- 1 Anachofikiria Edo Kumwembe Kuhusu Yanga Kuomba Ichangiwe Pesa
- 2 Simba Yaamua Kukaa Kimya
- 3 Timu Ya Simba Yaweka Kambi Morogoro
SIKU KAMA YA LEO
Apr 26, 2017POPULAR ON YOUTUBE
WATOTO WA WAFUGAJI WAGUSWA NA SOKO LA KIMKAKATI LA MIFUGO LONGIDO
Katika kijiji cha EWORENDEKE, kata ya KIMOKOUWA, Wilayani LONGIDO mkoani ARUSHA, kijiji hicho kipo takriban kilomita 4 kutoka Namanga, mpaka wa Tanzania na Kenya.
Hapo kuna Soko la Kimkakati la mifugo Longido, linalohusika na uuzaji wa mifugo kutoka mikoa takribani 7 ya hapa nchini Tanzania. Wafugaji huuza mifugo hiyo hapa nchini na nchi za jirani, soko hilo ambalo limejengwa na Programu ya Miundo mbinu ya Masoko, Uongezaji wa Thamani na Huduma za Kifedha Vijijini (MIVARF), limekuwa ni neema kwa watoto wa kaya zinazozunguka soko hilo.
Watoto wa wafugaji wa jamii ya kimaasai ambao ndiyo wanufaika wa soko hilo wameguswa na uwepo wa soko hilo kwa kupata maziwa ya mbuzi bure. Watoto hao hukamua maziwa hayo kutoka kwa mbuzi ambao hufikishwa sokoni hapo muda wa jioni na kusubiri kuuzwa usiku ambapo mnada wa mifugo kwa wafanyabiashara wa ndani na nje ya nchi hufanyika sokoni hapo.
Mratibu wa Kitaifa wa Program ya MIVARF,Walter Swai, amebainisha kuwa tangu Program hiyo ianzishwe kutekelezwa rasmi mwaka 2011, katika mikoa yote ya Tanzania bara na Zanzibar imekuwa ikichochea faida nyingi, zaidi ya malengo mahususi yaliyokusudiwa na Program ambayo, ni kufanikisha azma ya Serikali ya Tanzania ya kuongeza kipato kwa wananchi pamoja na uhakika wa chakula kwa kaya zenye kipato cha chini hususan maeneo ya vijijini. Baadhi ya watoto wa wafugaji, kijiji cha Eworendeke, kata ya Kimokouwa, Wilayani Longido wakipata maziwa kwa ajili ya matumizi yao kwa kukamua bure mbuzi waliofikishwa muda wa jioni katika Soko la kimkakati la mifugo Longido kuuzwa, Soko hilo limejengwa na Programu ya Miundo mbinu ya Masoko, Uongezaji wa Thamani na Huduma za Kifedha Vijijini (MIVARF).
Mmoja wa watoto wa wafugaji, kijiji cha Eworendeke, kata ya Kimokouwa, Wilayani Longido akipata maziwa kwa ajili ya matumizi yake kwa kukamua bure mbuzi waliofikishwa muda wa jioni katika Soko la kimkakati la mifugo Longido kuuzwa, Soko hilo, limejengwa na Programu ya Miundo mbinu ya Masoko, Uongezaji wa Thamani na Huduma za Kifedha Vijijini (MIVARF).
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Michuzi
Habari Zinazoendana
8 months ago
Michuzi11 Aug
WAFUGAJI LONGIDO WAANZA KUNUFAIKA NA UJENZI WA SOKO LA KISASA LA MIFUGO
Benny Mwaipaja, WFM, LONGIDO-ARUSHA.
WAFUGAJI wilayani Longido Mkoani Arusha wameanza kunufaika na ujenzi wa soko la kisasa la mifugo linalojengwa na Serikali katika kijiji cha Worendeke kata ya Kimokouwa, kupitia mkopo wa fedha kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika-AfDB.
Baadhi ya wafugaji wamesema kuwa Soko hilo linalojengwa kwa gharama ya shilingi milioni 650, limewaondolea adha kubwa waliyokuwa wakiipata walipokuwa wakiuza mifugo yao nchini Kenya kutokana na gharama kubwa ya kusafirisha...
3 years ago
Michuzi
WAFUGAJI CHALINZE SOMESHENI WATOTO, WASICHUNGE MIFUGO - RIDHIWANI
5 months ago
Channelten26 Nov
Zoezi la Upimaji Chapa Mifugo, Wafugaji Kiteto waficha mifugo yao
Zoezi la upigaji chapa mifugo kwa ajili ya utambuzi na ufuatiliaji limeingia dosari baada ya wafugaji wilayani Kiteto Mkoa wa Manyara kugoma kupeleka mifugo yao kwa ajili ya kupigwa chapa na kuilazimu serikali kutumia wazee wa kimila kutoa elimu ya zoezi hilo.
Kiteto inakadiriwa kuwa na mifugo zaidi ya laki nne na 87 huku ikiwa na ukubwa wa kilomita za mraba 16685 kwa mujibu wa afisa mifugo na uvuvi katika halmashauri ya kiteto Wiliam Msuya ambapo zoezi la upigaji chapa linazinduliwa na...
3 years ago
StarTV30 Dec
Wafugaji Longido kufufua majosho.
Na Ramadhani Mvungi,
Arusha.
Wafugaji katika Kata ya Tingatinga wilayani Longido mkoani Arusha wameanza mpango wa kufufua upya matumizi ya majosho ya kuogeshea mifugo.
Hatua hii inalenga kukabiliana na magonjwa yaliyokuwa yakisumbua mifugo kwa muda mrefu na kuwasababishia hasara kubwa.
Mwenyekiti wa umoja wa wafugaji wa Kata Tingatinga Ally Marandu aliiambia Startv iliyowatembelea wafugaji hao kuwa utaratibu unaotumika ni kwa kila mfugaji kuchangia kiasi cha fedha kwa kila...
1 month ago
Michuzi
SERIKALI YATEKELEZA MAOMBI 5 YA WAFANYABIASHARA WA MIFUGO WILAYANI LONGIDO
Mwishoni mwa mwaka 2017, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira ,Kazi, Vijana na Watu wenye Ulemavu ) Mhe.Jenista Mhagama, alikuwa na ziara ya kukagua ujenzi wa soko hilo wilayani humo, ambapo baada...
4 years ago
Habarileo04 Feb
Wafugaji Longido wampa Balozi ardhi ya bure
JAMII ya wafugaji wa kijiji cha Lesingeita, Mundarara wilayani Longido Mkoa wa Arusha, imekubali kutoa bure ardhi yao ya malisho kwa Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Batilda Burian ijengwe shule ya kimataifa iwezeshe watoto wao kupata elimu ya uhakika.
2 years ago
Ippmedia25 Oct
6 months ago
MichuziVITAMBULISHO VYA TAIFA KUWANUFAISHA WAFUGAJI WILAYA YA LONGIDO
5 months ago
Michuzi
MAAGIZO YA WAZIRI MHAGAMA KWA PROGRAMU YA MIVARF KUOGEZA THAMANI YA BIASHARA ZA MIFUGO WILAYANI LONGIDO

Mhagama ametoa maagizo hayo baada ya kukagua Soko la kimkakati lililojengwa na Serikali kupitia Ofisi Ofisi ya Waziri Mkuu chini ya Programu ya...