WATALII ZAIDI YA 340 WATUA NCHINI, NMB WATIA NENO


Watalii kutoka nchini China wakiondoka kwenye dirisha la Benki ya NMB baada ya kubadirisha fedha za kigeni kupitia Benki hiyo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro muda mfupi baada ya watalii Zaidi ya 345 waliowasili nchini kutokea China juzi jioni. Benki ya NMB ni wadau wa ugeni huu na imedhamini mikutano yao wakiwa hapa nchini.

Watalii kutoka nchini China wakiondoka kwenye dirisha la Benki ya NMB baada ya kubadirisha fedha za kigeni kupitia Benki hiyo katika Uwanja wa Ndege wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

GPL

MAASKOFU WATIA NENO BUNGE LA KATIBA

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo . Stori: Mwandishi Wetu, Iringa
MAASKOFU wa Madhehebu ya Kikristo mkoani hapa wamelionya  bunge la katiba na kuwataka wajumbe wake kuzingatia mahitaji ya wananchi wakati wa kuandika katiba mpya. Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex… ...

 

4 years ago

GPL

VIONGOZI WA DINI WATIA NENO PANYA ROAD

Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum. Stori: Gabriel Ng’osha
BAADHI ya viongozi wa dini jijini Dar es Salaam, wametoa neno juu ya vurugu zilizofanywa wiki iliyopita na vijana wanaosadikika kuunda kundi linalojulikana kama Panya Road, Risasi Jumatano lina habari kamili. Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa, aliliambia gazeti hili kuwa ukosefu wa ajira ni sehemu mojawapo inayozalisha makundi ya...

 

3 years ago

Mwananchi

Viongozi wa dini watia neno utendaji wa Magufuli

Viongozi wa dini na waumini wa Kanisa Katoliki wamesema kuwa kasi ya utendaji aliyonayo Rais John Magufuli itasaidia ukuaji wa uchumi wa viwanda.

 

4 years ago

Mwananchi

Waongoza watalii watua mzigo kwa JPM

Chama cha Waongoza Watalii Tanzania (TTGA) kimemuomba Rais John Pombe Magufuli kuingilia kati na kutatua migogoro baina yao na wamiliki wa kampuni za utalii ya kudai maslahi, baada ya baadhi ya tume kushindwa kuipatia ufumbuzi.

 

4 years ago

BBCSwahili

UK: Huenda watalii zaidi wakashambuliwa

Uingereza imeonya kuwa wapiganaji waislamu wanaweza kufanya mashambulio mengine dhidi ya watalii nchini Tunisia.

 

2 years ago

Michuzi

USAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA KARATU WATIA FORA, ZAIDI YA WANANCHI 1200 KUSAJILIWA KWA SIKU

Si kwa idadi hii ya watu iliyofurika katika Wilaya ya Karatu Kata ya Rhotia ambako Usajili wa Wananchi Vitambulisho vya Taifa unaendelea.
Kwa mujibu wa Afisa Usajili Wilaya ya Karatu Bi. Rehema Ngomuo takribani wananchi 1200 wamekuwa wakisajiliwa kwa siku na wengine kushindwa kuwasajili na kulazimika kurejea makwao tayari kwa siku inayofuata bila manung’uniko wala ulalamishi; kutokana na umati mkubwa wa wananchi kufurika kwenye vituo vya Usajili kupata huduma hiyo.
Diwani wa Kata hiyo Bwana...

 

5 years ago

GPL

KUNA KITU ZAIDI YA NENO NAKUPENDA

JAMBO la kufurahisha ni kwamba, ukifungua ukurasa huu, unakuwa na uhakika wa kuongeza kitu kipya katika maisha yako ya uhusiano na mapenzi. Hata kama huna mpenzi kwa sasa, utajiwekea mazingira mazuri ya kupata mwezi sahihi siku zijazo. Unaweza kunisoma pia kwenye Gazeti la Risasi Mchanganyiko  katika safu ya Let’s All About Love, Elimu ya Mapenzi katika Gazeti la Championi Jumamosi na Love & Life kwenye Gazeti la Uwazi kila...

 

5 years ago

GPL

KUNA KITU ZAIDI YA NENO NAKUPENDA-3

MARAFIKI tunaendelea kujifunza zaidi kuhusu maisha ya uhusiano na mapenzi. Leo tunafikia tamati ya mada hii iliyoanza wiki mbili zilizopita.
Tumeshajifunza mengi, kama mtakumbuka wiki iliyopita tulianza kuona nini cha kufanya kwa kuanza na kuchunguza tatizo. Hebu sasa twende kwenye vipengele vilivyosalia. Badilika...
Inawezekana wewe ndiye uliyekosea, yamkini pia ni mwenzi wako ndiye mwenye makosa, vyovyote ilivyo, kikubwa...

 

2 years ago

BBCSwahili

Mti mrefu zaidi Afrika kivutio kipya cha watalii Tanzania

Watalii wamepata kivutio kingine mkoani Kilimanjaro baada ya serikali ya Tanzania kutangaza kuwepo kwa mti mrefu zaidi barani Afrika.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani