Watano waibeba Yanga ikiichapa Ngaya 5-1
Mabao matano yaliyofungwa na nyota watano wa Yanga; Justine Zullu, Simon Msuva, Obrey Chirwa, Amissi Tambwe na Thaban Kamusoko dhidi ya Ngaya FC ya Comoro yameiwezesha kutoa onyo kwa timu zingine itakazokutana nazo kwenye Ligi ya Mabingwa barani Afrika.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
2 years ago
Global Publishers11 Feb
Mabao 26 ya Yanga yawatisha Ngaya
STORI: Elie Djouma | CHAMPIONI | COMORO
KWA rekodi Yanga imecheza na timu mbili za Comoro hadi sasa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika na kuzifunga jumla ya mabao 26 katika mechi mbili za nyumbani na ugenini.
Rekodi hiyo imewatisha wachezaji wa Ngaya Club de Mbe ambao kesho watacheza na Yanga katika Ligi ya Mabingwa Ulaya kwenye Uwanja wa Moroni jijini Moroni.
Hii ni mara ya tatu kwa Yanga kucheza na timu ya Comoro, kwani mwaka 2009 ilicheza na Etoile d’or de Mirontsy na kuifunga jumla ya mabao...
2 years ago
Global Publishers12 Feb
Yanga Waibabua 5 -1 Ngaya ya Comoro
KLABU ya Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 5-1 dhidi ya Klabu ya Ngaya ya Visiwani Comoro.
Magoli ya Yanga yamepachikwa na Zulu dakika 43, Simon Msuva dakika ya 45, Chirwa dakika ya 59, Amis Tambwe dakika ya 65 na Thaaban Kamusoko dakika ya 7. Huku upande wa Ngaya, bao lao la kufutia machozi limepachikwa na Said Khalfan dakika ya 66.
===========
MHIGH LIGTH ZA MCHEZO
MPIRA UMEKISHAAAA
Dk 89, Yanga wanaendelea kushambulia kwa kasi, Chirwa anaingia lakini Mohamed Zahir anamzuia...
2 years ago
BBCSwahili
Yanga na Ngaya kukipiga Dar-Es-Salaam
2 years ago
MichuziYANGA VS NGAYA NI BUKU TATU TU, KUWAKOSA WACHEZAJI WATATU
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umetangaza viingilio vya mechi yao marudiano dhidi ya Ngaya unaotarajiwa kufanyika wikiendi hii.
Akizungumnzia viingilio hivyo, Afisa Masoko wa klabu hiyo, Omar Kaaya amesema kiingilio cha chini kitakuwa ni shiilingi 3000 kwa majukwaa ya mzunguko na viti vya machungwa, VIP A ni Tsh 20,000, VIP B ni Tsh 10,000 na VIP C itakuwa Tsh 10,000.
Kaaya amewataka mashabiki wa Yanga kuja kwa wingi uwanjani ili kuishan gilia timu yao na...
2 years ago
Michuzi
2 years ago
Michuzi
WAAMUZI TOKA UGANDA KUCHEZESHA MCHEZO WA YANGA VS NGAYA JUMAMOSI

Na Zainab Nyamka, Globu
Mchezo wa marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Young Africans ya Tanzania na Ngaya ya Comoro hatua ya awali utachezeshwa na Waamuzi kutoka Uganda.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), waamuzi hao ni Alex Muhabi Nsulumbi atakapuliza filimbi uwanjani.
Nsulumbi atasaidiwa na Ronald Kakenya na Lee Okello wakati Mwamuzi wa Akiba atakuwa Brian Nsubuga Miro huku Kamishna akitokea Afrika Kusini ambaye ni Monnyenyone...
2 years ago
MichuziTIMU YA NGAYA YA COMORO YAWASILI NCHINI KUMENYANA NA YANGA JUMAMOSI UWANJA WA TAIFA
Na Dotto Mwaibale
KIKOSI cha Timu ya Ngaya kutoka nchini Comoro kimewasili nchini kwa ajili ya mechi ya marudiano dhidi ya Yanga katika dimba litakalofanyika kesho kutwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Timu hiyo imewasili leo saa saba na nusu mchana kwa ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATC), huku ikiwa imeongozana na baadhi ya viongozi wake.
Mara baada ya kuwasili timu hiyo ilipokelewa na wananchi wa nchi hiyo wanaoishi hapa nchini hata hivyo viongozi wa timu hiyo hawakuwa tayari...
2 years ago
Michuzi
YANGA MWENDO MDUNDO KIMATAIFA, YATOKA SARE YA BAO 1-1 NA NGAYA FC YA COMORO LEO




2 years ago
MillardAyo12 Feb
VIDEO: Kutoka Comoro hii ni rekodi inayoifanya Yanga isiichukulie pouwa Ngaya Club
Jumapili ya February 12 2017 Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu soka Tanzania bara Dar es Salaam Young Africans watarudi uwanjani kuanza harakati zao za kuwania taji la Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kucheza dhidi ya N’gaya Club ya Comoro. Yanga watachezaji Comoro katika mji wa Moron ambapo mwaka huu Yanga wamethibitisha kuja wakiwa makini zaidi […]
The post VIDEO: Kutoka Comoro hii ni rekodi inayoifanya Yanga isiichukulie pouwa Ngaya Club appeared first on millardayo.com.