harambee inayojulikana kama Tigo Mtwara Benefit Gala kwa ajili ya ujenzi wa maabara katika wilaya ya Mtwara, kushoto kwake ni mkuu wa wilaya hiyo,Bw. Wilman Ndile na kulia ni Meneja maendeleo ya bishara kampuni ya 361 Degrees,Hamis Omary.

Tigo Tanzania leo imetangaza kwamba itasaidia kujenga na kuchangia vifaa katika maabara ya shule za sekondari ambazo zimekwisha jengwa wilayani Mtwara....

 

4 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO, Dr. SHUKURU KAWAMBWA, AIPONGEZA SHULE YA SEKONDARI " IMPERIAL" KWA JINSI ILIVYO JIPANGA KUTOA ELIMU BORA.

Waziri wa Elimu na Mafunzo, Dr. Shukuru Kawambwa, jana Tarehe 7 July-2014, alitembelea maenesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (TANTRADE) , yajulikanayo kama maonesho ya Saba Saba, na kutembelea Banda la Shule ya Sekondari Imperial, Dr. Kawambwa ametoa pongezi kwa uongozi na waalimu wa Shule ya Sekondari Imperial, kwa Jinsi ilivyojipanga kuhakikisha inatoa Elimu Bora Nchini, inayokidhi viwango vya Kimataifa, kwa gharama nafuu.
Shule ya Sekondari Imperial, iko Msolwa-Chalinze.
Shule imejengwa...

 

4 years ago

GPL

WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO AIPONGEZA SHULE YA SEKONDARI 'IMPERIAL' KWA JINSI ILIVYO JIPANGA KUTOA ELIMU BORA‏

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi , Dr. Shukuru Kawambwa akipokelewa na Mabalozi wa shule ya sekondari ya Imperial wakati alipowasili kwenye banda la shule hyo jana na kupata maelezo mbalimbali kutoka kwa Mkuu wa shule hiyo na waalimu. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi , Dr. Shukuru Kawambwa akiingia katika banda la shule ya sekondari Imperial.… ...

 

2 years ago

Bongo5

Shule Direct na NMB wajiunga kutoa elimu ya fedha kwa wanafunzi wa sekondari

Miss Tanzania 2004 ambaye pia ni mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Shule Direct, Faraja Kotta Nyalandu akishirikiana na benki ya NMB wamezindua mpango utakaotoa elimu ya fedha kwa wanafunzi wa shule za Sekondari ambao utawasaidia kufikia ndoto zao.

img_9889

Uzinduzi huo umefanyika Jumatano hii kwenye viwanja vya shule ya Sekondari Benjamini Mkapa huku mgeni rasmi akiwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Ajira na Vijana Anthony Mavunde.

Mpango huo utawasaidia wanafunzi kupata elimu...

 

4 years ago

Dewji Blog

Dk. Shukuru Kawambwa aipongeza Shule ya sekondari ” Imperial” kwa jinsi ilivyojipanga kutoa elimu bora

Waziri wa Elimu na Mafunzo, Dr. Shukuru Kawambwa, jana Tarehe 7 July-2014, alitembelea maenesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (TANTRADE) , yajulikanayo kama maonesho ya Saba Saba, na kutembelea Banda la Shule ya Sekondari Imperial, Dr. Kawambwa ametoa pongezi kwa uongozi na waalimu wa Shule ya Sekondari Imperial, kwa Jinsi ilivyojipanga kuhakikisha inatoa Elimu Bora Nchini, inayokidhi viwango vya Kimataifa, kwa gharama nafuu.

Shule ya Sekondari Imperial, iko Msolwa-Chalinze.

Shule imejengwa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani