WASIMAMIZI WA UCHAGUZI WATENDE HAKI :TAWLA

Ofisa Uchaguzi na Utawala Bora wa Halmashauri ya Kisarawe, Constantene Mnemere, akizungumza na washiriki wa mdahalo wa amani wakati wa uchaguzi kwa watendaji wa Serikali za Mitaa,Polisi na watumishi wa Halmashauri hiyo jana.Ofisa Habari wa Chama Cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA), Goodness Mrema, akielezea muongozo wa mdahalo wa amani kwa wenyeviti, watendaji wa serikali za mita na Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani jana, wakati wa mdahalo wa kujadili amani wakati wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Vijimambo

TAWLA: WASIMAMIZI WA UCHAGUZI WATENDE HAKI

Ofisa Uchaguzi na Utawala Bora wa Halmashauri ya Kisarawe, Constantene Mnemere, akizungumza na washiriki wa mdahalo wa amani wakati wa uchaguzi kwa watendaji wa Serikali za Mitaa,Polisi na watumishi wa Halmashauri hiyo jana.Ofisa Habari wa Chama Cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA), Goodness Mrema, akielezea muongozo wa mdahalo wa amani kwa wenyeviti, watendaji wa serikali za mita na Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani jana, wakati wa mdahalo wa kujadili amani wakati wa...

 

3 years ago

Dewji Blog

WASIMAMIZI WA UCHAGUZI SINGIDA: Watakiwa kusimamia shughuli zao kwa kuzingatia Haki,Uadilifu na kutopendela chama!

SAM_0215 Mkuu wa wilaya ya Singida,Bwana Saidi Amanzi(aliyesimama) akifungua semina ya siku mbili kwa wasimamizi 42 kutoka jimbo la Singida kaskazini.(Picha  zote  na Jumbe Ismailly).

Na. Jumbe Ismailly

[SINGIDA] MKUU wa Wilaya ya Singida,Saidi Amanzi amewaagiza wasimamizi wa uchaguzi wa wilaya hiyo kuhakikisha wanakwenda kusimamia shughuli za uchaguzi kwa kuzingatia haki,uadilifu,bila upendeleo na kwa kutoegemea upande wowote.

Mkuu wa wilaya huyo alitoa agizo hilo kwenye ufunguzi wa semina ya siku...

 

3 years ago

Dewji Blog

TAWLA yaendesha semina kwa wanahabari kuhusu haki ya afya ya uzazi na changamoto zake

Chama cha Wanasheria Wanawake nchini (TAWLA) kimetoa mafunzo kwa waandishi wa habari yanayolenga kujenga uelewa kwa waandishi wa habari kuhusiana na masuala ya haki ya afya ya uzazi, changamoto wanazokutana nazo na namna ambavyo matumizi ya sheria za kimataifa zitaweza kupunguza chanagamoto hizo.

1

Afisa Uchechemuzi wa Shirika la Wanasheria wanawake la TAWLA Bi. Sime Bateyunga akifungua mafunzo kwa wanahabari hawapo pichani yanayolenga kujenga uelewa kwa waandishi wa habari kuhusiana na...

 

2 years ago

Michuzi

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) YAFANYA USAILI KUWAPATA WARATIBU NA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI MDOGO KATIKA JIMBO LA DIMANI, ZANZIBAR LEO

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Jaji Mstaafu Damiani Lubuva (kushoto) akiongoza kikao cha Wajumbe wa Tume na Sekretarieti cha Usaili wa Waratibu na Wasimamizi Uchaguzi mdogo katika jimbo la Dimani, Zanzibar utakaofanyika Januari 22, 2017. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhan (katikati) akitoa ufafanuzi kwa Wajumbe wa Tume na Sekretarieti ya Tume wakati wa kikao cha Usaili wa Waratibu na Wasimamizi wa Uchaguzi mdogo katika jimbo la...

 

1 year ago

Michuzi

WASIMAMIZI WA UCHAGUZI MDOGO NA VYAMA VYA SIASA WATAKIWA KUSHIRIKIANA ILI KUFANIKISHA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI.

Na Clarence Nanyaro – NEC
Mwenyekeiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Semistocles Kaijage amewataka wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi nchini Kuwashirikisha Viongozi wa Vyama vya siasa katika maamuzi mbalimbali wanayofanya yenye maslahi kwa pande zote ili kuendeleza amani na utulivu ulipo nchini.
Akizungumza na Wasimamizi wa uchaguzi katika Manispaa ya Moshi, Jaji Kaijage alisema kuwa katika kipindi hiki ambapo vyama vinashiriki katika kampeni za Uchaguzi mdogo wa Udiwani...

 

3 years ago

Michuzi

TAWLA YAENDELEZA MIDAHALO YA AMANI KWA WADAU WA UCHAGUZI

Mwanasheria wa Manispaa ya Ilala, Elizabeth Buwimba, akichangia mada ya wajibu wa mwanamke kushiriki kwenye uchaguzi na umuhimu wakufanya hivyo wakati wa mdahalo wa kujadili amani wakati na baada ya uchaguzi, uliofanyika eneo la Pugu jijini Dar es Salaam. Mwanasheria kutoka Chama Cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) Edna Kamaleki, akiwasilisha mada mbalimbali wakati wa mdahalo wa kujadili amani wakati wa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu, kwa watendaji wa serikali za...

 

3 years ago

Mtanzania

Wasimamizi wa uchaguzi wanusurika kifo

NA JANETH MUSHI, ARUSHA

BAADHI ya wasimamizi wa uchaguzi wilayani Meru, Mkoa wa Arusha, wamenusurika kuchomwa moto ndani ya gari lao baada ya kundi la vijana kutilia shaka gari lao wakidhani limebeba kura za wizi.

Tukio hilo lililowashtua wasimamizi hao na kujikuta wakiwa hawana la kufanya mikononi mwa kundi la vijana hao, lilitokea katika Kata ya Embaseni, wilayani hapa juzi, kati ya saa tatu na saa nne asubuhi.

Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo walisema vijana hao walilitilia shaka gari...

 

4 years ago

Mwananchi

Alikuwa akiwafuata wasimamizi wa uchaguzi.

Nahodha wa boti ya doria ya Halmashauri ya Wilaya Geita, Timothi Samson(46) anahofiwa kufa maji baada ya kuzama ndani ya Ziwa Victoria wakati akienda kuwachukua wasimamizi wa uchaguzi wa marudio wa Serikali za Mitaa katika Kisiwa cha Izumacheli.

 

3 years ago

Habarileo

Wasimamizi wa uchaguzi Zanzibar wafundwa

WASIMAMIZI wa uchaguzi wa majimbo wametakiwa kuhakikisha kasoro zote zilizojitokeza katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 zinafanyiwa kazi kwa lengo la kuhakikisha uchaguzi wa marudio wa Machi 20, mwaka huu, unakuwa huru na haki.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani