Watoto 5,500 watazaliwa 2019, UNICEF wajipanga kwa usalama wao

SHIRIKA la Wototo Duniani (UNICEF) limeeleza kuwa siku ya mwaka mpya kutazaliwa watoto 395,072 ambapo nchini Tanzania watazaliwa watoto 5,500 ambao ni sawa na asilimia 1.4 ya watoto watakaozaliwa siku hiyo dunia mzima. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Hata hivyo UNICEF imeweka wazi kuwa nchini Tanzania vifo vya watoto wa mwezi mmoja hadi mwaka mmoja ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Habarileo

Wazazi kusindikiza watoto shuleni na nyumbani kulinda usalama wao

KUTOKANA na watoto wawili kunajisiwa nje ya shule ya msingi Airwing iliyopo Banana, Dar es Salaam, walimu wa shule hiyo wamewataka wazazi kuwafuata watoto wanapotoka shuleni, ili kuhakikisha usalama wao.

 

4 years ago

Dewji Blog

Serikali ya Tanzania, UNICEF waendesha warsha kwa vyombo vya habari kuzuia ukatili kwa watoto

 

Julieth Swai Mwakilishi kutoka UNICEF akizungumza jambo.

Baadhi ya washiriki wa Warsha wakifuatilia kwa makini.

Mmoja wa  washiriki wakiuliza maswali katika warsha hiyo.

Kimela Bila Mwandaaji wa Kipindi cha Walinde Watoto akizungumza katika Warsha hiyo.

Mathias Haule, Afisa Maendeleo ya Jamii maswala ya Ukatili dhidi ya Watoto kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto akielezea Sheria ya Mtoto.

Neema Kimaro, Mratibu wa kipindi cha Walinde Watoto kutoka True...

 

4 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee aungana na UNICEF kupinga ukatili kwa watoto

Vanessa Mdee ameungana na shirika la kutetea haki za watoto duniani, UNICEF kupinga ukatili dhidi ya watoto. “Tanzanian artist @VanessaMdee is joining #UNICEFTanzania to #ENDviolence against Children #WalindeWatoto,” wameandika UNICEF. “Day well spent with #UNICEFTanzania #EndViolenceCampaign #WalindeWatoto,” ameandika Vanessa kwenye picha aliyoiweka Instagram. Vanessa anaungana na AY na Faraja Kotta kwenye kampeni hiyo iitwayo ‘Walinde […]

 

2 years ago

Zanzibar 24

Unicef yaipongeza Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kwa huduma za Watoto

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linalowahudumia Watoto Duniani (UNICEF) limepongeza juhudi zinazochukuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika suala zima la kuwahudumia watoto na kuahidi kuendelea kuunga mkono juhudi hizo ili Zanzibar ifikie malengo iliyoyakusudia.

 

Mwakilishi wa UNICEF katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi Maniza Zaman aliyasema hayo leo Ikulu mjini Zanzibar wakati alipokuwa na mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed...

 

3 years ago

Dewji Blog

Mgahawa wa Pizza Hut wajipanga kuajiri Watanzania 500

Kama ukitaja migahawa bora duniani huwezi acha kuutaja mgahawa wa Pizza Hut ambao ulikuwa katika nchi 99 na sasa wamefungua mgahawa huo nchini hivyo kufikisha nchi ya 100 ambapo umejipanga kuhakikisha unatoa nafasi za ajira kwa Watanzania.

Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ufunguzi wa mgahawa huo uliopo jengo la Mkuki House lililopo pembezoni ya barabara ya Nyerere, Mkurugenzi wa Dough Works Ltd, Vikram Desai alisema wanafuraha kufungua mgahawa huo nchini na wanampango hadi 2018...

 

2 years ago

Dewji Blog

UNICEF yaadhiminisha miaka 70 tangu kuanzishwa, Serikali yaipongeza kwa kusaidia watoto

Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Watoto Duniani (UNICEF) limeadhimisha miaka 70 tangu kuanzishwa (1946-2016) likiwa na kauli mbiu ya Kwa Kila Mtoto, Tumaini.

Akizungumza katika maadhimisho hayo, Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), Bi. Maniza Zaman alisema shirila lao kwa kipindi cha miaka 70 limekuwa likifanya kazi za kuwasaidia watoto ambapo malengo yao ni kuhakikisha watoto wanaishi maisha bora na kuwawezesha kufikia malengo ambayo wanatamani kuyafikia.

dsc_1434-1

2 years ago

Channelten

Wazazi na Walezi nchini wamekumbushwa umuhimu wa kutoa malezi bora kwa watoto wao ili kuwaepusha watoto kujiingiza kwenye makundi yasiyofaa

pic+saikolojia

Wazazi na Walezi nchini wamekumbushwa umuhimu wa kutoa malezi bora kwa watoto wao ili kuwaepusha watoto kujiingiza kwenye makundi yasiyofaa, hususan ya utumiaji dawa za kulevya na ulevi

Mkurugenzi wa Saluni ya Chapchap Erands Antonia Munish iliyopo kigamboni jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya kuwafariji na kuwaweka sawa kisaikolojia waathirika wa utumiaji wa dawa za kulevya pamoja na pombe wanaopatiwa huduma ya kuboresha afya zao kwenye nyumba ya waathirika wa matumizi ya dawa ya...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Wananchi wa magharib ‘A’ wametakiwa kuhama kwa usalama wao

Mkurugenzi wa baraza la Manispaa la Magharib ‘A’ Said Juma Ahmada amewataka  wananchi  kuacha kujenga katika laini kuu za kupitia umeme ili kuepusha athari zitokanazo na umeme.

Akizungumza na Zanzibar24  amesema wamebaini  kuna baadhi ya wananchi wanajenga katika laini kuu za umeme  jambao ambalo ni hatari kwa usalama wao na si haki kisheria maeneo hayo  kufanyiwa ujenzi  hasa nyumba za makaazi na kutoa  wito wananchi waliobainika kuondoka mara moja katika  maeneo hayo.

Hata hivyo Said...

 

3 years ago

Michuzi

THE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY WAJIPANGA KUADHIMISHA JUMANNE YA KUTOA (GIVINGTUESDAY) KWA KUWASAIDIA WATOTO NDANI YA SHULE YA WALEMAVU YA UHURU MCHANGANYIKOFoundation for civil society ambao ni asasi huru imetangaza kutumia utaratibu wa JUMANNE YA KUTOA (GIVINGTUESDAY) utaratibu ambao unatumika duniani kote kwa ajili ya kuhamasisha watu na jamii kuwa na moyo wa kujitolea kwa ajili ya wahitaji ambapo asasi hiyo imetangaza kuadhimisha siku hiyo hapa nchini kwa kuwasaidia watoto wenye ulemavu wanaosoma katika shule ya msingi Uhuru mchanganyiko ikiwa ni mara ya kwanza kwa Asasi hiyo kuadhimisha siku hiyo muhimu.Akizungumza na mtandao huu katika...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani