Wateja waitaka Dawasco kuboresha huduma zake

Baada ya kupandisha bei ya huduma zake, baadhi ya wateja wa Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco) wamelitaka kuziboresha ili ziendane na ongezeko la gharama.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Channelten

Licha ya Dawasco kuwaunganishia huduma ya maji wateja wake bure bado kuna wateja wamekuwa sio waaminifu

screen-shot-2016-09-19-at-4-20-20-pm

Licha ya Shirika la Maji Safi na maji taka Dar es salaam – Dawasco mkoa wa Ilala kuwaunganishia huduma ya maji wateja wake bure bado kuna baadhi ya wateja wamekuwa sio waaminifu na kuamua kuchezea mita kwa lengo la kutumia huduma hiyo bila kulipa ama chini ya kiwango halisi kinachotumiwa hivyo kulisababaishia hasara shirika hilo.

Hali hiyo imebainika kwa mkazi mmoja wa Ilala Mchikichini ambaye anafanya biashara ya kufyatua na kuuza matofali ambae ameunganishiwa huduma hiyo mwezi uliopita...

 

2 years ago

Michuzi

NBC yazindua Mwezi wa Huduma kwa Wateja kwa kuboresha huduma za bidhaa zao kukidhi mahitaji ya wateja.

  Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (kushoto), akizungumza na wafanyakazi wa benki hiyo katika hafla ya uzinduzi rasmi wa Mwezi wa Huduma kwa Wateja wa benko hiyo katika Tawi la Corporate jijini Dar es Salaam jana. Mkurugenzi huyo alisema katika maadhimisho hayo NBC imezidi kuboresha ubora wa huduma na bidhaa mbalimbali ili kukidhi mahitaji ya wateja wao wa kada zote. Kulia ni Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa NBC, James Kinyanyi. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC,...

 

3 years ago

Michuzi

Benki ya TIB Corporate yatumia wiki ya huduma kwa wateja kuboresha mahusiano na wateja wake

Katika kuadhimisha wiki ya Huduma kwa wateja Duniani,TIB Corporate Bank imekutana na wateja wake ili kujadili nafasi na mchango wa benki hiyo katika biashara huku ikitoa nafasi kwa wateja na wadau wa benki hiyo kutoa ushauri kuhusiana na huduma zake.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana wakati hafla fupi iliyoambatana na mazungumzo hayo, Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Bw Frank Nyabundege alisema maadhimisho hayo ambayo ni ya kwanza kufanywa na benki hiyo tangu ianzishwe mwaka 2015...

 

2 years ago

Michuzi

Benki ya NMB yazindua wiki ya huduma kwa wateja, yaahidi kuboresha huduma

Benki ya NMB Tanzania imezindua wiki ya huduma kwa wateja ambapo imeahidi kuboresha zaidi huduma kwa wateja wake wa sasa na kuwafikia wananchi ambao bado hawajapata huduma za kibenki katika maeneo mbalimbali nchini.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Tanzania, Ineke Bussemaker katika uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja na kusema kila mwaka wamekuwa wakiboresha huduma mbalimbali ambazo zinatolewa sasa na kuanzisha zingine mpya na wamejipanga kuhakikisha wanaendelea...

 

3 years ago

Dewji Blog

NMB yafanya uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja na kuahidi kuboresha zaidi huduma

Benki ya NMB, imezindua Wiki ya Huduma kwa Wateja Duniani kwa kuahidi muendelezo wa huduma bora kwa wateja na kupokea ushauri kutoka kwa wateja na wadau, huku ikisisitiza utayari katika kuelekea Tanzania ya Viwanda.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo uliofanyika NMB Tawi la Msasani, Mkurugenzi Mtendaji wa NMB, Ineke Bussemaker, amesema licha ya kuwa huduma bora ni kipaumbele cha kila siku, lakini wataitumia wiki hii kuboresha zaidi, ikiwamo kufanyia kazi maoni ya wateja.

Ineke amesema...

 

10 months ago

Zanzibar 24

Airtel yatangaza huduma mpya yajipanga kuboresha huduma zake

Kampuni ya simu za mkononi Airtel Tanzania imehaidi kuendelea kutoa huduma bora na za kisasa kwa wateja wake. Hii ni kutatua kero na changamoto ambazo zimekuwa zikiikumba sekta ya mawasiliano hapa nchini.

Akiongea jijini Dar es Salaam jana jioni baada ya futari iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa wateja na washirika wake, Mkurugenzi wa Biashara kwa wateja maalum Airtel Tanzania Boniface Bwambo alisema kampuni hiyo itaendelea kutoa huduma bora na za kisasa ili kukidhi matakwa ya wateja wake...

 

5 years ago

Michuzi

VODACOM YATOA MADA KUHUSIANA NA HUDUMA ZAKE KWENYE WARSHA YA KUSHIRIKISHANA NJIA ZA KUBORESHA NA KUPANUA HUDUMA ZA KIFEDHA

  Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania ,Kelvin Twissa akitoa mada juu ya huduma zinazotolewa na kampuni yake wakati wa Warsha ya kushirikishana uzoefu kuhusu njia za kuboresha na kupanua huduma za kifedha kwa biashara ndogo na za kati hapo jana. Warsha hiyo iliandaliwa na Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) na kudhaminiwa na Vodacom.Kushoto ni muongozaji  wa mada Felix Mlaki  na Katikati ni Mtaalamu toka Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE)Moreme Marwa.  Mmoja wa...

 

5 years ago

GPL

VODACOM YATOA MADA KUHUSIANA NA HUDUMA ZAKE KWENYE WARSHA YA KUSHIRIKISHANA NJIA ZA KUBORESHA NA KUPANUA HUDUMA ZA KIFEDHA‏

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania ,Kelvin Twissa akitoa mada juu ya huduma zinazotolewa na kampuni yake wakati wa Warsha ya kushirikishana uzoefu kuhusu njia za kuboresha na kupanua huduma za kifedha kwa biashara ndogo na za kati hapo jana. Warsha hiyo iliandaliwa na Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) na kudhaminiwa na Vodacom.Kushoto ni muongozaji  wa mada Felix Mlaki  na Katikati ni Mtaalamu...

 

4 years ago

Michuzi

BANK M KUBORESHA ZAIDI HUDUMA KWA WATEJA WAKE

 Naibu Mkurugenzi wa Habari wa Bank M,Allan Msalilwa akizungumza na waandishi habari (hawapo pichani) katika Ukumbi wa Hayyat Regency ,jijini Dar es Salaam juu ya huduma zinazotolewa na benki hiyo.Afisa Mtendaji Mkuu Biashara wa Bank M,Jacqueline Woiso akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu uboreshaji wa huduma kwa wateja wa benki hiyo.======= ======== ======== ===========Na Chalila Kibuda na Globu ya Jamii,Dar.


Benki M imesema imeendelea kuboresha huduma kwa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani