Watanzania waombwa kumwombea Rais Magufuli

WATANZANIA wameombwa kumwombea Rais John Magufuli na Serikali yake ya Awamu ya Tano, ambayo inafanya jitihada kubwa za kuondoa kero mbalimbali za wananchi. Rai hiyo imetolewa na Mbunge wa Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyani , maarufu kama ‘Profesa Maji Marefu’.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

ASKOFU DR MDEGELLA ATAKA WATANZANIA KUMWOMBEA RAIS DR MAGUFULI KWA KAZI NZURI


Askofu wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT( Dayosisi ya Iringa Dr OwdenBurg Mdegella akimpa baraka ya Christmas mtoto Monica Kasesela huku babake mkuu wa wilaya ya Iringa Bw Richard Kasesela na binti yake Cathelin Kasesela wakishuhudia baada ya kumalizika kwa ibada ya pili katika usharika wa kanisa kuu

Askofu Dr Mdegela akitoa baraka

Mwalimu wa kwaya ya vijana katika kanisa kuu Bw Lupyana Samweli akipokea baraka za Christmas kutoka kwa askofu wa kanisa...

 

10 months ago

Michuzi

Viongozi wa Dini Watangaza Siku Saba za Kumwombea Rais Magufuli

Na Jonas Kamaleki- MAELEZOViongozi wa dini wametangaza maombi ya siku saba nchi nzima kumwombea Rais John Pombe Magufuli ili aendelee na juhudi zake za kulinda raslimali za watanzania kwa manufaa ya Taifa kwa ujumla.

Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam katika mahojiano maalum na Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Maadili, Amani na Haki za Binadamu kwa jamii ya dini zote, Askofu William Mwamalanga kwa niaba ya viongozi wa dini.

“Tumeamua kufanya maombi ya siku saba kwa kumtaka kila...

 

2 years ago

Michuzi

MAOMBI MAALUM YA KUMWOMBEA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI NA SERIKALI YAKE YAFANYIKA JIJINI MBEYA.


Baadhi ya maaskofu kutoka makanisa mbalimbali Mkoani Mbeya wakiwa wamshika Picha ya Rais na ramani ya Tanzania wakati wa maombi maalum ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na serikali yake katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mkapa jijini Mbeya. Askofu Dkt Charles Gadi wa kanisa la The City of refuge Church yenye makao makuu jijini Dar es salaam akizungumza na waumini walioshiriki katika maombi ya kumwombea Rais Dkt John Pombe Magufuli na serikali yake ...

 

2 years ago

Michuzi

IBADA MAALUM YA KUMWOMBEA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,MH. DKT. MAGUFULI PAMOJA NA VIONGOZI WA TAIFA KWA UJUMLA – LUSAKA, ZAMBIA

Jumapili tarehe 31 Januari 2016 Ubalozi wa Tanzania nchini Zambia ukishirikiana na Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania uliandaa Ibada maalum iliyoendeshwa kwa ajili ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Uongozi mzima wa nchi na Taifa letu kwa ujumla.
Ibada hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya InterContinental Long Acres – LUSAKA.
Ibada hiyo Maalum ilifanyika kuanzia Saa saba mchana hadi kumi na mbili jioni na kuhudhuriwa na...

 

2 years ago

Mwananchi

Watanzania waombwa kuchangia matibabu

Hospitali ya CCBRT imewaomba Watanzania kuchangia hata kiwango kidogo cha fedha, kufanikisha matibabu ya watoto wanaozaliwa na tatizo la kupinda miguu.

 

3 years ago

StarTV

Watanzania waombwa kuchagua wagombea wa CCM

 

Mgombea Udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi Kata ya Kisarawe II jijini Dar es Salaam Issa Zahoro amewataka watanzania kufanya uchaguzi sahihi Oktoba 25 mwaka kwa kuwachagua wagombea wa CCM.

Amesema kuichagua CCM ni njia pekee ambayo itaweza kuifanya Tanzania kuendeleza amani iliyopo kwani hakuna chama kingine chenye Sera zinazotekelezeka zaidi ya Chama hicho.

 

Akizundua Kampeni za Udiwani, Kisarawe II Kigamboni Jijini Dar Es Salaam, Zahoro amesema hakuna asiyefahamu kwamba CCM imefanikiwa...

 

2 years ago

Mwananchi

Watanzania waombwa kujitokeza Fahamu Talk

Watanzania wametakiwa kujitokeza kushiriki katika kongamano la Fahamu Talk litakalofanyika Septemba 4 mwaka huu, katika ukumbi wa Nkuruma, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kwa ajili ya kupata fursa ya kujifunza masuala mbalimbali  hasa yale yatakayo wawezesha kuimarisha uchumi binafsi.

 

2 years ago

StarTV

Rais Shein aongoza Dua ya kumwombea Karume

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dokta Ali Mohammed Shein ameongoza Dua ya pamoja ya kumuombea Rais wa awamu ya kwanza wa Zanzibar Hayati Abeid Amani Karume aliyeuawa tarehe 7 Aprili, 1972.

Viongozi na wananchi wamejumuika katika ofisi za Chama cha Mapinduzi zilizopo kwenye kisiwa cha Nduwi mjini Unguja eneo alipouawa Hayati Karume na kuzikwa.

Viongozi waliohudhuria wamepata fursa ya kumuombea dua hapo jana na kuweka mashada ya maua.

Hafla hiyo inayofanyika kila mwaka...

 

1 year ago

Mtanzania

WATANZANIA WAOMBWA KUJITOKEZA KWA WINGI KUIOMBEA NCHI AMANI

mkesha

Mkesha wa dua maalum ya kitaifa ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo Desemba 31 katika mikoa zaidi ya 10 umepangwa kufanyika tena mwaka huu.

Akizungumzia mkesha huo, Mwenyekiti wa mkesha huo mkubwa wa kitaifa, Askofu Godfrey Emanuel amesema kuwa katika maombi hayo wataimboea nchi amani na utulivu.

Pamoja na hilo Askofu Emanuel amasema watamuombea pia Rais John Magufuli katika majukumu yake makubwa ya kuiongoza nchi.

Mkesha huo utafanyika katika mikoa ya Dar es Salaam ambapo dua hiyo...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani