WATANZANIA TUSIKUBALI KUCHONGANISHWA-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wasikubali kuchonganishwa na kwamba Serikali haiongozwi kwa misingi ya kidini bali imeziachia taasisi za kidini zifanye kazi kwa kuzingatia Katiba , Sheria za nchi na malengo yaliyokusudiwa katika uanzishwaji wake. 
Aliyasema hayo jana jioni (Jumamosi, Juni 9, 2018) alipozungumza na viongozi na wananchi wa Mkoa wa Mwanza baada ya kushirikiana nao katika futari aliyowaandalia. Shughuli hiyo ilihudhuriwa na waumini wa dini ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Lowassa: Watanzania tusikubali kugawanywa 2018

Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Edward Lowassa, ametuma salamu za mwaka mpya kwa Watanzania, akiwasihi kuwa, wakati wanaposherehekea mwaka mpya wasikubali kugawanywa.

Mhe. Lowassa ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema kuwa amani na mshikamano nndio nguzo muhimu kwa Watanzania.

“Tunapouanza mwaka huu mpya, niwaombe watanzania wenzangu tukatae kugawanywa kwa sababu yoyote ile.
Umoja na mshikamano ndio nguzo...

 

3 years ago

CCM Blog

MABALOZI WA NYUMBA KUMI WAJIUZURU CHAMAZI KUKWEPA KUCHONGANISHWA NA WANANCHI.

MOHAMMED GOMBELANa Nassir Bakari
WAJUMBE wawili wa nyumba kumi katika mtaa wa Msufini, Chamazi, Dar es Salaam, Mohammed Gombela na Biti Mzee, wamejiuzuru nyadhifa zao, kutokana na madai ya kukataa kuchonganishwa na wananchi kuhusu suala la ulinzi shirikishi.

Akizungumza jana, Gombela ambaye ni mjumbe wa shina namba 41,  alisema wameamua kujiuzuru kutokana na Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wao Salum Msoma, kuwataka wale nae njama za kuandika majina ya wananchi ambao hawashiriki ulinzi huo kisha...

 

3 years ago

Raia Mwema

Tusikubali kuzalisha ‘manamba’

WIKI iliyopita, Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) lilitangaza matokeo ya mitihani ya Kidato cha

Mwandishi Wetu

 

3 years ago

Michuzi

TUMEDHAMIRIA KUWATUMIKIA WATANZANIA - MAJALIWA

WAZIRI MKUU Majaliwa Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano imedhamiria kuhakikisha kila kinachokusanywa kama mapato ya nchi kinatumika kwa maslahi ya Watanzania wote na si kwa manufaa ya wachache.
Ametoa kauli hiyo leo mchana (Jumapili, Novemba 29, 2015) wakati akifunga maadhimisho ya miaka 20 ya Dayosisi ya Pwani ya Kanisa la African Inland Church Tanzania (AICT) kwenye ukumbi wa PTA, viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
“Serikali imeanza kukabiliana na upotevu wa...

 

3 years ago

Mtanzania

….Watanzania tuombeeni Mungu-Majaliwa

Kassim+PHOTONa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

WAZIRI Mkuu Majaliwa Kassim, amewataka Watanzania wamuombee kwa Mungu yeye pamoja na Serikali ya awamu ya tano chini Rais Dk. John Maugufuli, ili waweze kufanyakazi ya ukusanyaji wa mapato yatakayowanufaisha watu wote.

Majaliwa amesema watu wanaoamini kwamba hawawezi kufanyakazi kwa ajili ya kuliokoa Taifa waondoe dhana hiyo, kwani Serikali ya awamu ya tano imedhamiria kuhakikisha kila kinachokusanywa kama mapato ya nchi kinatumika kwa masilahi ya Watanzania...

 

3 years ago

Habarileo

Majaliwa: Watanzania iombeeni Serikali

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wazidi kuiombea Serikali kwani kazi ya kutumbua majipu ina mitihani mikubwa. “Tulikuwa hatufikii lengo kutokana na kuwa na wafanyakazi serikalini ambao walikuwa wanatorosha mali za serikali, lakini hao ndio tunakufa nao,” alisema Majaliwa na kuongeza kuwa serikali imekuwa ikifuata sheria na utaratibu pasipo kumuonea yeyote wakati wa utumbuaji majipu hayo.

 

5 years ago

Mwananchi

Tusikubali kuipoteza michezo yetu ya jadi

Kutokana na umuhimu wa michezo kwa jamii katika kila kipindi cha historia ya binadamu, Watanzania nao pia walikuwa wakishiriki katika michezo mbalimbali katika makabila yao.

 

3 years ago

Dewji Blog

Majaliwa akutana na Watanzania waishio Botswana

IMGS9221

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza na Watanzania waishio Botswana baada ya kuhudhuria mkutano wa SADC mjini Gaborone Januari 18, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGS9227

Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania waishio Botswana  baada ya kuhudhuria mkuatano wa SADC mjini Gaborone Januari 18, 2016.

IMGS9247

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Watanzania waishio Botswana baada ya kuhudhuria mkutano wa SADC mjini Gaborone Januari 18, 2016. (Picha na Ofisi...

 

2 years ago

Michuzi

WATANZANIA KUACHANA NA NGUO ZA MITUMBA - MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema safari ya Watanzania kuachana na nguo za mitumba imewadia kutokana na uwepo wa viwanda vya kutengeneza nguo nchini.
Pia amesema uwepo wa viwanda hivyo utasaidia wakulima wa pamba kupata soko la uhakika hivyo amewataka walime pamba ya kutosha ili viwanda vipate malighafi.
Waziri Mkuu alitoa kauli hiyo  jana (Jumamosi, Julai 15, 2017) wakati alipotembelea kiwanda cha nyuzi cha Namera kilichoko Gongo la Mboto na kiwanda cha nguo cha Nida kilichopo Ubungo Dar Es...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani