WASHINDI WA TUZO ZA MO SIMBA 2018

1. GOLIKIPA BORA WA MWAKAA. Aishi Manula - WINNERB. Said Mohamed 'Nduda'C. Emmanuel Elias Mseja
2. BEKI BORA WA MWAKAA. Yusuph MlipiliB. Erasto Nyoni - WINNERC. Shomari Kapombe
3. KIUNGO BORA WA MWAKAA. Jonas MkudeB. James KoteiC. Shiza Kichuya – WINNER
4. MSHAMBULIAJI BORA WA MWAKAA. Emmanuel Okwi - WINNERB. John BoccoC. Shiza Kichuya
5. MCHEZAJI BORA MWANAMKE WA MWAKAA. Rukhia SalumB. Zainabu Rashidi Pazzi - WINNERC. Dotto Makunja
6. MCHEZAJI BORA MDOGO WA MWAKAA. Ally Salim (GK)B. Rashid Juma...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Picha: Hawa ni washindi wa tuzo za EATV 2016, Alikiba akomba tuzo 3

Mwanamuziki Alikiba ndiye msanii aliyejishindia tuzo nyingi katika usiku wa Tuzo za EATV 2016 zilizofanyika Jumamosi hii katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
img_9313
Alikiba akitoa neno la shukrani kwa mashabiki wake

Aidha msanii wa filamu Salim Ahmed aka Gabo Zigamba ameondoka tuzo mbili.

Wasanii ambao walifanya show usiku huo ni pamoja na Darassa, Billnass, Lady Jaydee, Barnaba, Vanessa Mdee, Shetta, Alikiba pamoja na Maurice Kirya.

List ya washindi wote wa EATV Award

1. Kipengele...

 

4 years ago

Dewji Blog

Washindi wa tuzo za TANAPA 2014 wakabidhiwa tuzo Jjjini Mwanza

Meneja Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) , Pascal Shelutete akitoa neno la ukaribisho katika hafla ya utoaji tuzo kwa wanahabari waliofanya vizuri katika uandishi wa masuala ya Uhifadhi.Hafla iliyofanyika katika Hotel ya Gorden Crest jijini Mwanza.  Baadhi ya wageni waalikwa katika hafla hiyo. Mkurugenzi wa Hifadhi za Taifa ,Tanzania (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza katika hafla hiyo juu ya lengo la kuanzishwa kwa tuzo hizo kwa wanahabari nchini. Mkuu wa wa Wilaya ya...

 

4 years ago

Michuzi

WASHINDI WA TUZO ZA TANAPA 2014 WAKABIDHIWA TUZO JIJINI MWANZA

Meneja Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) ,Pascal Shelutete akitoa neno la ukaribisho katika hafla ya utoaji tuzo kwa wanahabari waliofanya vizuri katika uandishi wa masuala ya Uhifadhi.Hafla iliyofanyika katika Hotel ya Gorden Crest jijini Mwanza. 
Mkurugenzi wa Hifadhi za Taifa ,Tanzania (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza katika hafla hiyo juu ya lengo la kuanzishwa kwa tuzo hizo kwa wanahabari nchini.
Mgeni Rasmi katika hafla hiyo,Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu...

 

4 years ago

GPL

WASHINDI WA TUZO ZA KTMA 2015, ALI KIBA AIBUKA NA TUZO TANO, DIAMOND PLATINUMZ MBILI

Staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu 'Beautiful Onyinye' akimtaja mshindi. Joh Makini akiwashukuru mashabiki wake (hawapo pichani) baada ya kuchukua Tuzo ya Mtunzi Bora wa Mwaka wa Hip Hop akiwa na Nikki wa Pili (kushoto). MAJINA YA WASHINDI WA TUZO ZA KTMA 2015 1. KIKUNDI BORA CHA MWAKA - BONGO FLEVA - YAMOTO BAND 2. KIKUNDI…

 

3 years ago

Bongo5

‘Nana’ yaendelea kumletea tuzo Diamond, ashinda tuzo nyingine mbili Uganda (orodha kamili ya washindi)

diamond p

Diamond Platnumz ameendelea kujiongezea idadi ya tuzo alizoshinda baada ya wimbo wa ‘Nana’ kumpa ushindi wa tuzo nyingine mbili weekend iliyopita.

diamond p

Katika tuzo za Hipipo za Uganda zilizotolewa Jumamosi (Jan 30) kwenye hoteli ya Serena jijini Kampala, Diamond ameshinda tuzo ya EAST AFRICA SUPER HIT na EAST AFRICA BEST VIDEO zote kupitia wimbo wake wa NANA.

hipipo

Kupitia mitandao ya kijamii Platnumz aliandika:

“Wow! Realy wanna Thank GOD for keep blessing the innocent kid… also wana thank all Media...

 

3 years ago

MillardAyo

Pichaz 20, za washindi wa tuzo za Africa Magic Viewer’s choice Awards walipopeleka tuzo kwa Makamu wa Rais…

3X6A8355

 March 13 2016 washindi wa tuzo ya  Africa Magic Viewer’s choice Awards 2016, Single Mtambalike na Elizabeth Michael ‘Lulu’  leo waamezipeleka tuzo zao mbili nyumbani kwa Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu. Waigizaji hao ambao kila mmoja alishinda tuzo katika vipengele tofauti ambapo Mwigizaji wa kike Elizabeth Michael (Lulu) alishinda Tuzo ya Best Movie in […]

The post Pichaz 20, za washindi wa tuzo za Africa Magic Viewer’s choice Awards walipopeleka tuzo kwa Makamu wa Rais… appeared first...

 

3 years ago

Global Publishers

Washindi Tuzo za BET

beyonceBeyonce.

BET Awards 2016 Winners

Best Female R&B/Pop Artist?

Beyonce (WINNER)
Adele
Andra Day
K. Michelle
Rihanna

Best Male R&B/Pop Artist
Bryson Tiller (WINNER)
Chris Brown
Jeremih
The Weeknd
Tyrese

Best Group
Drake & Future (WINNER)
2 Chainz & Lil Wayne
Puff Daddy & the Family
Rae Sremmurd
The Internet

Best Collaboration
Rihanna ft. Drake – “Work” (WINNER)
Big Sean ft. Chris Brown & Ty Dolla $ign – “Play No Games”
Big Sean ft. Kanye West & John Legend – “One Man Can Change the...

 

4 years ago

GPL

ORODHA YA WASHINDI WA TUZO ZA GRAMMY

Tuzo za 57 za Grammy zimafanyika Los Angeles usiku wa kuamkia leo iliyopita na wasanii kama Kendrick Lamar alishinda tofauti na mwaka jana ambapo hakuambulia kitu.

Kendrick ameshinda tuzo mbili zikiwa ni Best Rap Song na Best Rap Performance kwa wimbo wake wa “i,”. Beyonce ameshnda tuzo tatu ikiwa ni Best Surround Sound Album na Best R&B Song kupitia “Drunk In Love” ft Jay Z.
Beyoncé akiwa na mume wake Jay Z...

 

5 years ago

Dewji Blog

Washindi wa Tuzo za CNN wapatikana

PIX 1A

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wageni waalikwa (hawako pichani) wakati wa hafla ya kutoa tuzo za waandishi bora Afrika 2014 zilizofanyika siku ya tarehe 18 Oktoba mwaka huu katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, tuzo ambazo zinatolewa na CNN Multi choice.

Na Benedict Liwenga, Maelezo.

TUZO za waandishi bora wa Afrika 2014 zinazotolewa na CNN Multi Choice zimetolewa rasmi siku ya tarehe 18 Oktoba mwaka huu ambapo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani