WATANZANIA WATAKIWA KUSHIRIKI MCHEZO WA KUBAHATISHA WA TATU MZUKA.

Mratibu wa Mawasiliano wa Mchezo wa Kubahatisha wa Tatu Mzuka Sebastian Maganga, akizungumza hadi shilingi  na Waandishi  juu faida za mchezo huo na namna ya kucheza na kufanikiwa kupata Milioni 30.
Balozi wa Mchezo wa kubahatisha wa Tatu Mzuka,  Mc Ray Maharufu kama Chikunde  akizungumza juu ya yeye kuhusishwa na kampuni inayoendesha mchezo huo wa Tatu Mzuka.
Kiongozi kutoka Mchezo wa Kubahatisha wa Tatu Mzuka, Mudy B akizungumza na Waandishi wa habari namna ya kushiriki kupitia simu zetu za Mkononi.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

Timu ya Taifa ya Mchezo wa Baseball (U18) yashika nafasi ya tatu mashindano ya Kufaulu kushiriki kombe la Dunia

Timu ya Taifa ya Mchezo wa Baseball baada ya ushindi wa nafasi ya tatu (Bronze Medal) katika mashindano ya Kufaulu kushiriki kombe la Dunia la Mchezo wa Baseball Umri chini ya Miaka 18. Mashindano hayo yalifanyika nchini Kenya katika mji wa Meru tarehe 15 - 20 Disemba, 2014 na yalikuwa kutafuta tiketi kwa Bara la Afrika ya kushiriki mashindano ya Kombe la Dunia yatakayofanyika hapo mwakani 2015 katika jiji la Tokyo, Japan.

 

1 year ago

Dewji Blog

Watanzania watakiwa kushiriki kikamilifu kuwalinda wanyamapori

Wakili wa serikali mkuu mfawidhi mkoani Singida, Zakaria Elisaria Ndasikowe amewataka wakazi mkoani hapa, kutambua kwamba wana wajibu wa kushiriki kikamilifu kulinda wanyamapori wakiwemo tembo dhidi ya majangili ili rasilimali hiyo iendelee kunufaisha kizazi cha sasa na kijacho.

Amedai  vita ya mapambano  dhidi ya ujangili sio ya askari wanyama pori pekee bali ni yetu sote kwa pamoja.

Zakaria aliyasema hayo juzi wakati akizungumzia juu ya mafanikio waliyoyapata ya kukusanya ushahidi...

 

1 year ago

Michuzi

TFF YAPIGA MARUFUKU KUCHEZA MCHEZO WA KUBAHATISHA(BETTING)

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inapenda kuwakumbusha wanafamilia wa mpira wa miguu kuto kushiriki katika michezo ya kubahatisha (Betting)juu ya ibara ya 59 kifungu kidogo cha 11 kinachotamka:TFF Family members shall at all times comply with the following ethical principles "To not take part in betting connected with football and do not tolerate any form of manipulation or unlawful influencing of match results".
Hivyo wanafamilia ya mpira wa miguu Tanzania wanakumbushwa kuheshimu...

 

7 months ago

Mwanaspoti

Huo mzuka wa Bilionea wa Taifa Jang'ombe si mchezo

HAPA visiwani Zanzibar mabilionea Yusuf Manji na Mohammed Dewji ‘MO’ sio habari hata kidogo. Watu wa hapa wanapenda vya kwao na mtu maarufu zaidi katika soka la hapa ni Mbunge wa Mpendae, Salim Turuk ‘Mr White’.

 

7 days ago

Michuzi

Ruth Maeda aibuka Mshindi wa Tatu Mzuka jackpot kwa kujinyakulia milioni 20

 Mshindi wa Jackpot ya Tatu Mzuka iliyofanyika Jumapili hii Bi Ruth Rodgers Maeda akikabidhiwa hundi ya shilingi Milioni 20 aliyojishindia kutoka kwa balozi wa Mchezo wa Tatu Mzuka, Mussa Hussein. Mchezo wa Tatu Mzuka umefanikiwa kujizoelea umaarufu kwa kutoa washindi kila saa. Jackpot hiyo inaendelea jumapili hii kwa mshindi kujishindia shilingi milioni 80.Mshindi wa Jackpot ya Tatu Mzuka iliyofanyika Jumapili hii Bi Ruth Rodgers Maeda (wa pili kutoa kulia) akishangilia pamoja na familia...

 

4 months ago

Bongo Movies

Witnesz Kibonge Mwepesi – Mzuka (Oficial Video)– Mzuka

Msanii Witnesz ameachia video mpya wimbo unaitwa “Mzuka”, video imeongwa na kampuni ya Dreams Studio.

 

2 years ago

Michuzi

Mikoa mitano kushiriki mashindano ya mchezo wa vishale "Darts" Taifa

Na Mwandishi Wetu.
MASHINDANO ya mchezo wa Darts Taifa yamezinduliwa rasmi leo jijini Dar es Salaam katika Hoteli ya Moshi iliyopo Manzese kwa kushirikisha mikoa mitano ya Tanzania.
Akizindua mashindano hayo Katibu Tawala wa Wilaya ya kinondoni, Selestine Onditi ”kwanza aliwapongeza viongozi wa chama hicho kwa juhudi za pekee za kufanya mashindano hayo yafanyike kwa mwaka wa 2015,lakini zaidi aliwashukuru wachezaji kwa moyo wa kupenda mchezo kujigarimia kuacha kazi zao kutoka...

 

6 months ago

Zanzibar 24

Men afurahi kushiriki mchezo wa kimataifa kwa mara ya kwanza

Mshambuliaji wa klabu ya Zimamoto Hakim Khamis “Men” amefurahishwa mno kuweka rikodi yake kwa mara ya kwanza kucheza mashindano makubwa ya kombe la klabu bingwa barani Afrika.

Mbali ya kucheza mchezo huo kwa mara ya kwanza lakini pia amefurahi kufunga bao la ushindi timu yake iliposhinda mabao 2-1 dhidi ya Ferroviario De Beira ya Msumbiji katika mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa Amaan.

Men alifunga bao la ushindi la pili katika dakika ya 65 ambapo pambano hilo lilikuwa sare ya 1-1 kufuatia...

 

3 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA MCHEZO WA DATS YAZINDULIWA MKOANI MOROGORO KITAIFA, MIKOA TISA KUSHIRIKI


 Mwenyekiti wa chama cha Dats Tanzania Gesase Waigama akiongea wakati wa ufunguzi wa mashindano ya mchazo huo unaoshirikisha mikoa  ya Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza, Mbeya, Kilimanjaro, Kagera, Arusha na wenyeji wao Morogogoro ambapo katika mashindano hayo yaliodhaminiwa na bia aina ya Safari mshindi wa kwanza atatoka na kitita cha shilingi 600,000 hapo kesho.

 Baadhi ya washiriki wa mchezo huo wakifanya mazoezi kabla ya kuanza kwa shindano hilo linalofanyika katika ukumbi wa Magunila ...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani