Wasichana 98 wapata mimba utotoni

ZAIDI ya wasichana 98 walipata mimba za utotoni na wengine kukatishwa masomo kwa kipindi cha mwaka huu, mkoani Kilimanjaro, huku asilimia kubwa wakiwa ni kutoka familia masikini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Channelten

Wasichana 50 Wakatishwa Masomo kwa Mimba za Utotoni

childmarriage1

Jumla ya wasichana 50 waliokatisha masomo kwa sababu ya kupewa mimba na kuolewa wakiwa na umri mdogo kutoka katika halmashauri za Butiama na Musoma vijijini mkoani Mara wamepatiwa mikopo ya shilingi million tano za kitanzania zitakazowasaidia kukuzia mitaji katika biashara zao ikiwa ni sehemu ya mikakati iliyowekwa na chama cha uzazi na malezi bora Tanzania (UMATI) kwaajili ya kuwasaidia kujikwamua kiuchumi na hivyo kuondokana na hali duni ya kimaisha wao na familia zao.

Fedha hizo...

 

5 years ago

Mwananchi

Wasichana 700 wapata mimba, waacha shule

Zaidi ya wasichana 700 wenye umri kati ya miaka 10 na 19 ambao walikatisha masomo kwa sababu ya mimba katika shule za msingi na sekondari Wilaya ya Kahama, wamejitokeza kupatiwa elimu ya uzazi wa mpango na ujasiriamali inayotolewa na Shirika la Kiota Women Health Development (Kiwohede) la Dar es Salaam.

 

2 years ago

Michuzi

KAMPENI YA BINTI WA KITAA YAFIKA WILAYA YA TEMEKE JIJINI DAR, WAKAZI WAPATA ELIMU JUU YA KUZUIA MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI.

 Mkazi wa Mtaa wa Mvomero Tandika Bi. Rauva Maulid akieleza namna akina baba walivyo na tabia ya kuwarubuni mabinti wenye chini ya umri wa miaka 18 na kuwababishia Mimba,na kuongeza kuwa kwa tandika watoto wengi wanapata mimba wakiwa na miaka kuanzia miaka 12. Mkazi wa Mtaa wa Mvomero Said Mgeni akisisitiza kuwa wazazi wanatakiwa kuwa jirani na watoto wao ili waweze kuwa rafiki na kuwaeleza matatizo wanayoyapata kwa sababu kwa kufanya hivyo mabinti watakuwa huru kueleza matatizo mbalimbali...

 

1 year ago

Channelten

Tatizo la mimba shuleni, Wanafunzi 126 wapata mimba miezi tisa iliyopita

pic+kauli

Licha ya serikali kuweka wazi kuwa mwanafunzi anaepata ujauzito hataruhusiwa kuendelea na masomo yake kwenye shule za Umma, bado baadhi ya wanafunzi wa kike wilayani UKEREWE mkoani Mwanza wameendelea kujihusisha na vitendo vya ngono na kuishia kupata ujauzito.

Katika kipindi cha miezi tisa iliyopita, wanafunzi 118 wa shule za sekondari na wanafunzi wanane wa shule za msingi walipata ujauzito, kwenye wilaya hiyo iliyopo mkoani Mwanza ikiundwa na visiwa 38.

Tayari uongozi wa wilaya ya Ukerewe...

 

1 year ago

RFI

Mimba za utotoni

Fuatilia mada juu ya mimba za utotoni nchini Tanzania. Wanaharakati wanazungumza.

 

2 years ago

BBCSwahili

Mimba za utotoni Mtwara

Mkoa wa Mtwara ni moja ya mikoa nchini Tanzania ambako watoto wengi wa kike hukatisha masomo kwa ujauzito.

 

2 years ago

Mtanzania

MIMBA ZA UTOTONI ZAONGEZEKA

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Ummy Mwalimu.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Ummy Mwalimu.

MAULI MUYENJWA-DAR ES SALAAM.

UTAFITI mpya wa afya ya uzazi na mtoto na viashiria vya malaria kwa mwaka 2015 na 2016 umemulika matatizo makubwa yanayoitesa Tanzania.

Utafiti huo uliofanywa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ulizinduliwa jijini Dar es Salaam jana, ambapo moja ya tatizo lililoonekana kuongezeka ni mimba za utotoni.

Kwa mujibu wa utafiti huo, tatizo hilo limeongezeka kutoka asilimia 23 mwaka 2010 hadi...

 

4 years ago

Mwananchi

Machimbo yachangia mimba za utotoni

Kahama. Uwepo wa machimbo mengi ya wachimbaji wadogo wa dhahabu eneo la Bulyanhulu lenye kata za Luguya, Bulyanhulu na Bugalama wilayani hapa, imedaiwa kuwa moja ya sababu inayochangia watoto wengi kukatisha masomo hasa wasichana.

 

4 years ago

Tanzania Daima

Tanzania kinara mimba za utotoni

LICHA ya jitihada za Serikali na wadau wengine wa mitandao ya kijinsia kutoa elimu kwa jamii juu ya athari za mimba za utotoni, Tanzania bado imeendelea kuwa kinara katika tatizo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani